I wish I could take it back...

@Lizzy
tatizo lako ni spelling
nahene(not nahehe) - ndio
enhe - sawa, ila huwezi jibu mtu mzima enhe labda watoto na vijana wenzio.
Kama una adabu huwezi mwambia baba ako 'enhe'

Ohhhh owwkey.
Kwahiyo kiheshima ni nahene. . . na kishkaji enhe?
 
ndio, enhe kishkaji, nahene kiheshima.

afu enhe inatumika wakati mtu anakusimulia kitu
afu na wewe unaitikia enhe, ili aendelee kumwaga story.

Kama kiswahili unasimulia afu unaitikia ehee ili story ikolee. Si unajua mtu hawezi simulia story ndefu afu wewe uko kimya tu.

Nahene mayo!
 
Even kwenye maisha kaka
ishi the way u like
Usipende na wala usiwe mtu wa hasira
Ignore hata mtu akikuudhi sometime chukulia yeye ni mpumbavu na achana nae usikunje sura wala kujibizana nae maana utajiumiza wewe
Take easy and uso wako upambwe na tabasam muda wote hata wakati wa mambo mazito maana Mungu anajua kuwa yapo na atakupa njia ya kuyakwepa na kuyamaliza

Thanks tena kaka.
Hapo kwenye red sio kwa manufaa yako tu, inaweza hata kufariji wakati mwingine
pia inakufanya urelax na kujua unatatua vipi tatizo lako.
Me like that!
 
Thanks tena kaka.
Hapo kwenye red sio kwa manufaa yako tu, inaweza hata kufariji wakati mwingine
pia inakufanya urelax na kujua unatatua vipi tatizo lako.
Me like that!

True
na wakati mwingine sio kila mtu ajue kuwa una matatizo
Unapambw ana uso wa tabasamu hata katika muda wa matatizo makubwa
Ila moyoni mwako unajua kuwa kuna nini kinachoendelea na unafanya kila njia kutafuta solution ya hilo tatizo
 
Thanks tena kaka.
Hapo kwenye red sio kwa manufaa yako tu, inaweza hata kufariji wakati mwingine
pia inakufanya urelax na kujua unatatua vipi tatizo lako.
Me like that!

Soma hii issue ya smile
attachment.php
 
Back
Top Bottom