Kweli aisee! Inatia uchungu sana!..Kevin Costner anatoa speech sasa hivi kuhusu historia ya whitney toka akiwa binti, anaogopa stage na makeup. but it is surely touching. Hii dunia inaweza kukuvuruga hadi ushangae!
Ts so sad kwa kweli!nimependa Alycia keys alivyoimba!kama anamwambia vile
Nusu tu? Mie naona zingempungua zaidi ya nusu, achana na stress mke mwenza, zisikie tu kwa wengine usiombe zikukute!Seriously mke mwenza, angekuwa jf huyu mama wa watu stress zingempungua nusu!
They say when money comes through the door, happiness leaves through the window. She was an innocent choir singer then she met the dragon!
then she met the dragon!