cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
tobaaaaaa kuna huyu, Focusmasalakulangwa! khaaaaaaaaaaa!
Last edited by a moderator:
mwahhhhhhh! hubby umenimith?Hivi unajua avatar yako nimeifanya screen saver yangu?
Yani huko kwenye avatar ndo usipime unaweza ukabaki unatumbulia macho screen kama fundi saa aliyepoteza nati.
tobaaaaaa kuna huyu, Focusmasalakulangwa! khaaaaaaaaaaa!
mwahhhhhhh! hubby umenimith?
angalia usiibake, dhambi ujue kubaka! lol! hubby nakupendaje sasa?Hapa naibuthu screen yangu tu. Ntafanyaje thatha? Nakumithije thatha??
khaaaaaa Mentor umetoka haoneymoon na Catherine lini?? lol! naona umechokaaaaaaa! sijakuona siku mbili hizi, lol
Hivi bestee..... mie nna haja ya kukuambia nakupenda? Weye si wajua kuwa nakupenda ile hamna mfano? Atakayekupokonya moyoni mwangu na apate kitambi mgongoni.....angalia usiibake, dhambi ujue kubaka! lol! hubby nakupendaje sasa?
Hivi unajua avatar yako nimeifanya screen saver yangu?
mwahhhhhhh! hubby umenimith?
Hapa naibuthu screen yangu tu. Ntafanyaje thatha? Nakumithije thatha??
angalia usiibake, dhambi ujue kubaka! lol! hubby nakupendaje sasa?
mkoloni uliyeajiri hawa watu ona resources zako zinavyotumiwa vibaya manake sasa wanabakana hata maofisini kupitia screen za vipakato juu vyao. angalia badala ya kujaza leja na kubalance sheet anabakwa na huyu kuli ambaye nimemshuhudia akipotelewa na kontena moja lenye topaz wakat anashughulika screen.
Shkamoo Figga
Kwenye avatar ndio balaa. Kuna yule mwenye bichwa la nazi. . . Huwa ananikumbusha naniliu