Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
Unachokisema ni kweli mm nililazwa pale na mwanangu kila baada ya lisaa hadi masaa 2 lazima uione kitambaa cha kijani maana yake mtoto alishaondok. Kila wakati mpaka unaona mtoto wako ndiye atakayefuata. KusemA ukweli madaktari sio muhimbili tuu wanafanya kazi katika mazingira hatarishi na watu wengi wanawafia mikononi kwa sababu ya upungufu wa vitendea kazi.
waulize madaktari ni watu wangapi wanakufa kwa kukosa matibabu ya kawaida sababu ya upungufu wa vitendea kazi. Nasikia katika wodi ya watoto muhibili hufa watoto 10 kila siku , piga idadi hiyo kwa mwezi uone balaa lake
naona ni vizuri madaktari mtuwekee data za vifo hata kabla ya mgomo ambavyo vingeweza kuzuilika kama mazingira yenu yangeboreshwa