If You Were The Opposite Sex For A Day, What Would You Do?

hIVI IKITOKEA SIKU MOJA UMEJIKUTA UNA JINSIA AMBAYO HUJAZALIWA NAYO ,
MAUMBO NA MAUMBILE YAKO YOTE YAMEBADILIKA KUSADIFU JINSIA MPYA.
UTAFANYEJE??
JE UTAJARIBU KUONJA LADHA MPYA AU??
mimi ni mwanaume, nisingekubali kupigwa bao ...
 
Mungu anisamehe jamani,aliwaumba wanaume na ndevu kwa makusudi yake,Lakini nukikumbuka hizo ndevu kama osama,dah,Thanks God iam a woman.
 
eti naamka asubuhi
:
uso una sura ya kidume
kidevu kina ndevu
ngozi ngumuu
misuli mpaka miguuni
kifua, makalio flat
msauti mnene
****
hakuna kubadilisha gauni,sketi, suruali, kipedo,
hakuna kubadilisha mitindo ya nywele kila jumamosi
hakuna ki high heel, ni flat tu kwa kwenda mbele
no make ups nilizozizoea
***
hakuna kunyonyesha wanangu...etc

ningejificha...
 
Watu wengine sijui huwa mnawaza nini.Why should I think of something which cannot be.I think I have better things to do.
hIVI IKITOKEA SIKU MOJA UMEJIKUTA UNA JINSIA AMBAYO HUJAZALIWA NAYO ,
MAUMBO NA MAUMBILE YAKO YOTE YAMEBADILIKA KUSADIFU JINSIA MPYA.
UTAFANYEJE??
JE UTAJARIBU KUONJA LADHA MPYA AU??
 
hIVI IKITOKEA SIKU MOJA UMEJIKUTA UNA JINSIA AMBAYO HUJAZALIWA NAYO ,
MAUMBO NA MAUMBILE YAKO YOTE YAMEBADILIKA KUSADIFU JINSIA MPYA.
UTAFANYEJE??
JE UTAJARIBU KUONJA LADHA MPYA AU??
Bujibuji naona unahusudu mambo ya ajabu Kwa wengi.
Ebu lijibu swali lako.
 
Mi hiyo yote hainitishi kama kusokomezewa kisiki cha mpingo kwenye kimwaga m.kojo. Lol! Kuna njemba zina midude inatisha. Namwonea huruma sana binti yangu.
Hivi babu akili yako iko sawa kweli wewe uwiii nimecheka hadi basi
 
Back
Top Bottom