I wish I could take it back...

Kitendo cha kujijua kuwa haupo sawa ni hatua nzuri. Jiepushe na malumbano. Potezea mtu akikuudhi. Kama thread si ya kuleta mzaha na wewe usifanye mzaha. Andika yaliyo sahihi, mahala sahihi na kwa wakati sahihi.

nimekuelewa.
Unajua wakati mwingine Chit-Chat imetufanya tuwe watu wa mzaha sana. Ila nitajirekebisa... Kuhusu kupotezea coment za maudhi, naona huo ni ushauri mzuri so far. Nitauzingatia...
 
Pole sana mkuu,
Ila inabidi ushukuru Mungu kwa kugundua una tatizo hivyo wataka kubadilika kabisa. Najua waweza kuziepuka ban milele.
1. Ukiona mzozo jaribu kukaa mbali hata usikomenti chochote juu ya hilo.
2. Jifunze kutokuwa na hasira za haraka kwa hasira hasara.
3. Kama haupo kwenye mood nzuri usikomenti chochote, ingia jf na uishie kusoma coment na wachangiaji wengine.
:A S 465:
 
noted.
Nashukuru kwa kunijali mkuu, nitazingatia ushauri wako.
 
Neno!
Wengine ukikoment post zao inakuwa zogo
Khah! Nimegundua lazima upae na watu wenye shock absober za kulingana, vinginevyo unakuwa mtu wa povu

Even kwenye maisha kaka
ishi the way u like
Usipende na wala usiwe mtu wa hasira
Ignore hata mtu akikuudhi sometime chukulia yeye ni mpumbavu na achana nae usikunje sura wala kujibizana nae maana utajiumiza wewe
Take easy and uso wako upambwe na tabasam muda wote hata wakati wa mambo mazito maana Mungu anajua kuwa yapo na atakupa njia ya kuyakwepa na kuyamaliza
 
Neno!
Wengine ukikoment post zao inakuwa zogo
Khah! Nimegundua lazima upae na watu wenye shock absober za kulingana, vinginevyo unakuwa mtu wa povu

kumbe?
Mimi pia kuna kiumbe sipendi achangie post zangu, kwa sababu kila akichangia ananipandisha jazba.
Sio kwa kuwa ni yeye? Ila anachokiandika ndo kinanitoa kwenye mood.
 
Neno!
Wengine ukikoment post zao inakuwa zogo
Khah! Nimegundua lazima upae na watu wenye shock absober za kulingana, vinginevyo unakuwa mtu wa povu

True aise
Wengine hata ukishamuona tuu klwenye thread inabidi uondoke kimya kimya maana usitake kutengeneza scene ya bure
 
ukiwa na hasira humu unabaniwa tuu, mie aisee nina style yangu peke yangu humu, nahisi burn halitanipata kamwe
 
ukiwa na hasira humu unabaniwa tuu, mie aisee nina style yangu peke yangu humu, nahisi burn halitanipata kamwe

wewe tena?
I hope uko mzima mama, siku hizi nakuona unaingia kwa kubipu sana.
Ni nini mbaya?
 
Nenda ukafanyiwe maombi...Ni vizuri umetambua udhaifu pia.Ni hatua muhimu sana...

dah?
Maombi yanataka utayari ZD?
Warden wangu wa hostel kila Jumapili ananiambia niende kanisani kwake, nampiga danadana!
 
Tutaonana baadae wapendwa.
Kwa sasa tukutane Estadio dé Bata,
Zambia v/s Libya.
Sawasawa?
 
Inaonekana watu mnachukulia JF serious sana ehhh?

wewe unachukuliaje kwani?
Mfano mimi, kama mfuasi wa jukwaa la Teknolojia, huwa napata mambo mengi sana na yanayosaidia kutoka kwa member wa kule.
There is no way nitawacha kuchukulia JF sirias.
Wewe unaonaje?
 
Chukulia kuwa UMESHA KOMAA.
Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.
 
soma nyakati..... mtu akikuudhi mpotezee .. mi ndivyo ninavyofanya .. ila naenda nao jino kwa jino kwa jino wakigusa imani yangu... hadi thread itafungwa au nipigwe ban... ila kwa weye ambaye bado mgeni na mwaka tu nenda nao mdogomdogo......
 
si kuna home work?
Afu mtihani sitaki kuwa wa mwisho.

Nimenunua kaunta.

Hujawahi make joke afu ukapokea kibao cha uso??? Tena bora mtu ajibu hapo hapo, unakutana nayo 2 weeks later kwenye sredi tofauti.
Unabaki mdomo wazi, unaona bora kuruka tu hapo.
Unashangaa, that silly joke? Umelibeba hadi leo. Bora yako kichwa ngumu.

hunijui, sikujui lol

Inaonekana watu mnachukulia JF serious sana ehhh?
 
si kuna home work?
Afu mtihani sitaki kuwa wa mwisho.

Nimenunua kaunta.

Hujawahi make joke afu ukapokea kibao cha uso??? Tena bora mtu ajibu hapo hapo, unakutana nayo 2 weeks later kwenye sredi tofauti.
Unabaki mdomo wazi, unaona bora kuruka tu hapo.
Unashangaa, that silly joke? Umelibeba hadi leo. Bora yako kichwa ngumu.

hunijui, sikujui lol
Silly!!

Unaweza kuta mtu hata akiwa anatafuta usingizi bado anafikiria/kwazika na alichoandika fulani JF. Mi hua nikitoka ndio basi. . .ndio maana wakati mwingine nachangia mada za watu bila kujua washanifanya adui alafu wanalipuka kama mabomu ya mchina.

Alafu we nna kesi na wewe. . .
Kuna mtu aliniambia eti 'nahehe' sio ndio. . ndio ni 'enhe'. Ngoja ukute ulinifundisha kutukana!!
 
@Lizzy
tatizo lako ni spelling
nahene(not nahehe) - ndio
enhe - sawa, ila huwezi jibu mtu mzima enhe labda watoto na vijana wenzio.
Kama una adabu huwezi mwambia baba ako 'enhe'
 
Back
Top Bottom