Ni kweli mke hawezi kuchungwa hata abaki nyumbani lakini nikiri wazi mke akiwa ofisini huwa ni Mara 10 yake

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Muhimu: sio kila mke alieajiriwa ofisini ana cheat, wapo wenye misimamo

Jamani huku maofisini hata sisi wa maofisini tungeyajua haya mapema basi wengi wangeoa wake wa majumbani tu.

Mazingira ya kazini yanachochea sana mke wa mtu kucheat.

1. Masupervisor na mabosi wanaomsimamia mke wako wana sauti na Mamlaka kukuzidi wewe huko kazini, kitendo cha mke wako kuwa chini yao kunafungua nafasi za rushwa za kupanda au kutunza vyeo, kuwa mbadala wa msamaha wa makosa, kuzuia kufukuzwa kazi, n.k. Hasa kwa makampuni binafsi

2. Huku Makazini huwa ni kama tupo vyuoni, mnajikuta wote kama vijana na mpo huru, inatokea kipindi mtu kavutiwa na flani basi anatesti zali na mahusiano yanaanza

3. Utani na masikhara yaliyozidi maofisini, suala la kuita mke wa mtu mchuchu, honey, n.k. Ni kawaida sana na maneno huwa yanaumba,

4. MA ex wa kazini hawa ndo wabaya zaidi, penzi likianza upya huwa ni moto na hapa Kumbuka mke wako anaishinda kazini asubuhi hadi jioni, hio mida ya lanchi ama wakitoka huwa kuna action za kufa mtu...

Yote kwa yote mke kwenda kazini inabidi angalau awe na misimamo,
 
Mwisho wa yote uzinzi ni Tabia,

Aende kazini abaki nyumbani kama ni mzinzi hatopona

Oa mke mwenye malengo ya kimwili na kiroho kwa wakati mmoja ,mke au mume mwenye malengo ya kimwili peke yake ni bureeeeeeee

Mwili umewacost wengi, ukiwa na msaada wa roho iliyo hai ,siyo iliyokufa , ndoa itawezekana

Kumbuka Kuna watu roho ilishakufa japo wanaishi,hao ni tatizo ndani ya ndoa

Mradi wao mkubwa ni kuficha zambi ,siyo kuacha zambi, yaani anaweza kukulaumu kisa umemfuatilia na ukagundua ni mzinzi, wao makosa Yako ni kutaka kujua, atakwambia unaumia kwa sababu ya kiherehere chako(hapo zambi yake siyo case ila upekepeke wako)

NB ni wachache sana ,hao ndio zao la ndoa takatifu na aminifu, wapo humu kwenye jamii , unaweza Kuta ni wewe
 
Labda uwe na mke asiyevutia kimapenzi, sura na umbo huyo utabaki naye muda wote hakuna wa kumtamani. Uwe na mke mzuri yuko ofisini, umekwisha, atapakuliwa mpaka na wafanyakazi wenzake. Ofisini si sehemu salama kwa ndoa za watu kama mke si muaminifu kwa ndoa yake lazima ataisaliti
 
Mwisho wa yote uzinzi ni Tabia,

Aende kazini abaki nyumbani kama ni mzinzi hatopona

Oa mke mwenye malengo ya kimwili na kiroho kwa wakati mmoja ,mke au mume mwenye malengo ya kimwili peke yake ni bureeeeeeee

Mwili umewacost wengi, ukiwa na msaada wa roho iliyo hai ,siyo iliyokufa , ndoa itawezekana

Kumbuka Kuna watu roho ilishakufa japo wanaishi,hao ni tatizo ndani ya ndoa

Mradi wao mkubwa ni kuficha zambi ,siyo kuacha zambi, yaani anaweza kukulaumu kisa umemfuatilia na ukagundua ni mzinzi, wao makosa Yako ni kutaka kujua, atakwambia unaumia kwa sababu ya kiherehere chako(hapo zambi yake siyo case ila upekepeke wako)

NB ni wachache sana ,hao ndio zao la ndoa takatifu na aminifu, wapo humu kwenye jamii , unaweza Kuta ni wewe
Unaojaribu kuwa describe hapa, rudi karne ya nyuma ndo utawapata,, kupata mke anayeweza kujisimamia upstairs hasa huko makazini now days ni ngumu sana.

Wanaume saivi tunapambana sana kucheza na saikolojia ya mwanamke,, sasa omba mke wako au mwenza wako asinase kwenye mtego, umekwisha.
 
Siku hizi ndiyo maana vifoo vya ghafla vimeongezeka kwa vijana wenye wake. Tunaugulia ndani kwa ndani maumivu yetu
 
Muhimu: sio kila mke alieajiriwa ofisini ana cheat, wapo wenye misimamo

Jamani huku maofisini hata sisi wa maofisini tungeyajua haya mapema basi wengi wangeoa wake wa majumbani tu.

Mazingira ya kazini yanachochea sana mke wa mtu kucheat.

1. Masupervisor na mabosi wanaomsimamia mke wako wana sauti na Mamlaka kukuzidi wewe huko kazini, kitendo cha mke wako kuwa chini yao kunafungua nafasi za rushwa za kupanda au kutunza vyeo, kuwa mbadala wa msamaha wa makosa, kuzuia kufukuzwa kazi, n.k. Hasa kwa makampuni binafsi

2. Huku Makazini huwa ni kama tupo vyuoni, mnajikuta wote kama vijana na mpo huru, inatokea kipindi mtu kavutiwa na flani basi anatesti zali na mahusiano yanaanza

3. Utani na masikhara yaliyozidi maofisini, suala la kuita mke wa mtu mchuchu, honey, n.k. Ni kawaida sana na maneno huwa yanaumba,

4. MA ex wa kazini hawa ndo wabaya zaidi, penzi likianza upya huwa ni moto na hapa Kumbuka mke wako anaishinda kazini asubuhi hadi jioni, hio mida ya lanchi ama wakitoka huwa kuna action za kufa mtu...

