I was lonely and YOU WERE THERE!!!

Minafikiri ule msemo wa wenzetu "a bird in hand is better than two in the bush"ndio unafanya watu wakajikuta wanamahusiano ya maigizo tu baadaye wale two in the bush wakitokea a bird in hand anaachwa wakati kesha nyonyolewa mabawa hata kuruka hawezi tena.Cha msingi kuwa makini not kukurupuka tusijejikuta tuko ndani ya hollywood ya mapenzi.
 
Inatokea kama wale wabushi wana nyama zaidi!
 
Dah hii thread ina mambo muhimu na ya msingi sana!!
Elimu nzuri LIZZY, ubarikiwe!!
 
Back
Top Bottom