ID za JF bana. . . .

LOL cacico popote pale ulipo hebu kuja pande hii uniambie hilo tunda unawagaia kina nani zaidi yangu? Kuna mtu nataka nimuoteshe kitambi matakoni.
mi staki upekuzi nilishakwambia! hakuna mtu zaidi yako papito wangu! hao wanaokwambia maneno hayo ni kutufitini tu! nakupendaje thatha?? si unajua bby wangu kwamba mi na we mpaka kiama eee?? mwahhh :A S kiss:
 
Hivi bestee..... mie nna haja ya kukuambia nakupenda? Weye si wajua kuwa nakupenda ile hamna mfano? Atakayekupokonya moyoni mwangu na apate kitambi mgongoni.....
ila ujue yule mkeo kuleeeeeeee bondeni hapendi unavyonipenda ujue?? anataka kuburst! lol! bebi wangu si unipe mimba tu apatwe na hasira vizuri! lol, mbona hujajibu PM thatha?
 
ila ujue yule mkeo kuleeeeeeee bondeni hapendi unavyonipenda ujue?? anataka kuburst! lol! bebi wangu si unipe mimba tu apatwe na hasira vizuri! lol, mbona hujajibu PM thatha?
Nna mashaka Mods wanasoma PM zetu, wanaweza kusoma msg kwenye simu itakuwa PM? Stuka wife material...THINK!!
 
hapa tuna diskasheni gani cacico na gfsonwin thidi ya hommie Asprin?

baada ya kusema hayo namba mnambie leo ni jumangapi, Yummy popote ulipo come zis way mamito
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom