Huyu kaka ana jinsia gani?

Ww kiranga kwanini unamshawishi mwezako avunje amri ya sita ya mungu.. Kama angekuwa na hitaji ya hilo tendo kwa bnafsi yake angetangaza nia na kuoa...
 
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.

Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.

Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
Madamex huyo jamaa hana matatizo isipokuwa amejengwa kisaikolojia kuwa wanawake ni majaribu akae nao mbali, bila shaka amepewa na mifano ya akina Adamu na Hawa, Samsoni na Delila, Yusuph na Mke wa Mfalme Potifa, Ayoub na Mkewe, mke wa mfalme na kichwa cha Yohana.

Basi hataki hata kuwa karibu nao ati, mbona sisi tunafaidi tu wala hawana shida yoyote hao woga wake tu, muache atupunguzie foleni bhanaa....
 
hapa sijui kuna nini, naona mtanage tu sioni mshindi.

Blaine, sasa gays waende kwenye kanisa linaloruhuru gays watakuwa na amani zaidi.

Haya makanisa mengine hawawakubali kutokana na katiba zao kuwa gays sio member wao.

Ni kama chama kingine chochote ambapo mnakuwa na sifa za wanaoweza kujiunga, same applies to makanisa.
out of curiosity, has any church expelled a muumini because he's gay? najua huwezi kuwa padre/mzee wa kanisa kama ni gay ila waumini wa kawaida jee?

Mpaka jibu lipo wazi
ana tatizo la 'uhanithi'
na uhanithi na mtu kuwa gay ni vitu viwili tofauti..

gay anaweza ku sex na both wanawake na wanaume..

h.a.n.i.t.h.i.anaweza kuwa anapenda wanawake lakini ni mlemavu kwenye viungo
due to pschology au physical injury au kazaliwa hivyo..

ha.n.i.t.h.i sio gay
+1111. I wish more people realized this
 
Naona umedandia gari kwa mbele braza..
Haya majibu ungempa mleta thread..mimi na wewe hatumjui huyu mtu..
Nilichofanya ni ku'connect dots from what would be their worry about their brother..
Lakini hata kama ndio msimamo wako..lol! kweli maendeleo ni mzigo..better to remain poor with our tradition!
Kumbuka ndugu zake hawamuulizi maswali kwa nini huoi?..na huenda wakimuuliza atawajibu kama ulivoshauri hapa..
Ni strategy nzuri pia kwamba they should start ask him questions kwa nini huoi?

Habari nzima ya kumuuliza mtu "kwa nini huoi" inawezekana kwa watu waliokosa ustaarabu tu. Kwa sababu inaingilia privacy ya mtu. Halafu swali lina assume kama kuoa ni lazima wakati si lazima. Swali lina betray ignorance ya muulizaji.

Pengine mtu ana matatizo ya kiafya, let's say si gay wala nini, lakini kashajulikana kwamba ana kifafa kikali sana ama kichaa ama ugonjwa wowote ambao akioa ama atampa kazi mke wake ambayo si ya lazima au kuuendeleza kwa watoto wake.

Kwa hiyo kaamua kuuchuna kivyake kwa kuwa considerate kwa watu wengine, hataki kuwapa mzigo.

Wabongo watamshikia bango "kwa nini huoi?" swali ambalo ni cumbersome kwa sababu linaingilia undani wa mambo yake ya kiafya.

Kwa hiyo utaona hapo kwamba hili swali si la kistaarabu, linamchimba mtu na linaweza kuibua mengi ambayo ni ya faragha ya mtu binafsi.

Lakini wapi.

Kwa tamaduni za nchi masikini ambapo faragha ni kitu adimu swali hili (pamoja na lingine "unafanya kazi wapi/gani?") linaonekana ni rahisi tu.

Ni umasikini wa mawazo tu ndio unaoweza kuwafanya watu washupalie maswali kama haya.
 
Hatuwezi kujua kila mtu ana mapungufu yake kwa hiyo mm sioni ajabu mambo ya kawaida mbona yanatokea.
 
Kwa nini unafikiri kutokuoa ni mapungufu?

Kama mtu kashajua kwamba atakuja kuzaa mtoto kichaa Adolf Hitler type, anaamua kutokuoa kwa kuwaonea huruma asije kuwaletea "future trouble", utaita hayo mapungufu?

Huyo anaweza kuwa walii kwa rehma ya kufikiri hivyo, we unaona mapungufu hayo?
 
Habari nzima ya kumuuliza mtu "kwa nini huoi" inawezekana kwa watu waliokosa ustaarabu tu. Kwa sababu inaingilia privacy ya mtu. Halafu swali lina assume kama kuoa ni lazima wakati si lazima. Swali lina betray ignorance ya muulizaji.

Pengine mtu ana matatizo ya kiafya, let's say si gay wala nini, lakini kashajulikana kwamba ana kifafa kikali sana ama kichaa ama ugonjwa wowote ambao akioa ama atampa kazi mke wake ambayo si ya lazima au kuuendeleza kwa watoto wake.

Kwa hiyo kaamua kuuchuna kivyake kwa kuwa considerate kwa watu wengine, hataki kuwapa mzigo.

Wabongo watamshikia bango "kwa nini huoi?" swali ambalo ni cumbersome kwa sababu linaingilia undani wa mambo yake ya kiafya.

Kwa hiyo utaona hapo kwamba hili swali si la kistaarabu, linamchimba mtu na linaweza kuibua mengi ambayo ni ya faragha ya mtu binafsi.

Lakini wapi.

Kwa tamaduni za nchi masikini ambapo faragha ni kitu adimu swali hili (pamoja na lingine "unafanya kazi wapi/gani?") linaonekana ni rahisi tu.

Ni umasikini wa mawazo tu ndio unaoweza kuwafanya watu washupalie maswali kama haya.

Una sound like Pik Botha aliesema
akili za waafrika wanawaza pombe na ngono tu...
 
Hivi mnajua kuwa hata kama mwanaume akiwa na wanawake kibao au mwanamke akiwa na wanaume kibao hiyo haimaanishi yeye ni straight?

Na hata kama mwanaume kaoa na ana watoto hiyo bado haimaanishi yeye si gay. Hata mwanamke aliyeolewa hiyo tu haimaanishi yeye ni straight.
 
mwanaume anaweza kuwa sio gay na sio straight...simply mlemavu...
 
Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.

Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.

Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?

Dada umeshasema kuwa amelelewa kilokole sasa anajiepusha na dhambi ya zinaa. Ikifika wakati wake ataoa.
 
mwanaume anaweza kuwa sio gay na sio straight...simply mlemavu...

Na wanaume wangapi ambao wameoa na ni ma gay Boss?

Ona huyu hapa, tena alioa mara mbili....

Mwingine huyu mchungaji/askofu Eddie Long. Tena huyu ndo alikuwa bonge moja la anti-gay kumbe na yeye yuko hivyo hivyo....na ana mke na watoto.

The height of hypocrisy.....

Cheki na huyu hapa....

Last edited by a moderator:
Umasikini wetu una sababu nyingi sana. Mojawapo ni hii ya kupoteza muda kufuatilia nani kala nini, nni rijali, nani khanithi.

Sijawahi kuona thread ikiuliza nani ka solve conjecture fulani ya hesabu ambayo haina ufumbuzi.

Wenzetu wamepeleka chombo Mars sijaona thread hata ya ku copy paste na kuonyeshana picha tu.

Lakini hizi za fulani mbona hana demu kibao.

And then we have the nerve to wonder why are we poor as a society.
 
Kiranga, hatuwezi wote kuwa akina Newton.

Lazima nyie wachache mteseke kwa ajili ya wengi.

Ingekuwa kila mtu anaweza fikiri hivyo wenye akili wasingeonekana wa maana.

Unajua kwa nini gold ni valuable?? Moja ya sababu ni 'rare' haiwezi kuwa kila mahali.

So hayo ya kwenda mars si wote tunaona hata raha kufikiri wala kwanza hata umuhimu wake hatuuoni.

Ukitaka kujua wasomi hawana thamani sana, pita uswahilini profesa anaonakanaga mwehu tu au asiye na akili sawa na ndio tunaamini hivyo.

Mi nakumbuka kuna ndugu mmoja alisoma akafikia masters home wakawa wanamwambia asiendelee tena atawehuka.

Sasa ndio nagundua kumbe huwa sio wehu inawezekana vitu wanavyofikiria sio ordinanry kwa watu ordinary kuelewa.

Back
Top Bottom