Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,120
- 37,674
Sio wewe pekeake my dear. Yaani Mimi nimecheka sana ndani ya daladala!View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Sio wewe pekeake my dear. Yaani Mimi nimecheka sana ndani ya daladala!View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Hata mimi bado nipo njia panda.Kwani alikuja na usafiri gani kwenye huo mnada Bajaj au Ndinga yake binafs
Usawa huu. Kidume kingevunja rekodi.Naweka mia tisa
Kwa jinsi unavyomfahamu, huo mpunga ni kweli anao au naye njaa tu?
Mdana huwa haurudiwi .kwenye muhtasari wamnada huwa anajazwa mshindi wakwanza mpaka watatu .so kama mshindi wakwanza hakukidhi vigezo anapewa mshindi wapili .Kuna kamchezo nimekasoma hapa.mm nahisi wamefanya hv ili kutengeneza kiki ili wapate wateja wa pesa ya juu zaidi mnada utakaporudiwa
HahahahahaaNasikia alienda kwenye mnada kwa bajaj
Huyu ni mwekezaji kweli kweli kwenye serikali yetu ya vi-wonder.Na wanatarajia kujenga viwanda 30 nchini
Acheni kukariri kuja na ndiga Kali halikufanyi uwe bilionea hata Malaya wana ndinga Kali.Kwani alikuja na usafiri gani kwenye huo mnada Bajaj au Ndinga yake binafs
au 800 itapendeza
Au weka 900au 800 itapendeza
HANA NAMFAHAMU OVER 15 YEARS,HATA ANAPOISHI UTAUMIA SANA NAONA ANA MAONOKwa jinsi unavyomfahamu, huo mpunga ni kweli anao au naye njaa tu?
Kabisa,mzee uwezo wake wa kuuvaa uhusika umepitiliza....Itachukua miaka 100 bongo movie kumfikia huyu mzee
itapendezaNaweka mia tisa
Hahahahaa"Milioni 900, haitaleta tafrani" in Dr Louis's voice
Kwa kweli hata mimi nimecheka sana
Kwa mwenye Bunddle ya kutosha anaweza kumwangalia hapa alivyo serious kwenye manunuzi, atakuwa sio mzima huyu jamaa
NI MSUKUMAWahaya Mungu anawaona mjue
Dah yan huyu jamaa too much alaf hana habar na mtu sasa hawa yono mbna walikua wazembe hvy