Huyu Michael Jackson alipata matatizo gani kiakili?

Umeumia kuskia nimeishi nae mtaa mmoja eeh! haha waafrica bhana, kwani MJ sialikuwa binadamu wa kawaida kama binadamu wengine au?

Nani kakataa ni binadamu. Obama ni binadamu kama binadamu wengine nenda kanywe nae coffee white house basi kwasababu ni binadamu kama binadamu wengine.

Kuna kitu inaitwa status. Hizi bange bhana zinawafanya watu kitu kibaya.

Michael Jackson bleached his skin to 'erase his memory' of his alleged abusive father

AAicpOT.img
© Bang Showbiz Michael Jackson

Michael Jackson bleached his skin to "erase his memory" of his alleged abusive father, according to the physician Doctor Conrad Murray.

The late 'Thriller' hitmaker, who lightened his skin and underwent a number of face reconstructions in a bid to look like a "northern athlete", is believed to have undergone the transformations to try to escape the traumatic recollections of his childhood and the constant reminders of Joe Jackson, who tormented him for his African American facial features, and to distance himself from his parentage.

Speaking exclusively to BANG Showbiz about the reason behind Michael's cosmetic surgery, Conrad said: "In the book we talked about him running away from his memory. I used the word morphological changing and basically of course he was morphing himself, it doesn't matter that his skin was bleached or whether his structural face is good or whether his nose it like a northern athlete. That may have been a mixture of things.

"But many times when he on his own he had more because he was trying to erase his memory."

Source: MSN Entertainment: Today 30/8/2016
 
View attachment 389710
Michael Jackson , mwaka 1972.

View attachment 389711

Michael Jackson mwaka 2001.

Mimi ni mpenzi sana wa good music, ingawaje sifuatilii sana personalities, lakini kwa huyu " mswahili" mwenzetu kujichubua hadi aonekane kama mzungu lilinisikitisha sana.
Nikiwa kijana "Off the Wall"," Billie Jean"," Black and White"," Bad" , "Thriller" ni kati ya vibao vingi nilivyo vishabikia kwa sana.
Hebu waTz tumhukumu huy Icon , alipatwa na masahibu gani kiakili?

Nilikuwa nampenda sana Michael jackson...lakini pale alipochonga tu pua yake na kujichubua huo ndiyo ukawa mwisho wa yote...nilimuona kama msaliti wa weusi...alipokuwa na Jackson Five alikuwa 'super'....
 
Sifa za kijinga

Nimecheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka, duh...Inawezekana ni kweli ayasemayo, usimdharau mtu......duh, alipanga mtaa mmoja na Michael Jackson mwaka 1999...dah, hivi huyu jambazi anatoka mkoa gani nchini mwetu!!!!????...tehtehtehtehteh......
 
Mkuu mbona unacheka sana! mm na asili ya Asia Kusini Citizenship India, Nimezaliwa India nimeishi State miaka 6 Tanzania na miaka 12! Mzee wangu alikuta na Anaishi Tanzania kwa miaka mingi alikutana na Mama kwenye biashara zake Nyumbani India mama akapata kazi kwenye shirika moja la umoja wa mataifa State nimeishi na mama baba karudi Tanzania kwenye biashara zake ila familia nzima tupo Tanzania!!

Siyo wote hapa jf waswahili
 
Kama ni kweli nisamehe bure....umejieleza vizuri na sina sababu ya kuhoji maelezo yako...thanks for that....nimependa namna ulivyoeleza hapa kwa uungwana na bila jazba ya aina yoyote....
 
Kama ni kweli nisamehe bure....umejieleza vizuri na sina sababu ya kuhoji maelezo yako...thanks for that....nimependa namna ulivyoeleza hapa kwa uungwana na bila jazba ya aina yoyote....
Usijali bro! Jf nimejifunza vitu sana kama kuelewa kiswahili fasaha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom