Huyu Jamaa Bwege sana. Afadhali asingerudishwa kazini

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Alikuwepo katika wale waliosimamishwa kazi sababu ya vyeti fake. Akasota sana mtaani akawa yeye humu ndani mchana na usiku anamponda tu Magufuli. Nami nikawa namsaidia kumtia moyo.

Alishangilia sana aliposikia kifo cha mbaya wake. Nadhani amepita pita huko maana anafahamiana na watu flani flani wa kwenye system. Amerudishwa kazini.

Sasa alivyo mjinga...anataka waonesha watu kuwa hakutetereka.wakati anasahau mimi kila mwisho we mwezi nlikuwa namtoa kitu flani kwa ajili ya watoto na mke wake

Sasa karudi kazini ameanza msumbua mke wake sana. Anakamata mademu hasa wale ambao walikuwa wakimkataa kipindi kile...sasa anawatokea upya na kuwakamatisha shekeli ili wakubali ombi lake.

Akiingia bar anatangaza ufalme. Anasema amerudi. Wajaze vinywaji kwenye meza yake. Halafu anachagua watu kadhaa wakakae naye washerehekee.

Mke wake ananipigia simu akilia kila mara kuwa jamaa siku nyingine harudi home hasa Ijumaa na jumamosi. Yaani jamaa amekuwa worst afadhali na that time hayupo kazini. Yaani sasa anatumia pesa na muda mwingi kudhihirisha kuwa yupo vizuri kwa watu kuliko kujenga family yake.

Mke anasema anajuta na kama angejua jamaa hana akili kiasi hicho hata asingeolewa naye. Maana sasa atamletea magonjwa. Jamaa amejifunza na kutumia 0 basi imekuwa shida. Maana mke anasema yeye alishagoma kutoa 0 kwenge tendo.

Sasa jamaa anashindana na mwenzie mwingine naye fala kuhesabu wamewachakata wangapi kupitia 0. Na huwa wanachukua picha au videos. Mke alizikuta kwenye simu ya mumewe. Alipouliza mume alisusa siku 3 kurudi home akitaka aombwe msamaha.

Sasa naanza hata kumkwepa shem maana ananisifia sana...anasema " shem natamani mume wangu angekuwa kama wewe....mbona wewe una maendeleo makubwa sana na unaheshima...kweli shule nayo inasaidia"

Huwa namwambia tu hata mimi nina mapungufu yangu...makando kando mengi (nawaza akija Jamiiforums huku akasikia wadau wanavyoniponda) anyway...mimi ni mwezi mchanga najijua. Na haya mabangi..... Sema jamaa ameharibu sana. Sometime mke wake anasema bora kipindi kile hana kazi walikuwa na amani... Sasa hata tendo la ndoa ana miezi hajapata. Na akijiangalia ni mzuri sana tu.

Nimeongea na jamaa... Anacheka tu. Anasema niachane na wanawake wana wivu wa kijinga anataka washinde tu home na pesa anataka wakati yeye bado ana mambo mengi hayajakaa sawa. Wajibane bane tu kula kama kipindi kile hana kazi.

Jamaa wakati huo anaongea mkono mmoja umepita katikati ya mapaja kwenda ndani kwenye sketi ya binti mmoja ....ambaye alisema akae tu pale wala nisijali. Ilibidi niwaache nlipomwona ameutoa mkono baada ya kuchovya huko ndani, umeloana halafu anaunusa....nikainuka na kuaga. Tumepotea mwanaume mwingine kirahisi sana
 
Acha afanye maisha yake. Ulimsaidia piga kimya. Unajua upo duniani kwa purpose ipi? Huwenda uliwepo duniani ili kutimiza malengo ya wengine ambao mmoja wao ni huyo.
Soma kwa undani utanielewa
 
Nimeongea na jamaa... Anacheka tu. Anasema niachane na wanawake wana wivu wa kijinga anataka washinde tu home na pesa anataka wakati yeye bado ana mambo mengi hayajalaa sawa. Wajibane bane tu kula kama kipindi kile hana kazi. Jamaa wakati huo anaongea mkono mmoja umepita kwenye sketi ya binti mmoja....ambaye alisema akae tu pale wala nisijali. Ilibidi niwaache nlipomwona ameutoa mkono umeloana halafu anaunusa.
Si mumroge tu atulize mshono?
 
