Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
siku hizi waajiri wengi wanaangalia perfomance ,ndio maana makampuni ya kihandisi yanapendelea kuajiri VETA au dar TECH kwa sababu wako exposed zaidi kwenye practicals...dar tech wanafanya i think 60 % practicals na 40% darasani..wakati wale wa mlimani wako wengi kiasi kwamba hawapati muda wa kutosha wa mazoezi....kama ana kichwa kizuri atagain momentum baada ya kukaa kazini miaka miwili but la sivyo wanawaita ma engneer wa kitabuni...