I was lonely and YOU WERE THERE!!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,805
59,285
Mara nyingi hua inatokea kwamba watu wanaona/chukulia vitu zaidi ya vilivyo (READING TOO MUCH INTO SOMETHING).
Kwenye mapenzi mara nyingi tunalalamika ''nilidhani ananipenda sasa inakuaje ananiacha mimi kwaajili ya mwingine??...Inakuaje ananiacha tu bila hata sababu??Mbona sijamkosea chochote???''
Ukweli ni kwamba wakati mwingine mtu anakua na wewe sio kwamba anakupenda sana bali anakua na hitaji la kua na mtu karibu.....na hata kama katika hali ya kawaida wewe usingekua chaguo lake la kwanza anaamua kua na wewe kwasababu uko pale karibu na tayari.

Kama ambavyo wadada wengine hua wanaassume mkaka anamtaka kwasababu tu he is being nice and kind......au kwa wakaka (baadhi) mdada anajilengesha kisa tu kakukumbatia au kakualika mlo kwake au sijui kakupa zawadi ndivyo ambavyo wakati mwingine hua tunaasume tunapendwa hata kama hatujaambiwa!!!

Unaweza kujikuta kwenye mahusiano mazuri ajabu...hamna kugandana wala kusumbuana kwa wivu....yet kila mmoja anaoneysha kujali kiasi kwamba mtu unaona hapa nimefika!!!Siku mwenzako akiona upweke wake umeisha anakuangusha kama mkaa wenye moto wewe unabaki uking'aa macho!!!

Newayz nnachojaribu kusema ni kwamba wakati mwingine hua tunajiumiza wenyewe kwa kufanya kitu kidogo kua kikubwa bila uhakika....inabidi tuanze kuchukulia mambo kirahisi kwa kiasi flani pale tunapoanza mahusiano mpaka uone kama kweli mwenzako anaelekea unapofikiria kabla ya kutoa moyo wako wote!!!!

Nawakilisha!!!
 
HAPANA
NAKATAAAAAAAA KABISAAAAAAAAA :hand::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
WEWE HAUNA MIAKA 23:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today), Mr. Cool (Today)​
 
Lizzy stop analizing too much yoooo! there is a saying a woman will kiss a lot of frogs before meeting her prince so most probably you are in the frogs phase,just hang in there you prince is still on his way.
 
Khah! we ulimpenda Liz au number 23 ???
 
Inaitwa "thinking on behalf of someone hiyo...." nimeipenda hii thread....mtu akishikwa tu katumbuka.....tuwe tunatulia kidogo....wengine tunaonyesha mapenzi bila hata kujijua.....l.o.l
 
Kweli, tupeane muda angalau miaka miwili ya kusomana. Kuona kama tabia zinaendana.
 
Lizzy stop analizing too much yoooo! there is a saying a woman will kiss a lot of frogs before meeting her prince so most probably you are in the frogs phase,just hang in there you prince is still on his way.

so you are one of the frogs??? habari yako bana....??
 
Kweli, tupeane muda angalau miaka miwili ya kusomana. Kuona kama tabia zinaendana.

duh....miaka miwili unasomana na malaika au binadamu mpenzi? vipi ile kitu inakuwepo au ndo forbidden hadi certificate ya kusomana itolewe??
 
HAPANA
NAKATAAAAAAAA KABISAAAAAAAAA :hand::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
WEWE HAUNA MIAKA 23:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today), Mr. Cool (Today)​

Hahahhahaha!!!Sipiyu bwana!Niweke cheti cha kuzaliwa?????
 
Kweli, tupeane muda angalau miaka miwili ya kusomana. Kuona kama tabia zinaendana.
Hahaha! spanish lady mambo gani ya kuwekeana usiku hayo siku mbili zinatosha nikija Dom ijumaa mpaka jumamosi umenisoma na kunikabidhi kilakitu sawa ?
 
Lizzy stop analizing too much yoooo! there is a saying a woman will kiss a lot of frogs before meeting her prince so most probably you are in the frogs phase,just hang in there you prince is still on his way.

Uporoto bwana mi nlikua nafikiria tu!!I know where my prince is.......usafiri tu sina wa kumfuata alipo!!!!!!!:wink2:
 
Inaitwa "thinking on behalf of someone hiyo...." nimeipenda hii thread....mtu akishikwa tu katumbuka.....tuwe tunatulia kidogo....wengine tunaonyesha mapenzi bila hata kujijua.....l.o.l

Kabisa dearest.....unakuta mtu anajiaminisha kile anachotaka yeye bila kujua kama ndicho au la!!!!:decision:
 
duh....miaka miwili unasomana na malaika au binadamu mpenzi? vipi ile kitu inakuwepo au ndo forbidden hadi certificate ya kusomana itolewe??

ile kitu haipo aisee. Ila mnaweza kuanza mdogo mdogo. Kisses & hugs huku mkiendelea kusubiri certificate.
 
Kabisa dearest.....unakuta mtu anajiaminisha kile anachotaka yeye bila kujua kama ndicho au la!!!!:decision:

duh....inauma hii ukiifanya....unajiona mjinga sana mwishoni....ndo maisha dearest...!!!!!!!!!!!
 
Kaniambia ana 23yrs, nimempenda kwa sababu bado kabinti katamu. Akiniambia yuko 34 wakati nimeshamuoa simuelewi na wala sitamuelewa
Sasa kuna wengine tunamtaka hata akiwa 43 how about that.
 
Kaniambia ana 23yrs, nimempenda kwa sababu bado kabinti katamu. Akiniambia yuko 34 wakati nimeshamuoa simuelewi na wala sitamuelewa

Sasa je nikifikisha hiyo 34?????:A S 13:
 
Nilijua tu utanishambulia lol! vipi hujambo,hivi dear is it that time of the month nini ? nisije nikachukia kumbe ni mambo ya biologia hahaha!

sasa huko unakoenda tutakosana....uwe na mipaka Uporoto...:rain:
 
Back
Top Bottom