TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,910
- 11,306
Wakuu, nalazimika kusema kwamba sipendi na nasikitika huu mkutano uko Dar... to my observation,
kwa sasa naona Tanzania inakua kama conference center tu, maana for the past 12 months tume-host mikutano mikubwa sana zaidi ya saba na sioni chochote zaidi ya maisha yaleyale tu!
- umekua kero kwetu,
- nina imani kwamba watanzania wa kawaida watagain very little
- pesa yetu inatumika - kama ilivyokua mikutano mingine
kwa sasa naona Tanzania inakua kama conference center tu, maana for the past 12 months tume-host mikutano mikubwa sana zaidi ya saba na sioni chochote zaidi ya maisha yaleyale tu!