Mwache mshikaji ale bata life is too short na mademu wa bar wanahitaji pesa hawakupendi wewe sasa nani awape pesa lazima tuwape sisi..we fanya mambo yako kikubwi hakuambukizi ukimwi..af mkewe mgooo unachilimua mshikaji yaani hata huruma huna mtu hajagoongwa siku nyingi unataka ajichue na tango au
 
Jamaa wakati huo anaongea mkono mmoja umepita katikati ya mapaja kwenda ndani kwenye sketi ya binti mmoja ....ambaye alisema akae tu pale
Kwa nini hukumpiga picha?

Huku mjini hiyo ni fursa ya kupiga hela, we ikimfuma ktk pozisheni za kuihujumu Uchumi mpige video kisha mrushie Mange utakuja kunishukuru 😂
 
Alikuwepo katika wale waliosimamishwa kazi sababu ya vyeti fake. Akasota sana mtaani akawa yeye humu ndani mchana na usiku anamponda tu Magufuli. Nami nikawa namsaidia kumtia moyo.

Alishangilia sana aliposikia kifo cha mbaya wake. Nadhani amepita pita huko maana anafahamiana na watu flani flani wa kwenye system. Amerudishwa kazini.

Sasa alivyo mjinga...anataka waonesha watu kuwa hakutetereka.wakati anasahau mimi kila mwisho we mwezi nlikuwa namtoa kitu flani kwa ajili ya watoto na mke wake

Sasa karudi kazini ameanza msumbua mke wake sana. Anakamata mademu hasa wale ambao walikuwa wakimkataa kipindi kile...sasa anawatokea upya na kuwakamatisha shekeli ili wakubali ombi lake.

Akiingia bar anatangaza ufalme. Anasema amerudi. Wajaze vinywaji kwenye meza yake. Halafu anachagua watu kadhaa wakakae naye washerehekee.

Mke wake ananipigia simu akilia kila mara kuwa jamaa siku nyingine harudi home hasa Ijumaa na jumamosi. Yaani jamaa amekuwa worst afadhali na that time hayupo kazini. Yaani sasa anatumia pesa na muda mwingi kudhihirisha kuwa yupo vizuri kwa watu kuliko kujenga family yake.

Mke anasema anajuta na kama angejua jamaa hana akili kiasi hicho hata asingeolewa naye. Maana sasa atamletea magonjwa. Jamaa amejifunza na kutumia 0 basi imekuwa shida. Maana mke anasema yeye alishagoma kutoa 0 kwenge tendo.

Sasa jamaa anashindana na mwenzie mwingine naye fala kuhesabu wamewachakata wangapi kupitia 0. Na huwa wanachukua picha au videos. Mke alizikuta kwenye simu ya mumewe. Alipouliza mume alisusa siku 3 kurudi home akitaka aombwe msamaha.

Sasa naanza hata kumkwepa shem maana ananisifia sana...anasema " shem natamani mume wangu angekuwa kama wewe....mbona wewe una maendeleo makubwa sana na unaheshima...kweli shule nayo inasaidia"

Huwa namwambia tu hata mimi nina mapungufu yangu...makando kando mengi (nawaza akija Jamiiforums huku akasikia wadau wanavyoniponda) anyway...mimi ni mwezi mchanga najijua. Na haya mabangi..... Sema jamaa ameharibu sana. Sometime mke wake anasema bora kipindi kile hana kazi walikuwa na amani... Sasa hata tendo la ndoa ana miezi hajapata. Na akijiangalia ni mzuri sana tu.

Nimeongea na jamaa... Anacheka tu. Anasema niachane na wanawake wana wivu wa kijinga anataka washinde tu home na pesa anataka wakati yeye bado ana mambo mengi hayajakaa sawa. Wajibane bane tu kula kama kipindi kile hana kazi.

Jamaa wakati huo anaongea mkono mmoja umepita katikati ya mapaja kwenda ndani kwenye sketi ya binti mmoja ....ambaye alisema akae tu pale wala nisijali. Ilibidi niwaache nlipomwona ameutoa mkono baada ya kuchovya huko ndani, umeloana halafu anaunusa....nikainuka na kuaga. Tumepotea mwanaume mwingine kirahisi sana
Chizi maarifa.
 
Back
Top Bottom