Huyu mwanamke kero kabisa

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
622
1,643
Mtu hajielewi anataka mwanaume anaeeleweka, sister ndege wafananao huruka pamoja.

Nilikuwa na huyu manzi alikuwa na jamaa yake, so nikawa napiga kama mwizi japo hajaolewa na haishi nae.

Katika mazungumzo yake bidada akawa anasema akinifumania tunaachana maana hawezi kushea, nikawa namchora tu.

Sasa imefikia anataka tukatambulishane iwe rasmi, nikamuuliza kama baada ya utambulisho akinikuta na mwanamke atafanyaje, akasema tutaachana maana hawezi kushea.

Nikamwambia wewe huwezi kushea kwanini unataka mie nijitambulishe kwenu wakati bado una wanaume zaidi ya mimi, hauoni kama unanikosea heshima. Akabisha nikampa challenge apigie namba flani kwenye simu yake ikawa kipengere.

Nikamwambia basi huu mjadala nisiusikie tena wa kutambulishana sijui uchumba usebule kama unataka kiwa na mie ni kisela tu vinginevyo jipange sana. Bidada kanuna nilivyomwambia tuachane anasema kwa watu mie sijielewi sina malengo sitaki kuoa.

Kweli wanawake ni kiboko mamba akasome.
 
_20240227_201403.JPG
 
Dawa ya Hawa viumbe.
1 ishi nao kiundava ndava au kiutemi utemi

2 usimwonyeshe unampenda sana ibaki rohoni mwako tu hata Kama unalipenda asilimia 100

3 usilionyeshe una hela hata Kama unazo hata likikukuta una Mali liambie Mimi msimamizi tu mwenye Mali Yuko ulaya

4 usilioe attention sana litajiona. Hata Kama limependeza usilisifie kua baby umependeza au mama chanja umependeza. Liambie tu kua mama nyangerekela leo nguo imekukaa vizuri Basi

Naomba niishie hapa nakuja tukanwa bure
 
🤣🤣🤣Anamwita hamnazo,wait naye hamnazo
Unashea mwanamke na mwanaume mwenzio na unajua,halafu wajiona mjanja👀👁️
Si ufala huo🤣🤣unapiga deki shahawa za mwanaume mwenzio,pathetic👌
Na wanaokula wake za watu unawasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom