Huyu Michael Jackson alipata matatizo gani kiakili?

nilidhani ni thread ya miaka ile aliyokufa MJ kumbe ya wiki hii hii,umechelewa sana kuleta mada hii. mbona kama unataka kujadili mambo yanayofanana na hili yapo mengi mfano huyu kijana wa tandale sijui chibu sijui dangote anavaa kipini puani,ilibidi angalau tumjadili huyu kabla hajaharibikiwa maana MJ alianza hivi hivi mwisho akalowea kwenye uzungu, bora kumjadili huyu mbunge wa tandale ili asije nae akapotea
Kweli watu kama Jacko the Wacko, wako wengi.
Suala ni nini tufanye tusibadilike kifikra hadi mtu anajigeuza kinyago badala ya umbile lake zuri tu la kibinadamu.

Sifa inaua!
 
Mi namfahamu huyu jamaa kabla hata hajahama ngarenaro,alikuwa hakosekani mabanda umiza na alikuwa anajipenda mno kabla hajapata hata visa ya u.s.a ,kwa habari zake zaid nitazidondosha next week kama mtapenda ,si tulikuwa tunapenda kumuita maiko,,r.i.p michael
 
mara alikuwa anaumwa vitigro mara kajichubua mara plastic surgery! ohoooo... tuelewe lipi..? haya ndo matatizo ya kufatilia maisha ya wasanii bora nibaki najua kazi zake nikisikiliza human nature
billie jean
black or white
heal the world
rock with you n.k inatosha
 
Duh hizi hela kweli ni mwanaharamu usikute alijibadilisha kwa gharama ya hali ya juu
 
Huyu jamaa nakumbuka miaka ya 99 tulikuwa tumepanga nyumba mtaa mmoja yaani tulikuwa majirani kabla ya mim kurudi India na kuja kuishi Tanzania, MJ jamaa alikuwa akipendwa sana 24/7 hrs waandishi wa habari walikuwa hawakosekani nyumbani kwake! R.I.P MJ
Hongera sana kwa kuishi karibu na supa staa
 
as far as i heard aliungua wakat akishoot kwenye tangazo la Pepsi when he was sing kulikuwa na spark ambazo zilikuwa miongon mwa lile tangazo so zilishika nywele zake na kusababisha aungue badly maeneo ha kichwa so ikabid afanye plastic surgery ili kuondoa makovu so ikabid awe white.....
 
alivokuwa mzungu ndio akaanza kutunnzuri, kwani hujui baada ya Mungu ni mzungu?
 
Maisha yake yalipitia masahibu mengi,mabadiliko yake mengine aliyapenda mengine hakuyapenda,mfano inasemekana wakati akijiandaa kutengeneza tangazo la pepsi miaka ya 70 mwishoni inasemekana nywele zake zilishika moto na akaungua sehemu kubwa kichwani hicho kikawa chanzo cha kuvaa wigi,Pia alikuwa na ugonjwa wa ngozi unaoitwa vitiligo ambao rangi ya ngozi inababuka yenyewe na kutengeneza mabaka meupe matokeo yake katika kuficha udhaifu akaanza kujichubua,kuhusu pua yasemekana jamaa alitaka mwenyewe ichongwe iwe kama ya kizungu,lakini baada ya kufanyiwa upasuaji huo akaanza kuwa na matatizo ya upumuaji hiyo ikalazimisha afanyiwe mfululizo wa upasuaji wa pua ulioharibu kabisa shepu ya pua yake. Kwa taaarifa zake kiundani zaidi wasiliana na dadake kipenzi Janet Jackson.
 
Acha uchimvi wewe!!!
 
Ukikurupuka unaweza kumlau MJ...ila hiyo ilikuwa mbinu ya wazungu....pili kuhusu puwa, baba yake alichangia kwa kiasi kubwa.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom