Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

siku hizi waajiri wengi wanaangalia perfomance ,ndio maana makampuni ya kihandisi yanapendelea kuajiri VETA au dar TECH kwa sababu wako exposed zaidi kwenye practicals...dar tech wanafanya i think 60 % practicals na 40% darasani..wakati wale wa mlimani wako wengi kiasi kwamba hawapati muda wa kutosha wa mazoezi....kama ana kichwa kizuri atagain momentum baada ya kukaa kazini miaka miwili but la sivyo wanawaita ma engneer wa kitabuni...
 
Kuna tofauti kati ya mhandisi, fundi sadifu na fundi mchundo. Kila mhandisi anafanya kazi na manfundi mchundo na mafundi sadifu wengi sana. Kwa hiyo kiwanda kimoja kinaweza kuwa na mhandisi mmoja tu na akatosheleza mahitaji ya kiwanda kizima na hivyo kisiajiri mhandisi mwingine, lakini kikaendelea kuwa kinaajiri mafundi mchundo na mafundi sadifu kila mwaka.

Hakuna engineer anayefanya kazi kwa mikono kama kufungua bolt au kuchonga chuma, hiyo ni kazi ama ya fundi mchundo au fundi sadifu. Vile vile engineer hafanyi kazi kutoka kichwani, ni lazima awe references nyingi ili kukamilisha project yake. Mawajiri huyo anayesema haajiri mainjia wa vitabu, ujue hahitaji mainjia bali anahitaji mafundi mchundo au mafundi sadifu. Nina shaka sana kama kweli hayo makampuni yanayosema "mainjia wa vitabu" ni ya kinandisi kweli, kwani kampuni yoyote ya kihandisi huwa ina maktaba kubwa kwa ajili ya mainjia wao.
 
Kuna tofauti kati ya mhandisi, fundi sadifu na fundi mchundo. Kila mhandisi anafanya kazi na manfuzni mchundo na mafunzi sadifu wengi sana. Kwa hiyi kiwanda kimoja kinaweza kuwa na mhandisi mmja tu akatosheleza mahitaji ya kiwanda na hivyo kisiajiri mhandisi mwingine, lakini kikaendelea kuwa kinaajiri mafundi mchundo na mafundi sadifu kila mwaka.

Hakuna engineer anayefanya kazi kwa mikono kama kufungua bolt au kuchonga chuma, hiyo ni kazi ama ya fundi mchundo au fundi sadifu. Vile vile engineer hafanyi kazi kutoka kichwani, ni lazima awe references nyingi ili kukamilisha project yake. Mawajiri huyo anayesema haajiri mainjia wa vitabu, ujue hahitaji mainjia bali anahitaji mafundi mchundo au mafundi sadifu. Nina shaka sana kama kweli hayo makampuni yanayosema "mainjia wa vitabu" ni ya kinandisi kweli, kwani kampuni yoyote ya kihandisi huwa ina makataba kubwa kwa ajili ya mainjia wao.

Hii lugha ya Taifa letu sio rahisi kama tunavyodhani...nikirudi kwenye mjadala. Sasa kwa nini tunapigiana kelele kwenda huko machuoni ili tukawe Ma-engineer wakati ambapo hata ajira zenyewe hapa na uwezekano wa kujiari ni mdogo kwa sababu ya upungufu wa practicals?

Personal Experience: Nilimpa kijana aliyemaliza Umeme mlimani tena kwa maksi kali (nilimfahamu kabla) lakini siku ya siku alipowasha umeme; soketi ya pump ya maji ikalipuka na kuungua. Nikaachana naye na kumpata kijana aliyesoma Dar Tech tena wala hakufaulu na kupata cheti...akafanya kazi nzuri sana. Hapo ndipo ninapoona Tanzania elimu ya juu ni vitabu vitupu, tena vitabu vyenyewe ni vya mwaka 47.

Huku ulaya mwanafunzi alisoma Degree ya IT atajua ku-program kidogo pamoja na mambo mengine katika IT. Inakuwaje mwanafunzi wa UDSM mwenye degree anashindwa kuunganisha umeme wa nyumba, je atawezaku-plan/implement/monitor umeme wa kiwanda kweli? Na kama hao hawawezi, hawa wanaotoka Dar Tech huwa wanapewa elimu advanced kiasi hicho?

Tumepotea sana kwenye elimu Tz, tunahitaji mabadiliko ya dharura kwa kweli.
 
Lol...

Unajua wengine hata kiswahili ni lugha ya pili ama ya tatu...
 
Yebox2 na Nyani, Samahani kwa mataipo yangu kama yaliyosababisha nionekane ninatumia kiswhaili kama lugha ya kumi.

Hata hivyo, watu wengi tunakosea sana kudhani kuwa mhandisi ni fundi mchundo au fundi sadifu, au "fundi" kwa kifupi. Kwenye kiingereza kuna tofauti kati mhandisi yaani "professional engineer" na mafundi kama "craftsman, technician, electrician, blacksmith, carpenter, mason, handyman, mechanic, machinist, ..etc."

Yebo yebo hukutakiwa kumpa engineer akufungie socket ya umeme, aliyetakiwa pale ni electrician. Ila kama ulitaka kujua ukubwa wa socket za kutumia, hapo ungewea kumwuliza injinia. Ingawa mainjinia wengi wanaweza kufanya kazi za ufundi lakini huwezi ku-judge engineering skills za mtu kwa kumpa kazi za technician.

Tatizo ambalo mainjia wetu Tanzania wanapata ni kuwa kazi za kihandisi hazipo kabisa. Afadhali wahandisi wa ujenzi (Civil Engineering) wana kazi lakini maeneo mengine mengi ya uhandisi kama Mechanical Engineering, Chemical Engineering,na Electrical engineering hayana kazi kabisa. Viwandani huwa wanahitaji maintenance engineer mmoja tu na mafundi wa kutosha. Makampuni ya engineering kweli kweli yanayofanya engineering analysis and design, ambayo ndiyo kazi hasa ya engineer, hayapo kabisa. Engineering Design zote zinatoka Afrika ya Kusini au Ulaya.
 
kuhusu ma engneer kuwa under utilized hapo kichuguu umeongea...siku hizi waajiri wengi anataka engneer ambaye pia anaweza kufanya mwenyewe baadhi ya kazi za technician ..hii yote ni katika kubana matumizi...so chuo kikuu lazima wa suit mitaala yao ili yakidhi mahitaji ya soko...yaani kutoa engneer ambaye ni reference kwenye both theory and practical...
ukiona ma engneer wa kichina ,kijapan, au hata wa kizungu wanaopractice wapo very flexible technician wanaposhindwa chochote wao wenyewe huingia na kufanya kazi...kwetu hii iwe changamoto..kuna kipindi moja ya mashirika makubwa kabisa waliajiri batch ya ma engneer .sasa kijana mmoja wao akawa anatabia ya kujifanya anajua sana kuinduces theory zake kwenye process bila kutaka mashauriano na matechnician ambao kuna waliokuwa na uzoefu wa miaka 30 kwa hizo mashine ..yeye ali introduce approach mpya kama alivyozisoma...wale siku moja muhimu wakamtegea makusudi wakisema wamekwama na walihitaji yeye atoe solution..kilichotokea ni kwamba yule engneer aliishika shika ile mashine ya mamilioni ikaungua ..and he lost his job INSTANTLY....SO udsm guys must revisit there practical approaches..

hii pia ianzie kwenye shule zetu..mimi nakumbuka nimesoma kwenye shule za serikali ..katika masomo yote ya sayansi tulitumia muda mwingi MAABARA na kila mmoja wetu tangu kidato cha kwanza alipata wasaa wa kufanya practicals..chini ya usimamizi wa mwalimu na tecnician..na hata tulianya majaribio mbalimbali na kupewa maksi..MITIHANI YOTE YA KITAIFA ilikuwa na mitihani maalum ya practical sio sasa ALTERNATIVE TO PRACTICAL...yaani hata baadhi ya high school hazina maabara ...
kingine kuwepo kwa technical secondary school kulichangia kuwapata vijana wanaoingia kusoma engneering wakiwa tayari wameiva kwenye practicals tangu sekondari..mimi naona sisi kama taifa tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele...
 
.mimi nakumbuka nimesoma kwenye shule za serikali ..katika masomo yote ya sayansi tulitumia muda mwingi MAABARA na kila mmoja wetu tangu kidato cha kwanza alipata wasaa wa kufanya practicals..chini ya usimamizi wa mwalimu na tecnician..na hata tulianya majaribio mbalimbali na kupewa maksi..MITIHANI YOTE YA KITAIFA ilikuwa na mitihani maalum ya practical sio sasa ALTERNATIVE TO PRACTICAL...yaani hata baadhi ya high school hazina maabara ...
kingine kuwepo kwa technical secondary school kulichangia kuwapata vijana wanaoingia kusoma engneering wakiwa tayari wameiva kwenye practicals tangu sekondari..mimi naona sisi kama taifa tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele...

...enzi za dhahabu!

...hivi sasa hazipo tena!

...halafu ndo tunafikiri tutaendelea!

...kama ulivyodokeza,nadhani tunahitaji kazi ya ziada kwenye area hii!

...hata mitaala ya mashule zetu,hasa ya ufundi inabidi ibadilike kabisa....iendane na wakati,hasa huu wa globalization. ama sivyo tutaajiriwa wachina mpaka watu watushangae!

...si unaona jinsi kulivyo na uhaba wa vijana walio mafundi mahiri.

...tutavuna tulichopanda!
 
Miaka ya kampenijakaya ni mtu wa vitendo ,mjasiri ,asiyesita, mwenye kujaribu mbinu mpya za kuinua maisha yetu......miaka miwili baadae ninamtafsiri JK kama mtu asie weza kuthubutu,asie na wazo lake,mwenye aibu,asie na dhamira ya kweli kuinua maisha yetu,mwenye tabia ya kujikana,mtu anaeweza kugeuza maneno katika muda mfupi.
Jakaya rafiki yangu umesahau hamasa ya watu wakati ule wakampeni ukiwalisha tumaini la maisha yao. kuwa kwa Tanzania yenye Neema maisha bora yanawezekana.
Umeamua kumfukuza rafikio , mwenzio , na kigogo wa serikali kwa awamu iliopita na yako mh. Daud Balali, asante.
ila sikupongezi,kwasababu ulikua unamuogopa na dalili zote zilionyesha kuwa ulikua tayari kumlinda na kumshawishi apambane na matatizo yake.........haiingii akilini taarifa wazipate kina DR SLAA kikwete na system yake yote wasiwe nazo....hii haikubaliki, bila pressure ya wapinzani na wahisani leo tungeongea lugha nyingine. ni juu yako sasa kumwajibisha WAZAIRI WA nishati na madini aka mzee wa Buzwagi, pamoja na washauri wake wote. kama hawawezi kuachia ngazi wafukuze ila mahakamni usisahau kuwafikisha ili wakafungwe.
Tafadhali nakusiii usiwaache wale walio sign IPTL NA Wale wahalifu wote....
kwaheri JK
 
Good Job JK, but accept you are still weak; unatagemea taarifa za akina Slaa, Zito, Hamad, Mbowe, Mrema, Mnyika, Rwakatare na wapinzani kwa ujumla kwa ujumla ukiwa na vyombo vya dola; Slaa Andaa Sherehe tupongeze jambo lako sasa Moto Bungeni? Ombi: mtoe KARAMAGI, PM, Chenge, Mramba,Batilda, Meghji etc na upunguze baraza lako linatugharimu mno wananchi
 
Hapa umepiga Ikulu kabisa ila hutasikilizwa jamaa hadi kufikia hapa utaona imemchukua muda gani na hapa kafungwa pake kengele bado watanzania wako kizani na swala la BOT
 
Miaka ya kampenijakaya ni mtu wa vitendo ,mjasiri ,asiyesita, mwenye kujaribu mbinu mpya za kuinua maisha yetu......miaka miwili baadae ninamtafsiri JK kama mtu asie weza kuthubutu, asie na wazo lake,mwenye aibu,asie na dhamira ya kweli kuinua maisha yetu, mwenye tabia ya kujikana,mtu anaeweza kugeuza maneno katika muda mfupi.

Jakaya rafiki yangu umesahau hamasa ya watu wakati ule wakampeni ukiwalisha tumaini la maisha yao. kuwa kwa Tanzania yenye Neema maisha bora yanawezekana.

Umeamua kumfukuza rafikio , mwenzio , na kigogo wa serikali kwa awamu iliopita na yako mh. Daud Balali, asante.

ila sikupongezi, kwasababu ulikua unamuogopa na dalili zote zilionyesha kuwa ulikua tayari kumlinda na kumshawishi apambane na matatizo yake......... haiingii akilini taarifa wazipate kina DR SLAA kikwete na system yake yote wasiwe nazo.... hii haikubaliki, bila pressure ya wapinzani na wahisani leo tungeongea lugha nyingine. ni juu yako sasa kumwajibisha WAZAIRI WA nishati na madini aka mzee wa Buzwagi, pamoja na washauri wake wote. kama hawawezi kuachia ngazi wafukuze ila mahakamni usisahau kuwafikisha ili wakafungwe.
Tafadhali nakusiii usiwaache wale walio sign IPTL NA Wale wahalifu wote....
kwaheri JK

I see, mkuu hapa ulitoa comment kali. Nimekumbuka mengi kwa kusoma hii comment. Hasa hapa ulipoandika hivi:

ninamtafsiri JK kama mtu asie weza kuthubutu, asie na wazo lake, mwenye aibu, asie na dhamira ya kweli kuinua maisha yetu, mwenye tabia ya kujikana, mtu anaeweza kugeuza maneno katika muda mfupi
kwani jambo hili limekuwa likiongelewa sana, hivi ni kweli haya?
 
JK ndiye "tumaini lililorejea"...sasa tunaliona tumaini kwa uhalisia...hadi wanafunzi wa msingi wanagoma...duuh!!!
 
