Huu ni waraka wangu kwenu WAPENDANAO

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,663
Kwanza niwasalimu nyoote mlio macho muda huu,pia nyinyi mliolala khabarini za asubuh! asante.

HEBU 2LIPITIE HILI -:MATATIZO KATIKA
UHUSIANO.
Hakuna papara wala hasira,matatizo katika uhusiano/mahusiano ni jambo la kawaida ambalo kiukweli unatakiwa kujiandaa kukabiliana na changamoto hizo.
Kubali tatizo,kisha tulia na panga jinsi ya kulimaliza kwa njia bora zitakazouacha uhusiano/mahusiano yako ktk khali nzuri.Kwanini ubadilishe wapenzi kila kukicha?Unatafuta nini?Upe ubongo wako nafasi ya kufikiri.
Maamuzi ya hasira au kukomoa mwisho wake huwa ni machozi,epuka machozi ambayo hayana 7bu.Siku zote,ukikubali kosa na kulipokea ni mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye kutafuta njia za utatuzi.
 
kuna mtu kanitumia sms kuwa kokudo katoathread ya maana sana imenibidi niamke mapema niijibu.

Kiukweli umeongea point sana. Katika mahusiano/ndoa kuna matatizo ya kila aina tunachotakiwa ni kuwa wavumilivu na tuwe na moyo wa kusamehe, binadamu kukosea ni kitu cha kawaida. Kuamua kuanzisha uhusiano mpya kila mara si jambo la busara sana.
Mimi naamini kuwa mtu yoyote anayethubutu kutamka maneno haya, NAKUPENDA, POLE, SAMAHANI.
Anajitambua sana kiukweli maneno haya kwangu ni magumu mno kutamka ukiona nimekutamkia hivyo ujue i mean it na hiyo imetoka moyoni kwangu.
 
Nilikumiso wewe acha tu
 
Ni kwel kabisa mpendwa, mahusiano ni baina ya watu wawili na kila mmoja anafikra zake na mtazamo wake so kutofautiana ktk mahusiano ni jambo la kawaida na kila mmoja anapaswa kutambua hilo, hakuna sabab ya kuvunja uhusiano eti kwa sabab zimejitokeza tofaut ndogo tu kati yenu. upendo ndicho kitu kinacho waunganisha watu, na sio rahisi kupata ambaye mtafanana kwa kila kitu.
 
Hapo pia naunga mkono kabisa,ingawa wengi huwa wanaamini kuanzisha uhusiano mpya au kulipiza ni njia ya kumkomoa mwenzake,ila si kweli......
 
Safi sana kokudo. Ngoja nii-save ktk sim yangu

thumbs_up_large.png
 
Attachments

  • thumbs_up_large.png
    thumbs_up_large.png
    56.4 KB · Views: 40
Kakudo well said, yaan unaruka majivu unaenda kukanyaga moto bora uvumilie hapohapo tu na urekebishe palipokwenda vibaya
 
mnh kuna mahusiano mengine hayahitaji uvumilivu solution ni kudipart tuuu na kukamata mwingine FULL STOP.
 
Jamani wapendwa kwanza nitangulize shukrani za dhati kwa michango yenu pia napenda kuomba radhi kwa kutojbu kwa wakati 7bu 2 ya maisha na mihangaiko ya hapa na pale.
Ni cku ya 3 leo narudisha upendo/mapenzi kwa baba yangu mzazi aliyonipa tangu naingia kwenye uso wa dunia hii miaka 28 iliyopita.Baba yangu anaumwa leo ni cku ya 3 kalazwa akisumbuliwa na malaria ndo maana hta cku naipost hii thrd ilikua late sana.
Niwashukur wote mliopost hpa niwaahdi 2ko pamoja kulisukuma gurudumu hili.
Pia nikumbushe 2 mapenzi/upendo hua hauishi wala haupimiki kwa midhani leo humu jamvini 2napenda ingawa c wote wanafahamiana kwa sura.pia upendo hauna cku maalumu.
 
DA cku unanifanyia harambee ya ile thrd yngu niliulza uko mkoa upi hpa tz?hukujbu ukawa BAN ok nambie leo au kma vp ni PM TAFADHALI
 
Jamani wapendwa kwanza nitangulize shukrani za dhati kwa michango yenu pia napenda kuomba radhi kwa kutojbu kwa wakati 7bu 2 ya maisha na mihangaiko ya hapa na pale.
Ni cku ya 3 leo narudisha upendo/mapenzi kwa baba yangu mzazi aliyonipa tangu naingia kwenye uso wa dunia hii miaka 28 iliyopita.Baba yangu anaumwa leo ni cku ya 3 kalazwa akisumbuliwa na malaria ndo maana hta cku naipost hii thrd ilikua late sana.
Niwashukur wote mliopost hpa niwaahdi 2ko pamoja kulisukuma gurudumu hili.
Pia nikumbushe 2 mapenzi/upendo hua hauishi wala haupimiki kwa midhani leo humu jamvini 2napenda ingawa c wote wanafahamiana kwa sura.pia upendo hauna cku maalumu.

pole kokudo.
Mzee anaendeleaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom