Biashara ikiwa ngumu, binadamu anatafuta ufumbuzi, anaishindaHabari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na...
Missed calls 16 lazima awe hivyo, zile za Salma zilikuwa 40 akafyatuliwa ubongo.Jamaa kama undertaker kwenye mieleka sio poa
Stori ya upande mmoja hii mkuu😅 bibiye nae hatujamsikiliza, au naleta ufeminist?Missed calls 16 lazima awe hivyo, zile za salma zilikuwa 40 akafyatuliwa ubongo.
Mambo kama hayo sio ya kurecord watu hawana ustaarabu....
Watu wameamua kutoa show wenyewe unadhani raia wafanyaje sasaMambo kama hayo sio ya kurecord watu hawana ustaarabu....
Sasa huo upande wapili ataleta nani ili tujue shida ni nini?Stori ya upande mmoja hii mkuu😅 bibiye nae hatujamsikiliza, au naleta ufeminist?