All in all.JK si mjinga.Anamaana kubwa ya kuendeleza urafiki wake binafsi na Tanzania kwa ujumla na USA.Just because aliye nje haoni
 
..............

Personal Experience: Nilimpa kijana aliyemaliza Umeme mlimani tena kwa maksi kali (nilimfahamu kabla) lakini siku ya siku alipowasha umeme; soketi ya pump ya maji ikalipuka na kuungua. Nikaachana naye na kumpata kijana aliyesoma Dar Tech tena wala hakufaulu na kupata cheti...akafanya kazi nzuri sana. Hapo ndipo ninapoona Tanzania elimu ya juu ni vitabu vitupu, tena vitabu vyenyewe ni vya mwaka 47.

Huku ulaya mwanafunzi alisoma Degree ya IT atajua ku-program kidogo pamoja na mambo mengine katika IT. Inakuwaje mwanafunzi wa UDSM mwenye degree anashindwa kuunganisha umeme wa nyumba, je atawezaku-plan/implement/monitor umeme wa kiwanda kweli? Na kama hao hawawezi, hawa wanaotoka Dar Tech huwa wanapewa elimu advanced kiasi hicho?

Tumepotea sana kwenye elimu Tz, tunahitaji mabadiliko ya dharura kwa kweli.

Noana wewe ndugu yangu umeshindwa kutofautisha elimu ya chuo kikuu - TZ na Chuo kama DarTech au IDM Mzumbe nk. Chuo Kikuu kilikuwa na jukumu la kutayalisha wataalam ambao wataendesha nchi kama vile kutoa policy-sera, kwa maana nyingine Viongozi katika sekta mbali mbali za nchi. Hivyo walijikita sana kwenye Theories na practical kidogo kwa sababu hatakuwa fundi stadi au mchundo.
Vyuo kama DarTech and IDM Mzumbe wao walikuwa wanaandaliwa kuwa watenda kazi halisi si watoa sera, hivyo walijikita zaidi kwenya practicals chuoni na fields.
hiyo ndiyo tofauti ya watu hawa wawili kuna sababu ya kulaumu maana jamaa wa chuo alifanya kazi ambayo si yake kimsingi ingawa anaijua vizuri na anaweza kumwongoza fundi akaifanya vizuri.
 
alichokujibu ni sawa kabisa na ieleweke kuwa wanafunzi wa chuo inabidi wafanye kazi zisizo zao kutokana na mazingira mabovu yaliyopo na hii inachangia kwa wao kutoonekana kwamba wanafanya vizuri.
kwa hiyo nafikiri serikali lazima isaidie ili kila mtu afanye kazi zake sio watu wafanye kwa ajili ya njaa ikiwa na mipango mizuri ya kuwaelekeza
 
Noana wewe ndugu yangu umeshindwa kutofautisha elimu ya chuo kikuu - TZ na Chuo kama DarTech au IDM Mzumbe nk. Chuo Kikuu kilikuwa na jukumu la kutayalisha wataalam ambao wataendesha nchi kama vile kutoa policy-sera, kwa maana nyingine Viongozi katika sekta mbali mbali za nchi. Hivyo walijikita sana kwenye Theories na practical kidogo kwa sababu hatakuwa fundi stadi au mchundo.
Vyuo kama DarTech and IDM Mzumbe wao walikuwa wanaandaliwa kuwa watenda kazi halisi si watoa sera, hivyo walijikita zaidi kwenya practicals chuoni na fields.
hiyo ndiyo tofauti ya watu hawa wawili kuna sababu ya kulaumu maana jamaa wa chuo alifanya kazi ambayo si yake kimsingi ingawa anaijua vizuri na anaweza kumwongoza fundi akaifanya vizuri.

kijana hawezi kufikiria kama unavyofanya ndugu yangu,na kama sera ya elimu ilikuwa kama unavyoiongelea basi ndo maana hatuendi popote,,,na elimu kuwa hivyo ulikuwa mpango wa wazungu ili tuendelee kuwategemea,,,na ndo maana hata umeme ukigoma hatuji mlimani kuchukua fundi wa kusimamia ila tunaenda marekani au DIT kuchukua wataalamu wakutengeneza huo umeme,,,na pia nchi km tanzania na mtu anayeishi sasa kufikiria km wewe ni tatizo........
 
Sasa kaka suala la Elimu linaumuimu kuliko kitukingine, ilawatanzania ni wanafik!!!! waki'sikia habari zadini wana andamana lakini mamboyanayohusu hakizao zamsingi wana bweteka!hivi tuta elimika lini? Hivi majuzi wana achia suala la mishahara ya walimu lakini wana jua kabisakuwa huko mashuleni ni watotowao ndio watakao athirika, walimu wanaweka migomobaridi sasa, hivyo tutapata matoto mambumbu tu!
 
Back
Top Bottom