Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
- Thread starter
- #21
Kitendo cha kujijua kuwa haupo sawa ni hatua nzuri. Jiepushe na malumbano. Potezea mtu akikuudhi. Kama thread si ya kuleta mzaha na wewe usifanye mzaha. Andika yaliyo sahihi, mahala sahihi na kwa wakati sahihi.
nimekuelewa.
Unajua wakati mwingine Chit-Chat imetufanya tuwe watu wa mzaha sana. Ila nitajirekebisa... Kuhusu kupotezea coment za maudhi, naona huo ni ushauri mzuri so far. Nitauzingatia...