Ibada ya Mazishi ya Whitney Houston

aisee hizi kazi za ulinzi zinatukosesha mambo wenzetu mnafaidi kweli kweli
 
Mke mwee unajua dragons? Lol, nilikuwaga nawapatia picha na majicho yao makuubwa! BB is a bustard for real! Whitney angekuwa ndugu yangu,hii bunduki ingebakia cherema
Biggest and Greenest???...lol. Nimeipenda.
 
Nitty hauna tv yenye simu? Ukitoka lindoni wahi kkoo, unapata kitu cha blackberry cha line 4, tv na radio za kumwaga!
aisee hizi kazi za ulinzi zinatukosesha mambo wenzetu mnafaidi kweli kweli
 
Nitty hauna tv yenye simu? Ukitoka lindoni wahi kkoo, unapata kitu cha blackberry cha line 4, tv na radio za kumwaga!

Simu yangu inashika aljazeera na france 24 hawa nimeangalia hawaoneshi haina application ya bbc
 
Back
Top Bottom