Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,180
- 45,910
Jmaa analikua akidai aliugua ugonjwa unaitwa vitrigo ambao hubadili rangi ya ngozi (ilithibitishwa alipokufa through postmorterm) ,ukijumlisha na dawa alizotumia pamoja na ma make up ndo akawa hivo,,enzi za uhai wake hakuweza kukaa juwani alitembea na mwanvuli,,ila kuhusu pua ali fanya plastic surgery coz toka akiwa mdogo hakuipenda na dingi ake alikua akimkejeli kua ni kubwa mno so alipt matatizo ya saikolojia