I want to marry My Mother

Hainiingii akilini hata kidogo! Mama na Mwana kuvuliana nguo? Dunia imeisha sio siri! "Mkiyaona hayo yote, jueni ni mlangoni!"-Yesu Kristo
 
hata mie naona hiyo ndo inafaa
midume yote hii hadi wala mayai yako mwenyewe?

Kongo ,
kuna laana dunia hii kwa kweli.
Wanawake wote huko nje jamaa ameamua kumpanda mama yake
duhhh yaani anaingilia tundu hilo hilo alilotoka ..Kinyaa kwa kweli..

Na huyo
mama mtu mzima kabaki hapo ku lalamika ohhh
nimemtunza ,sjui niliharibu pesa zangu kwaakwe looh
Kwani wakati anabeba mimba alikuwa hajui majukumu hayo..
Hatari kwa kweli..
 
@AD
afu sio kwamba anampenda kijana wake
ni pesa anaogopa isiende kwa mwanamke mwingine
ukute hata alimlazimisha mtoto wake ku du naye.
 
@AD
afu sio kwamba anampenda kijana wake
ni pesa anaogopa isiende kwa mwanamke mwingine
ukute hata alimlazimisha mtoto wake ku du naye.

Brainwashed..
Maskini kijana usikute alianza ku lawitiwa na mama tangu
alivyo kuwa mdogo. na sasa hajui kipi jema ana ona mama ndo chaguo..
wanawake wengine bana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom