Huyu binti ni mgonjwa?

dhambi zao zitawatafuna...mmh huyo dada anakusudio lake na huyo mkaka asipokua makini atajuta maisha yake yote.
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????

Wagonjwa ni wote wawili; Huyo jamaa yako na hako ka binti: Wanahitaji kuombewa ili wanusurike na mauti yatokanayo na kushindwa kwao kutawala uchu wao wa ngono!!!
 
Stupid kabisa, halafu haya mambo ya kutenda kosa na kusingizia rafki yangu ana 123 naomba muumshauri....sema mimi nina kutokana na ushetani wangu nimekabana katoto ka watu nimekarubuni kwa mtumba na nimevunja nae amri ya Mungu naomba mnishauri.....acha kuzunguka.
 
hata mie sipendi kabisa, wanaogopa sijui nini, kakwama huyo hana jinsi, na keshampenda mpita njia anataka kuvunja harusi
 
muuza duka ndio mgonjwa, sio huyo msichana. Tena mgonjwa wa akili, anaweza kupata HIV, mjinga. Anamjua huyo msichana aliko toka, hapo kuna kitu awe makini. Kuna ka mtego hapo. Hasiwe shoga wa mkewe hasie mjua na anataka aribu mambo? Kazi kwenu wanaume, munayataka wenyewe..........
 
na atachanganyikiwa zaidi siku si nyingi!!!! kwa ufupi jamaa yako ni mpumbavu
 
vitu vingine ni ujinga kabisa, unaendekeza tamaa then wataka ushauri, ovyooooooooo
 
Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????
huyo rafiki yako mgonjwa. Kwanza hakuna mtu anaeweza fanya haya mambo. Jamaa yako ni kichaa fully.
 
Kwanini hakuomba ushauri kabla hajatekeleza matakwa ya nafsi yake? Kwanini wanaume tunakosa ujasiri wa maamuzi...jamaa alishesema NO sasa kilichomfanya abadili msimamo ni nini? Aendelee tuu na ajue hiyo ndoa itaingia dosari kwa ajili ya hilo jinamizi la ngono alilokaribisha kwenye dunia ya mapenzi
 
Stupid kabisa, halafu haya mambo ya kutenda kosa na kusingizia rafki yangu ana 123 naomba muumshauri....sema mimi nina kutokana na ushetani wangu nimekabana katoto ka watu nimekarubuni kwa mtumba na nimevunja nae amri ya Mungu naomba mnishauri.....acha kuzunguka.

Pleasea pipo understand this huyu jamaa kachanganyikiwa,sio mimi wapendwa
 
acha bana ni wewe!! wewe sema tu kama ulitumia zana au hukutumia, huyo mwanamke ni positive sasa anataka mjinga wa kuwa anamvisha ndo kampata/kakupata wewe! :biggrin1:
 
Jamaa yako amefanya vizuri - JK alisema "huwezi kula tu.. bila kuliwa japo kidogo"!
 
kipi kinamchanganya na malaya au ndoa yke mwambie asihangaike na wapita njia anaonekana anapenda malaya huyo pumbaf zke
 
yule binti si mgonjwa kwani alitaka ofa ya muuza duka kwa kuiomba, muuza duka akakubali kutoa ofa ya mapenzi. kwa hivyo asilaumu bure...TUKUMBUKE USEMI WA WAHENGA "MLAMBA HASARI UCHONGA MZINGA"
 
Haya bana maana tutaona, tutashuhudia na tutasimuliwa mengi katika kizazi hiki cha maigizo

Leo wakati nafika nyumbani nikamkuta rafiki yangu mmoja ambae anafanya biashara ya nguo yaani ana duka akaniambia kuwa kuna binti alikuja kununua nguo dukani lakini akawa hela ikawa haitoshi,jamaa akamwambia atamsaidia kwani yule binti alimwomba amsaidie hakuwa na hela ya kuongeza ili achukue nguo,tatizo ni kwamba yule binti baada ya kusaidiwa akawa anamwambia yule jamaa kuwa anataka amshukuru kwa msaada jamaa akamuuliza aina ya shukrani binti akamwambia anataka wafanye mapenzi,jamaa akakataa kwani mwezi ujao anafunga ndoa,usumbufu ulipozidi jamaa akaona mke wake mtarajiwa atajua,ikabidi ampe binti anachotaka matokeo binti anasema siku hiyo alienjoy hivyo anataka wasiache jamaa amemwambia kuhusu ndoa yake mwezi ujao binti amesema atajitahidi iwe siri kwani kwa raha aliyoipata hawezi kumwacha jamaa,jamaa amechanganyikiwa,afanyeje????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom