Huyu kaka ana jinsia gani?

huyo dada uliyemuunganisha
naye ndiye anaweza kusaidia kutoa 'clue' ya status ya jamaa
kimahusiano... e.g huwa wanaongea nini wakiwa pamoja: vitambulisho vya
taifa, sensa, kutekwa kwa dr ulimboka au mambo ya mahusiano and probably
how the guy feels towards her....

we umenifanya ni cheke,nimevimbiwa bwana na ftari.
 
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.

Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.

Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?

Vipi wewe kwani huwezi kumpa offer ili upate ukweli!!.
 
...atafutiwe eneo abalo atakuwa hajulikkani akakae kwa muda, atabadilika.
 
Ukweli ni kwamba kuna ushahidi kabisa kwamba miongoni mwa wanaojifanya kupinga ma gay kwa nguvu kabisa kuna ma gay wengi tu, wanajisikia guilty na katika kujazia ndo wanajitia prominent anti-gay crusaders.

On the other hand, mtu anaweza kuwa na principle tu ya kutetea minority yoyote. Non-whites in a white majority country, left handed people in a right-hand majority population.Wasioamini katika population iliyojaa waumini.

Ni mambo ya kuwa na uelewa tu kwamba dunia inavyoenda kuna watu tofauti, na huku kujidai shingo kavu kupinga vitu ambavyo vipo hakuna mantiki.

Na mtu kutetea watu waishi kama wanavyotaka hakumanishi mtu ni gay.

Mie natetea mashoto wapewe haki zao jeshini, wapewe silaha zilizotengenezwa kwa ajili ya mashoto, kwa sababu si kila mtu anatumia mkono wa kulia. Na mashoto wana haki na wajibu wa kuwamo jeshini.

Hilo halimaanishi mimi ni shoto.

Kuhusu kuwa passionate mi karibu kila ninachoandika naandika kwa passion, kwa hiyo likikusumbua hilo ukaliona hapa tu ni tatizo lako.
hii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..
otoh, umeulizwa swali, kwanini GLT wengi ni atheists...? i am all ears.
 
Kwa kua zoezi la kumleta dada wa kumtega limeshindikana basi jaribu kumleta basha then uje utupe update!!!
 
hii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..
otoh, umeulizwa swali, kwanini GLT wengi ni atheists...? i am all ears.
not entirely true. most religions condemn GLT which makes it hard for them to join, similarly homophobes use religion to justify ill treatment to open GLT members. churches which accept gays are few and far apart and mosques are even rarer

EDIT:
2906religion_353px-200x0.jpg Australian Statistics 2012

source: Gay Christians in Australia
 
Kwani mnaishi kijiji gani? Miaka 30 kwa kijana wa kiume sio mingi. Kuna watu wako reserved na mambo yao tu, ila ni ma-heartbreaker wazoefu! Nani alitoa uzi wa maswali ya kukera ya 'unaoa ama unaolewa lini?'
Huyu ana miaka 39 kama sikosei, I am sure kama ingekuwa na case ya heart broken tungemuelewa lakini siyo hivyo...
 
hii ni another 'over-analysis' which contains 'nothing' really tbh, ambayo hata hivo bado inapruv hoja yangu..
otoh, umeulizwa swali, kwanini GLT wengi ni atheists...? i am all ears.

Overanalysis pekee hapa ni kutaka kumfuatilia mtu ambaye kaamua kuishi maisha yake tofauti nanyi na kutoa conclusions ambazo hamna hata uhakika nazo, kwa ushahidi wa post za internet.

Kwamba GLT wengi ni atheists siwezi kukujibu kwa sababu silijui hilo na wala sijui source yako na wala sijui kama ni la ukweli.

Ninachojua ni ma anti-gay crusaders wengi ni gay.

Kama huyu Senator Larry Craig aliyekuwa anawapiga mawe gays kumbe na yeye anatafuta mtu kwenye public toilets tena.

Larry Craig scandal - Wikipedia, the free encyclopedia
 
anasubiri mungu amuambie ktk ndoto nani atakuwa mchumba wake
ndo walokole wengi hujdanganya hivo badala ya kuchakarika
ana matatizo huyo endelea kumtafutia.
 
kwani kuoa ni amri?,acheni kuwa wavivu kufikiri..kwani ngono chakula? Watu wameacha kuoa saa hz michosho tu.bora kuwa single
 
Overanalysis pekee hapa ni kutaka kumfuatilia mtu ambaye kaamua kuishi maisha yake tofauti nanyi na kutoa conclusions ambazo hamna hata uhakika nazo, kwa ushahidi wa post za internet.
hiv naezaje kumfatilia mtu nisiyemjua ?? sifahamiani hata mtu mmoja jf...sasa sijui ninawezaje it is beyond my hetero-quasi-sapio-sexual senses. labda upande wa pili wanaweza hilo.
Kwamba GLT wengi ni atheists siwezi kukujibu kwa sababu silijui hilo na wala sijui source yako na wala sijui kama ni la ukweli.
hiyo ni homework yako niliokupa, sio lazima uifanye leo...:laugh:

Ninachojua ni ma anti-gay crusaders wengi ni gay.

Kama huyu Senator Larry Craig aliyekuwa anawapiga mawe gays kumbe na yeye anatafuta mtu kwenye public toilets tena.

Larry Craig scandal - Wikipedia, the free encyclopedia

I aint anti-gay nor crusader by any imaginable stretch..kwa hiyo hili ni lako, hivo unapaswa kulitolea maelezo maana waonekana walijua viema.
 
Back
Top Bottom