I am not supporting wef meeting in dar - too much meetings, nothing gets done

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,690
11,028
Wakuu, nalazimika kusema kwamba sipendi na nasikitika huu mkutano uko Dar... to my observation,

  • umekua kero kwetu,
  • nina imani kwamba watanzania wa kawaida watagain very little
  • pesa yetu inatumika - kama ilivyokua mikutano mingine

kwa sasa naona Tanzania inakua kama conference center tu, maana for the past 12 months tume-host mikutano mikubwa sana zaidi ya saba na sioni chochote zaidi ya maisha yaleyale tu!
 
Nimetoka nyumbani saa 11 alfajiri.
Nimefika kibaruani saa 2 na nusu asubuhi. Cha ajabu mimi ni miongoni mwa tuliowahi!
Huu uchumi ndio kuukuza au kuua?
 
Nimetoka nyumbani saa 11 alfajiri.
Nimefika kibaruani saa 2 na nusu asubuhi. Cha ajabu mimi ni miongoni mwa tuliowahi!
Huu uchumi ndio kuukuza au kuua?

Muungwana anasema wenye mahoteli watapata, wenye taxi watapata hahahahh anasahau wafanyakazi hawataproduce....ama kweli wabongo tuliangalia sura badala ya ufanisi wakati wa uchaguzi...
 
Kazi ipo.
Wanasiasa wetu waache kuwadanganya watu kuwa watafaidika na hii mikutano.
Sana sana bwana mkubwa anatumia fursa hii kuuza sura nje.
 
Bujibuji - kuwaachia wana siasa hafiku kutuamulia hatma ya taifa letu - imesha-tucost vya kutosha sasa ni muda wa watu makini wa step-up waingie kwenye uongozi.

Msije kushangaa siku moja ugeni unakuja tunaambiwa tukadeki kabisa hii barabara hii ya Ally Hassan Mwinyi kwa zamu kabla waheshimiwa hawajapita wasimalizi FFU.
 
Mimi nimetwangwa warning letter kuwa nimechelewa, jana circular ilitoka saa 1 kamili wote tuwe hapa ili tu produce. Imagine nimetoka bunju saa 11 kasoro 10 nimefika posta saa 2 na nusu mpaka nilibanwa na ndogo njiani nikatamani nishuke kwenye basi.
 
Nimetoka nyumbani saa 11 alfajiri.
Nimefika kibaruani saa 2 na nusu asubuhi. Cha ajabu mimi ni miongoni mwa tuliowahi!
Huu uchumi ndio kuukuza au kuua?

Chrispin... mtu anaangalia sura ya media na international perception wakati kwa watu elfu kumi tu kupoteza saa moja ni lots of money has ukizidisha na gross income per hour... and we do this for four days, and yet we alk of our pato kuwa dogo...

the biggest question is hicho kipato kidogo tunatumia kufanyia nini?

i can tell you kwamba kwenye diaspora ilikula kwetu, na hii inakula kwetu
 
Muungwana anasema wenye mahoteli watapata, wenye taxi watapata hahahahh anasahau wafanyakazi hawataproduce....ama kweli wabongo tuliangalia sura badala ya ufanisi wakati wa uchaguzi...
mkuu

wenye mahoteli ni wale ambao wana account nje na wana misamaha lukuki ya kodi na wanakatwa 30% ya net profit wakati sisi tunakatwa 30% ya gross income

our priorities are really in reverse order

this mkutano sucks!!
 
DI-NOVO,
tukutane pale mahala tulijadili hili?
leo wadau wa idara wamenibana sana kuna wazungu wanakuja kutathmini pesa zao walizotoa za kutufundisha kupanda miti na kunawa mikono

unless tuifanye saa moja na kuendelea
 
Kazi ipo.
Wanasiasa wetu waache kuwadanganya watu kuwa watafaidika na hii mikutano.
Sana sana bwana mkubwa anatumia fursa hii kuuza sura nje.

mkuu nilisikiliza BBC wanazungumzia membe aliwashukuru wajapani kwa misaada yao na kusema ni mizuri sana kwa wanasiasa... badala ya wananchi!!! i nearly collapsed
 
leo wadau wa idara wamenibana sana kuna wazungu wanakuja kutathmini pesa zao walizotoa za kutufundisha kupanda miti na kunawa mikono

unless tuifanye saa moja na kuendelea
haahahahahaha!
manake dah!najiuliza hii foleni tukutuku litakata mafuta hata mwenge sijaiona
 
Kazi ipo.
Wanasiasa wetu waache kuwadanganya watu kuwa watafaidika na hii mikutano.
Sana sana bwana mkubwa anatumia fursa hii kuuza sura nje.

we acha bana, wakati wa Sullivan watu walitoka biharamulo, mtwara,yaeda n.k macanter yamejaa vinyago mkulu kawaambia watauza...kilichotokea kumbe Seif (cultural heritage) ameshatayarishwa wageni wote wameenda kuzoa vinyago na mawe (tanzanite) yote kule....masikini sijui wale wafanyabiashara walisurvive vipi na hasara ile
 
bujibuji - kuwaachia wana siasa hafiku kutuamulia hatma ya taifa letu - imesha-tucost vya kutosha sasa ni muda wa watu makini wa step-up waingie kwenye uongozi.

Msije kushangaa siku moja ugeni unakuja tunaambiwa tukadeki kabisa hii barabara hii ya ally hassan mwinyi kwa zamu kabla waheshimiwa hawajapita wasimalizi ffu.

solution ni sisi wenyeji kukamata ardhi, kuirasimisha na kuwekeza kwenye kilimo badala ya ajira za elfu themanini na saba na mia nne sabini na tano

then they will come down!!!

Wanasiasa ni hatari sana kwa uchumi wetu... Na ndio maana wanadiriki kufunga barabara, kuwapa watu muda wa kutozalisha nk. Bila kuangalia impact

lets ask ourselves... Hii mikutano ni cost effective??
 
haahahahahaha!
manake dah!najiuliza hii foleni tukutuku litakata mafuta hata mwenge sijaiona

hamna wiki hii foleni inaisha mapema maana tunarudishwa majumbani kama watoto wa shule za chekechekea... leo kumi na nusu kila mtu awahi akalale
 
we acha bana, wakati wa Sullivan watu walitoka biharamulo, mtwara,yaeda n.k macanter yamejaa vinyago mkulu kawaambia watauza...kilichotokea kumbe Seif (cultural heritage) ameshatayarishwa wageni wote wameenda kuzoa vinyago na mawe (tanzanite) yote kule....masikini sijui wale wafanyabiashara walisurvive vipi na hasara ile

thanks saaana deci... mwaa, mwaaa, mwaaaaaaaa... this is what happens exactly in our country! kila kitu kiko choreographed na wachache wetu tunabung'aa labda watakuja kona bar kupata mishkaki!!!

walikuja watu wa sullivan aisee, waliofaidi ni madalali wa magari ya kukodi, wakaja wale wa diaspora, tukalipa hata baadhi ya gharama na akina viola wakakodi magari yote...

yaani kuna watu walio pembeni ya mkulu wamekua kama madalali tu aisee
 
we acha bana, wakati wa Sullivan watu walitoka biharamulo, mtwara,yaeda n.k macanter yamejaa vinyago mkulu kawaambia watauza...kilichotokea kumbe Seif (cultural heritage) ameshatayarishwa wageni wote wameenda kuzoa vinyago na mawe (tanzanite) yote kule....masikini sijui wale wafanyabiashara walisurvive vipi na hasara ile

sullivan nilikuwa arusha, nilishangaa kuckia mkutano upo AICC wafanyabiznec wapo kule njiro, i was like jamani hivi kule njiro hawa watu wa mkutano watafika saa ngapi kuangalia hiyo biznec? hivi walifika huko njiro kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom