Huwa inamaanisha nini?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,638
4,522
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi wangu ambaye mpaka leo nimeshindwa kumuelewa alikuwa akimaanisha nini.Kila siku alikuwa akifika kulala kwangu lazima aache nguo yake ya ndani aliyokuja nayo na yeye kuondoka bila vazi hilo.Mara ya kwanza na ya pili sikuona tatizo,lakini zilipofikia kumi na bado anaziacha nilishindwa kuelewa nikamuuliza,sikupata jibu lolote zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na halohaloooo.Sasa ndugu zangu naomba msaada alikuwa anamaanisha nini huyu mwenzangu?
 
Ukiziona umkumbuke.

umenisaidia hata mm maake hata mie mpenzi wangu mara aache suruali,mara skin tight,mara kitopo ndio aende chuoni...nilikua naogopa kumuuliza maake hachelewi kushuku eti na-mcheat.........
 
umenisaidia hata mm maake hata mie mpenzi wangu mara aache suruali,mara skin tight,mara kitopo ndio aende chuoni...nilikua naogopa kumuuliza maake hachelewi kushuku eti na-mcheat.........

Na siku akikuta umezificha anajua huyu mwanaume sasa ana mpango wa kando!
 
ladies kuacha nguo kwa wanaume wanaona kuwa ni security, na kama umechunguza wanaweka mahali ambapo sio pa kufichika sana. hii ikiwa na maana kama kuna mdada mwingine ataingia ndani ajue kuwa mji una mwenyewe. sasa ukitaka ugomvi hamisha kaifiche chini ya boksi asiikute alipoiweka, kwao ni kielelezo cha kuwa una mwanamke mwingine ndo mana umeficha.....
 
ha, sasa hata akija mwingine si unaweza kuificha, then akiondoka unairudisha sehemu ilipokuwa, as simple as that. hao akili zao haziwatoshi!
 
:A S 20::A S 20:Akina mama/dada mpooooooooooo? Tunaomba kujua kwanini mnaacha nguo zenu kwa wanaume? Je ni kweli kwa ajili ya security au? Au kwenu hakuna masanduku/mabegi ya kutosha kutunzia nguo zenu? Au kwenu kuna Mende sana hivyo mnaogopa zitaliwa na memde? :A S 20::A S 20:
 
Ha haaaa haaaaa, ah wachangiaji mmenipa raha saaana kwa michango yenu katika hili la kuachwa vivazi maskani zenu. keep it up.
 
aisee hii mada ni ya kweli 100%.tunaomba upande wa pili watoe majibu na ufafanuzi ili tuelewe maana ni wote huwa wanafanya hivyo
 
ladies kuacha nguo kwa wanaume wanaona kuwa ni security, na kama umechunguza wanaweka mahali ambapo sio pa kufichika sana. hii ikiwa na maana kama kuna mdada mwingine ataingia ndani ajue kuwa mji una mwenyewe. sasa ukitaka ugomvi hamisha kaifiche chini ya boksi asiikute alipoiweka, kwao ni kielelezo cha kuwa una mwanamke mwingine ndo mana umeficha.....

Nilikuwa nahisi hivyo pia, PakaM kumbe upo!... ni kitambo..
 
Anakuachia chu** ili anapokuwa hayupo uwe unapata stimu angalau kwa kuinusa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom