edwinito
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 210
- 23
Hahaha Sasa wangejuaje man ikiwa MTU mwenyewe full maconfidence ?!!watz ni wasechu sana yan walivokua wanampepea dah walishndwa hata kujiongeza
Like nobody businessAcha basialivyo serious sasa aise
Nimechekamm waliponiua ni hao wanaompepea dah nahisi walishaanza kumuomba na namba ya sim...maana wadada walijiongeza sana mzee hadi anafutwa jash
Hahahahaaa!Kumbe Dr. shika amekaa Urusi 30yrs, na aliomba laptop afanye internet banking pesa yake ipo Eco bank Kenya. Alifanya na akawaambia hiyo pesa itaingia within 48hrs. Dr. Yupo vzr, tatizo watanzania wanaangalia mavazi.
kaiba jina huyu amna kaziii