Yote kwa yote mke kwenda kazini inabidi angalau awe na misimamo,
Huu ni ukweli kabisa ila kuna watu wanajifanya kama hawaelewi kisa mshahara wa wife mtamu na anaupangia bajeti kabisa shenzi
 
Mbona hata hawa wa nyumbani wanagongwa kimyakimya tena vizuri tu ..Umalaya hulka ya mtu hata awe wapi atafanya tu. Utajitesa bure kutumia nguvu nyingi kuchunga mwanamke zitumie kutafuta pesa . Hekalu lisilochungwa na bwana Mungu wakeshao wanakesha bure.
 
Mwisho wa yote uzinzi ni Tabia,

Aende kazini abaki nyumbani kama ni mzinzi hatopona

Oa mke mwenye malengo ya kimwili na kiroho kwa wakati mmoja ,mke au mume mwenye malengo ya kimwili peke yake ni bureeeeeeee

Mwili umewacost wengi, ukiwa na msaada wa roho iliyo hai ,siyo iliyokufa , ndoa itawezekana

Kumbuka Kuna watu roho ilishakufa japo wanaishi,hao ni tatizo ndani ya ndoa

Mradi wao mkubwa ni kuficha zambi ,siyo kuacha zambi, yaani anaweza kukulaumu kisa umemfuatilia na ukagundua ni mzinzi, wao makosa Yako ni kutaka kujua, atakwambia unaumia kwa sababu ya kiherehere chako(hapo zambi yake siyo case ila upekepeke wako)

NB ni wachache sana ,hao ndio zao la ndoa takatifu na aminifu, wapo humu kwenye jamii , unaweza Kuta ni wewe
 
Muhimu: sio kila mke alieajiriwa ofisini ana cheat, wapo wenye misimamo

Jamani huku maofisini hata sisi wa maofisini tungeyajua haya mapema basi wengi wangeoa wake wa majumbani tu.

Mazingira ya kazini yanachochea sana mke wa mtu kucheat.

1. Masupervisor na mabosi wanaomsimamia mke wako wana sauti na Mamlaka kukuzidi wewe huko kazini, kitendo cha mke wako kuwa chini yao kunafungua nafasi za rushwa za kupanda au kutunza vyeo, kuwa mbadala wa msamaha wa makosa, kuzuia kufukuzwa kazi, n.k. Hasa kwa makampuni binafsi

2. Huku Makazini huwa ni kama tupo vyuoni, mnajikuta wote kama vijana na mpo huru, inatokea kipindi mtu kavutiwa na flani basi anatesti zali na mahusiano yanaanza

3. Utani na masikhara yaliyozidi maofisini, suala la kuita mke wa mtu mchuchu, honey, n.k. Ni kawaida sana na maneno huwa yanaumba,

4. MA ex wa kazini hawa ndo wabaya zaidi, penzi likianza upya huwa ni moto na hapa Kumbuka mke wako anaishinda kazini asubuhi hadi jioni, hio mida ya lanchi ama wakitoka huwa kuna action za kufa mtu...

Yote kwa yote mke kwenda kazini inabidi angalau awe na misimamo,
Pia mwanamke anapokua na kipato hupunguza heshima Kwa mume, Hata wanawake wengi huamini kwenye kujitafutia Ili asionewe na mume. Ila Biblia inasema mwanamke atazaa Kwa uchungu na mwanaume atakula Kwa jasho lake. Migogoro mikubwa kwenye ndoa inatokana na kwenda kinyume na agizo la MUNGU hivyo tunalazimisha mwanamke azae Kwa uchungu na pia ale Kwa jasho lake.

Katika familia lazma kuwe na final sayer, kiongozi wa familia, kitendo Cha mwanamke kwenda Kazini kinafanya familia nyingi mume kukosa mamlaka nyumbani. Kimsingi mamlaka yanaanzia kwenye uchumi, ndio maana wazee wa kipindi Cha 70s na 80s waliwatoa wake zao maofisini .

Mwanamke akiwa mtumishi mtasaidiana kiuchumi ila ndoa haitakua na furaha, Hela isiyokua na furaha kwangu naona Kama ni ujinga pia. Angalia asilimia kubwa ya migogoro kwenye ndoa Kwa Sasa ni kutokana na mwanamke kujitafutia kipato.

Wapo wanawake wachache sana wanajitambua wanaweza kufanya Kazi au biashara na Bado wakabaki na heshima Kwa mwanaume, wengi wao hakuna kitu Maana heshima inaanzia kwenye hela
 
Kiongozi akiwa mwanaume utaona anaambatana na mkewe ziarani na mkewe hutambulishwa na kuwa na msafara kabisa. Mama Janet, Salma, Sitti, Maria Nyerere, Michelle obama hata huko nje viongozi huambatana na wake zao.
Kiongozi akiwa mwanamke mume anawekwa kando. Samia, Helen Sirleaf, nk waume zao wametupwa kule.
 
Makosa yapo kwenye sera za kitaifa, unapomunua mwanamke kiuchumi na kielimu
Maana yake Apate elimu ili afanye kazi!
Yansyokuja kutokea ni matunda ya sera zetu wenyewe!

Halafu walivyowajanja mke wa raisi au waziri mkuu wamemzuia kuajiliwa ili kulinda ndoa zao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom