Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Yuko huru kuolewa sawa..lakini si na mwanawe! Kuwa judge kibiblia pls read Leviticus...pia kisheria..due to prohibited relationships hawawezi kuoana.They are in incestuous relationship na nashangaa kwanini hawashtakiwi kijinai![/QUOTE]
Waberoya,
Kuna mistari mingine pia:
BibleGateway.com - Passage(Tusi)Lookup: Leviticus 18:6-18
Ukitaka kuumiza kichwa, kuna discussion hapa:
Adam + Eve + Incest.
...............................................................................................................................
Asanteni hapo juu, sikuwa na lengo na wala siwasupport nilikuwa nataka vifungu vya kujilinda mara nitakapoulizwa maswali kama hayo.
Nimegundua pia: Je sheria za nchi zinasemaje kuhusu haya mambo?. Halafu mbona kama wanakijiji wa maha;i pale waliwagwaya hawa watu? maana waliwapa condition wasioane au waondoke!
Nadhani kuwaambia waondoke ni kama mmewaruhusu wafanye so I suspect law is silent about that, au pengine wengi hapo kijijini wamezoea hali hii.
Maana hawa wameweka hili publically tumesikia vipi kuhusu wanaofanya kisirisiri? zamani waliwekewa mitego na kuuawa! hiki kijiji labda wanatabia zanazoshabihiana, kurithishana wajane n.k
Pengine wamekimbilia Tanzania!!! let imagine kuna watanzania wamefanya the same,SHERIA YETU INASEMAJE? maana tuendako kuna vituko vingi kama hivi vinakuja!
waberoya.