Mrejesho: Yule jamaa aliyenitafutia kazi, leo nimemchana

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,400
Wataalam,
Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa masimango kinoma. Anasema eti ooh "hiyo kazi gani Haina hela, achana nayo usimamie miradi ya nyumbani"

Asa Mimi katika vitu sipendi ni kusimangwa, na sitaki nikae kinyonge kwa wakwe, kwahyo nkapandwa na hasira sana na leo nkaamka nazo nikasema haiwezekan napambana kukwepa kujikomba ukweni halafu hela Zangu ziwe zinaishia kwa jamaa alontafutia kazi.

So Asubuhi Kabla ya kuingia job nkanunua Smart gin 2 kwa mangi, nikazikata kufifisha aibu ili nikikutana na mwamba kazini nimchane kuwa pigo zake za kuniomba omba hela sizielewi na kama vipi apunguze au akate mazoea kabisa na Mimi, Mimi sio mume wake.

Sijui ni zile Smart gin au nini, lakini nilijikuta naongea sana kuliko nilivopanga, Afu bahat mbaya au nzuri nilimkuta anaongea na wanafunzi nikaanza kumpa makavu yake hapohapo...Cha ajabu nilitegemea jamaa atawaka juu turushiane maneno ila nikashangaa mwamba amepoa kama maji mtungini.

Nimeongeaa wee, yeye yupo kimya tu. Halafu nilipomaliza akaondoka akawasha gari akateleza. Nakuja kusikia kazini kareport sick. Nmempigia hapokei na nahisi kaniblock maana saiv simu hazitoki.

Sasa sijui kesho akija itakuwaje, ngoja tuendelee kusikilizia michezo unaendaje.
 
UNA BAHATI HAMKUFIKIA HUKU
1706466963354.jpg
 
Prof.
niunganishe na baba nisimamie miradi ya nyumbani.
 
so kukosa hela ya kula siku moja tu, unapata guts za kimpigia baba mkwe akutumie laki 3, dah? hata kama yuko na dough kiaje hapo umeonesha kuwa hujapevuka
 
Back
Top Bottom