Jaman eeeh, msipasue vichwa bure. Hii haijawahi kutokea tangu awam ya kwanza, ya pili wala ya tatu. Ni awamu hii hii ilosema, Maisha Bora kwa kila Mtz. Hapo kumetokea fursa ya ajira na wakakutana na kibopa mwanye nazo. Kawaambia, nibebeni mpaka kuleee tulipoliacha gari niwalipe hizoooo. Huoni wanavyo kimbilia wenyewe?
Mnapouliza kampuni iko wapi, mwataka nanyi kwenda kujiunga hapo?? Huyo mgeni kishaondoka, mngojeni mwakani tena. Hili ni janga la kitaifa, uchizi ndo fasheni hapa. Wawezaje weye kujitia utumwani mchana peupe? Ka ni hiyo mihela yake, ale mwenyewe ila si kunilipa kihivyo
Kwa hiyo wewe unaamini hizi picha sio halisi bali ni photo shop?
Hapana mkuu kampuni ya tour guide inafanya shughuli zake hapa nchini na makao yao makuu ni mkoa mmoja wapo kati ya kilimanjaro au arusha
Anachekesha kwelii
mbona nilisoma kuwa ni Uganda ?
mbona nilisoma kuwa ni Uganda ?
Katika hali isio kuwa ha kawaida na iliowashangaza wengi kampuni ya tour guides imeanza kuwa beba wageni wake wanao tembelea mbuga kupitia kampuni hiyo ,ubebaji huwo ambao machela hutumika kama picha inavyoonyeshaView attachment 230287 umelaaniwa vikali na jumuiya mbali mbali za haki za binadamu, hali Hii pia imeikasirisha serikali kupitia wizara ya mali asili na utalii na kupitia msemaji wake wana azimia kupiga marufuku utoaji huo wa huduma ya biashara, kwani ni udhalilishaji pia unashiria vitendo vya utumiwa, na baadhi ya wanachi wamedai hayo Ni baadhi tu ya mambo mabaya wafanyayo baadhi ya wawekezaji kwa wazawa hapa nchi
Acha kuaminisha watu uongo.Hamna kampun yenye jina hilo Arusha na Moshi.
Umeokota picha umeitungia story! !! Shem on you.
Sasa huyu anatokea wapi kutuambia ni Arusha/Kilimanjaro.............?.....watu wengine bana.........
Sasa huku ni kupiga ramli.........Kwani ukiitaja hiyo kampuni nani anakujua humu.........?......tour companies Arusha na Moshi zipo nyingi sana.........huoni kama ukiiweka wazi utawasaidia waTanzania wenzako ambao wananyanyasika na ukoloni mamboleo.........?......kama hutaki kuitaja umeandika ya nini hii thread.........?
Hizo nimeshuhudia pia. Ni sehemu YA ajira na haipingwi kiporojo kama mnavyotaka kufanya. Hakuna wanaolazimishwa. Tena wanagombania kumbeba sababu kuna tips.
Jaman eeeh, msipasue vichwa bure. Hii haijawahi kutokea tangu awam ya kwanza, ya pili wala ya tatu. Ni awamu hii hii ilosema, Maisha Bora kwa kila Mtz. Hapo kumetokea fursa ya ajira na wakakutana na kibopa mwanye nazo. Kawaambia, nibebeni mpaka kuleee tulipoliacha gari niwalipe hizoooo. Huoni wanavyo kimbilia wenyewe?
Mnapouliza kampuni iko wapi, mwataka nanyi kwenda kujiunga hapo?? Huyo mgeni kishaondoka, mngojeni mwakani tena. Hili ni janga la kitaifa, uchizi ndo fasheni hapa. Wawezaje weye kujitia utumwani mchana peupe? Ka ni hiyo mihela yake, ale mwenyewe ila si kunilipa kihivyo
Preta achana naye huyu dogo JMai ameshatoa jibu post #34 Welcome to the Grace Nafuna Blog.Kampuni ya Tour Guides........?.......ipo wapi........?
una tatizo gani we mbwigambwiga? Kagame hajakunnyongelea mbali?Katika hali isio kuwa ha kawaida na iliowashangaza wengi kampuni ya tour guides imeanza kuwa beba wageni wake wanao tembelea mbuga kupitia kampuni hiyo ,ubebaji huwo ambao machela hutumika kama picha inavyoonyeshaView attachment 230287 umelaaniwa vikali na jumuiya mbali mbali za haki za binadamu, hali Hii pia imeikasirisha serikali kupitia wizara ya mali asili na utalii na kupitia msemaji wake wana azimia kupiga marufuku utoaji huo wa huduma ya biashara, kwani ni udhalilishaji pia unashiria vitendo vya utumiwa, na baadhi ya wanachi wamedai hayo Ni baadhi tu ya mambo mabaya wafanyayo baadhi ya wawekezaji kwa wazawa hapa nchi
Hii nimeshuhudia kwenye camp moja Moshi kwa wapanda mlima. Wanafanya kama part ya fun kwa WAGENI wao. Hasa baada YA kushuka mlima. So tusishangae.