If You Were The Opposite Sex For A Day, What Would You Do?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,804
hIVI IKITOKEA SIKU MOJA UMEJIKUTA UNA JINSIA AMBAYO HUJAZALIWA NAYO ,
MAUMBO NA MAUMBILE YAKO YOTE YAMEBADILIKA KUSADIFU JINSIA MPYA.
UTAFANYEJE??
JE UTAJARIBU KUONJA LADHA MPYA AU??
 
Endapo ajali hiyo itatokea,mi nitaitumia kwa tumizi moja tuu la haja ndogo,hiyo nyingine naipotezea na hole wake atakayejaribu kuiulizia nitamcrucify like jesus!!
 
Mpwa acha woga. Mi ningekuwa Sista Maria Magdalena. Kanisani Mtindo mmoja.

Kuna mambo mengine ndg yangu usiyaombee, kuna msichana 1 tulikuwa tunasoma nae chuo alikuwa akipata siku zake anazimaia siku nzima kwa maumivu na ku over bld. Pia swala la kubeba mimba nalo sio kitu cha kitoto unaweza ukapata kichefuchefu kibaya kuliko cha maleria kwa 9months du! na mengineyo.
 
Mi hiyo yote hainitishi kama kusokomezewa kisiki cha mpingo kwenye kimwaga m.kojo. Lol! Kuna njemba zina midude inatisha. Namwonea huruma sana binti yangu.
 
Kwa maana hiyo muwe mnatuheshimu sana.Bila wanawake nyie wanaume msingekuwepo.NO WOMAN NO CRY!
 
I have big respect for all women in the world. kama mtu anakosa heshima kwa mwanamke anaokosea sana.....kuna mwandishi 1 aliwahi kusema kwamba anahisi Mungu NI SHE and not HE kwa vile uvumilu wa mwanamke ni mkubwa sana na wao ndio wanaotumia sensi 7 sisi wanaume hatuitumii.
 
Good! keep it up. Lakini hayo maneno yenu wakati mwingine humu ndani JF kama vile hamjazaliwa, mfano my friend Krispianito, kama mama yake angekuwa anasoma hii Jf angekuwa ashapata radhi huyu.
 
Lol! Yamekuwa hayo tena? Aliyenzisha hii thread ndio angepata laana. Maana anatufanya tu imagine vitu ambavyo wengine tunaviogopa sana. Hakuna dume lolote utakaloliambia lichague kuwa jike likakubali. Lakini am sure zaidi ya 85% ya wanawake ukiwaambia wachague jinsia wangechagua wawe madume.

Matatizo wanayoyapata wanawake! We acha tu. Afu ZD nitake radhi.
 
Nikutake radhi ? Kwani nimeongea uongo?
 
Ikiwa nimesema neno baya, toa ushahidi wa neno baya. Lakini kama nimesema vema, kwanini wanipinga?

hehehehheeee,Haya mtumishi wa bwana.Lakini ninao mashahidi wengi kama FL1,Carmel ,Nguli,Masanilo,Fidel80 na wengine wengi,wala huwezi bisha kama hukusema neno baya.
 
I have big respect for all women in the world. kama mtu anakosa heshima kwa mwanamke anaokosea sana.....kuna mwandishi 1 aliwahi kusema kwamba anahisi Mungu NI SHE and not HE kwa vile uvumilu wa mwanamke ni mkubwa sana na wao ndio wanaotumia sensi 7 sisi wanaume hatuitumii.

thanks
 
hehehehheeee,Haya mtumishi wa bwana.Lakini ninao mashahidi wengi kama FL1,Carmel ,Nguli,Masanilo,Fidel80 na wengine wengi,wala huwezi bisha kama hukusema neno baya.

FL1, na Carmel hao sina ubishi. Ila wapwa zangu watakuwa upande wangu. Hahaha! Hapo utaingia choo cha kiume.
 
Mi hiyo yote hainitishi kama kusokomezewa kisiki cha mpingo kwenye kimwaga m.kojo. Lol! Kuna njemba zina midude inatisha. Namwonea huruma sana binti yangu.

Chrispin umepinda kweli.

Akili yako inakutosha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom