Huyu mkewe ama mamayake???

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
jp%2B%25281116%2529.jpg
 
Sasa wewe shida yako nini!Umbea mwingine bwana!!Hata angekua mkubwa..which you don't know for sure..we inakuuma nini?Umeoa wewe au yeye?ALAFU WEKA PICHA YAKO TUKUCHAMBUE WEWE KWANZA KABLA YA KUBANDIKA ZA WATU WENGINE!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hayo ni mambo ya wapenda nao, usiumie sana moyo. Au ulitoa mchango wa harusi jamaa akasahau kukupa kadi ya mwaliko nn.??
 
mmmh ila na huyo demu kaenda age kiaina,au picha imemtoa vbaya nn coz siamini lkn ata hvyo hayakuhusu............kama ulinyimwa kadi kadai mchango wako!!!!!!!!:washing:
 
Inakuhusu nini, mapenzi ya watu usiyaingilie, umbea tu, bora yeye kaoa wewee??? unazidi kutumika na muda unaenda ukistuka utakuwa mzee unaoa mwanao.. Hovyo!!!!!!!!!
 
mbona inaogopesha jamani??? yaani unachukua picha ya mtu unaweka kwenye mtandao????

hata hivyo PILI PILI IKO SHAMBA - YAKUWASHIANI???????

bi harusi amependeza sana - wanaonekana wanapendana ................. we ulie tu kama ni wivu???????????????? AU NI WEWE MWENYEWE??? USIJALI MKEO BOMBA KUKUZIDI WEWE
 
jamani,tabia mbaya.wenyewe si wamependana?awe mzee awe kijana ni juu yao wenyewe,huku unakokusema na wewe unaelekea huko huko
 
mbona ni mambo ya kawaida tu hayo,mie ninaye bimkubwa wangu kumzidi huyu ndiye anayeniweka mjn,au uliomba ukanyimwa nini?
 
Pdidy una-ugomvi na huyo Jamaa au kakunyanganya? hujui ule husemi wa kipendacho roho!

Lakini Kweli inaonekana kaenda mrama kidogo ila ndio chaguo lake Mkuu Pdidy!
 
Do I smell some jelousies!!? Mhm..........................How Pathetic :embarassed2:?

Anyways Congrats Bw and Bi harusi. Y'all look lovely
 
Sasa wewe shida yako nini!Umbea mwingine bwana!!Hata angekua mkubwa..which you don't know for sure..we inakuuma nini?Umeoa wewe au yeye?ALAFU WEKA PICHA YAKO TUKUCHAMBUE WEWE KWANZA KABLA YA KUBANDIKA ZA WATU WENGINE!

Ni mpumbavu huyo. Hana hata haya kubandika picha za wenzie. Ningekuwa na uwezo vijitu kama hivi ningevifungia visiguse humu jamvini. Pwambafu zake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom