Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia.

Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini.

Screenshot_20240125-192134.png
.
Vyuoni kuna wakware waliopinda wakapinduluka. Atapigwa tukio huyu Mane mpaka aachane na soka kabisa.

Yule mkewe siyo malaika na wala hana moyo wenye wema kuwazidi Delila na Eva .
 
Kila mwanamke mnafananisha na hizo takataka zenu za Daslam zinazotembea bila kuvaa nguo za ndani. Zimevaa vijora ambavyo wanavipandisha kwa sababu ya uzinzi na umaskini.

Hivi kuna mwanamke anayeweza msaliti mane kwa visharobaro vichonga nyusi na vilamba mdomo kwa mkwanja na umaarufu alionao? Huyo binti jamaa alikuwa anamsomesha huko huko chuo na mara baada ya kufunga ndoa akamruhusu aendelee na masomo.

Huyo sio sawa na hao wanuka midomo na wenye harufu ya visamaki wa huko daslama.
 
Kila mwanamke mnafananisha na hizo takataka zenu za Daslam zinazotembea bila kuvaa nguo za ndani. Zimevaa vijora ambavyo wanavipandisha kwa sababu ya uzinzi na umaskini. Hivi kuna mwanamke anayeweza msaliti mane kwa visharobaro vichonga nyusi na vilamba mdomo kwa mkwanja na umaarufu alionao? Huyo binti jamaa alikuwa anamsomesha huko huko chuo na mara baada ya kufunga ndoa akamruhusu aendelee na masomo.

Huyo sio sawa na hao wanuka midomo na wenye harufu ya visamaki wa huko daslama.
Nakala: Achraf Hakimi
 
Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia.

Eti kamruuhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini.
View attachment 2882650
.
Vyuoni kuna wakware waliopinda wakapinduluka. Atapigwa tukio huyu Mane mpk aachane na soka kabisa. Yule mkewe siyo malaika na wala hana moyo wenye wema kuwazidi Delila na Eva .
Kama atamnunulia Mkewe huyo Chupi yenye Kufuli na Funguo zake atakuwa anabaki nazo Yeye ( Sadio Mane ) Nyumbani Kwake / Kwao sawa, ila kinyume na hapo ajiandae Kubanduliwa kwa Mkewe bila ya Huruma na Masela / Wajuba.
 
Don't project your insecurities on other people's relationships..kama ww ulikuwa mzinzi chuoni sio Kila mtu yuko hivyo
Wewe utakuwa ni mwalimu mkuu huko Namtumbo halafu unamsomesha mkeo chuo, anakudanganya kwamba siyo kila mwanamke anachakatwa.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaingia na kuhitimu chuo bila kuchakatwa....awe mke wa tajiri ama maskini lazima achakatwe.
 
Kila mwanamke mnafananisha na hizo takataka zenu za Daslam zinazotembea bila kuvaa nguo za ndani. Zimevaa vijora ambavyo wanavipandisha kwa sababu ...
1. Nick wa 2 ni maarufu na anapesa na alitombew(a) kwa mwanamke mwenye CPA (msomi)
2. Haji manara ana umaarufu na pesa alitombew(a)
3. Diamond ni maarufu na pesa kibao ila alitombew(a)
4. Watu maarufu kibao ulaya walivunja ndoa na mahusiano sababu ya kutombew(a)

Niendeleee?

Nani kakudanganya umaarufu na pesa humtuliza mwanamke?

Kwani habari za mahausi boi kugonga wake wa mabosi wenye pesa mjini hujawahi sikia??

#YNWA
 
Back
Top Bottom