ID za JF bana. . . .

Hivi bestee..... mie nna haja ya kukuambia nakupenda? Weye si wajua kuwa nakupenda ile hamna mfano? Atakayekupokonya moyoni mwangu na apate kitambi mgongoni.....
mkwe Asprin taratibuuuuuuuuuuuuuu, kwa muda wa kusuasua niliokuwa hapa, wengi huwa wanaumizwa na rafiki yangu cacico, jihadhari
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point, mzima weye?? huyo aliyekutuma mwambie wenyewe hujawakuta! khaaaaaaaaaaaaaa! lol
ha haaaaaaaaaaaaaa, rafiki, mimi ni mzima wa afya... huwa najua kwenye hayo mambo huwa hakuna kusikiliza ya jirani.... namtonya tu rafiki yangu asije akapatwa yaliyowapata wenzie
 
Khaaaaa! Haya cacico ukuye hapa unambie nani anakukamua mafuta napokuwa sipo.<br>
<br>
hebu nimuulize huyo dadangu wa rohoni, labda ana taarifa zaidi! eti gfsonwin nani anakula chakula ya babu akiwa hayupo?? lol, hubby wanakurusha roho tu, u r my only man!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom