I am missing my country: Tanzania raha jamani!

Ofcuz wanafukusa watu huku is the same with Tz the reason why my parents they moved to Denamrk is because my dad who is Danish couldnt get vitambuliso vya Tz is not only ulaya

Ni kweli, hakuna nchi inayopenda watu wasio raia wabaki muda wao wa kuishi ukiisha!
 
Kuna kitu tunashindwa kukikubali...

Hata ukiwa na makaratasi au passport ya aina gani yaani ukitoka tu kwenye mipaka ya nchi yako (Tanzania etc)... wewe umeshakuwa "Second class citizen" .. Jinamizi la nyumbani na utamaduni wako vitaendelea kukusumbua daima na miaka yote..

Yaah ni kweli, hii ndio inayotutesa huku Ubaibuni, You do not belong here..... mbaya zaidi, sencond class citizen...
 
Yaah ni kweli, hii ndio inayotutesa huku Ubaibuni, You do not belong here..... mbaya zaidi, sencond class citizen...

Pole mwaya, Mungu akusaidie na afanyike msaada wako wa karibu na best friend wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom