wazirib28
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 460
- 275
Ndio maana Mungu amenijalia kupenda kazi ya sanaa siyo msanii..Kwa ku compose na kuimba tusijishaue, Michael Jackson alikuwa kiboko, na sii hapa nchini tu bali dunia nzima.
Ndio maana Mungu amenijalia kupenda kazi ya sanaa siyo msanii..Kwa ku compose na kuimba tusijishaue, Michael Jackson alikuwa kiboko, na sii hapa nchini tu bali dunia nzima.
Na mpaka sasa mimi sijaona msanii mwenye sauti na anaekamata jukwaa kuliko marehemu huyu.Kwa ku compose na kuimba tusijishaue, Michael Jackson alikuwa kiboko, na sii hapa nchini tu bali dunia nzima.
Kuna Maana rasmi 9, Mimi nakupa 1 tu: MTU WA PWANI ya A. Mashariki.Nini maana ya mswahili?
Sure R. I. P WAKO JACKOHakuna wa kukupa jibu sahihi labda yeye mwenyewe! Ni kumwachia yeye na Mungu wake tu. R.I.P MJ
Kwanza sahihisha hapo huyo si mswahili au kila aliyekuwa mweusi ni mswahili?
Hivi kumbe watu wote wanaoishi Afrika ni waswahiliNi mswahili kwa maana ya asili yake, mwafrika.
Umeumia kuskia nimeishi nae mtaa mmoja eeh! haha waafrica bhana, kwani MJ sialikuwa binadamu wa kawaida kama binadamu wengine au?
Nani kakataa ni binadamu. Obama ni binadamu kama binadamu wengine nenda kanywe nae coffee white house basi kwasababu ni binadamu kama binadamu wengine.
Kuna kitu inaitwa status. Hizi bange bhana zinawafanya watu kitu kibaya.
Na ni kweli uanvyosema mkuu ama jamaa anadhan kwamba MJ ni mungu kwamba hawezi ishi mtaa mmoja na binadamu wengine niniUna uhakika gani sasa na wewe! Jamii Forums imekombine sana mkuu!!
Si ndo hapo sasa alikua binadamu kama sisi tuu!!!Na ni kweli uanvyosema mkuu ama jamaa anadhan kwamba MJ ni mungu kwamba hawezi ishi mtaa mmoja na binadamu wengine nini
View attachment 389710
Michael Jackson , mwaka 1972.
View attachment 389711
Michael Jackson mwaka 2001.
Mimi ni mpenzi sana wa good music, ingawaje sifuatilii sana personalities, lakini kwa huyu " mswahili" mwenzetu kujichubua hadi aonekane kama mzungu lilinisikitisha sana.
Nikiwa kijana "Off the Wall"," Billie Jean"," Black and White"," Bad" , "Thriller" ni kati ya vibao vingi nilivyo vishabikia kwa sana.
Hebu waTz tumhukumu huy Icon , alipatwa na masahibu gani kiakili?
Sifa za kijinga
Kikwete aliwahi kusema "changanya na za kwako"Hivi kumbe watu wote wanaoishi Afrika ni waswahili
Mkuu mbona unacheka sana! mm na asili ya Asia Kusini Citizenship India, Nimezaliwa India nimeishi State miaka 6 Tanzania na miaka 12! Mzee wangu alikuta na Anaishi Tanzania kwa miaka mingi alikutana na Mama kwenye biashara zake Nyumbani India mama akapata kazi kwenye shirika moja la umoja wa mataifa State nimeishi na mama baba karudi Tanzania kwenye biashara zake ila familia nzima tupo Tanzania!!Nimecheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka, duh...Inawezekana ni kweli ayasemayo, usimdharau mtu......duh, alipanga mtaa mmoja na Michael Jackson mwaka 1999...dah, hivi huyu jambazi anatoka mkoa gani nchini mwetu!!!!????...tehtehtehtehteh......
Mkuu mbona unacheka sana! mm na asili ya Asia Kusini Citizenship India, Nimezaliwa India nimeishi State miaka 6 Tanzania na miaka 12! Mzee wangu alikuta na Anaishi Tanzania kwa miaka mingi alikutana na Mama kwenye biashara zake Nyumbani India mama akapata kazi kwenye shirika moja la umoja wa mataifa State nimeishi na mama baba karudi Tanzania kwenye biashara zake ila familia nzima tupo Tanzania!!
Siyo wote hapa jf waswahili
Usijali bro! Jf nimejifunza vitu sana kama kuelewa kiswahili fasaha!!Kama ni kweli nisamehe bure....umejieleza vizuri na sina sababu ya kuhoji maelezo yako...thanks for that....nimependa namna ulivyoeleza hapa kwa uungwana na bila jazba ya aina yoyote....