Huu ni waraka wangu kwenu WAPENDANAO

kuna mtu kanitumia sms kuwa kokudo katoathread ya maana sana imenibidi niamke mapema niijibu.

Kiukweli umeongea point sana. Katika mahusiano/ndoa kuna matatizo ya kila aina tunachotakiwa ni kuwa wavumilivu na tuwe na moyo wa kusamehe, binadamu kukosea ni kitu cha kawaida. Kuamua kuanzisha uhusiano mpya kila mara si jambo la busara sana.
Mimi naamini kuwa mtu yoyote anayethubutu kutamka maneno haya, NAKUPENDA, POLE, SAMAHANI.
Anajitambua sana kiukweli maneno haya kwangu ni magumu mno kutamka ukiona nimekutamkia hivyo ujue i mean it na hiyo imetoka moyoni kwangu.
DA umemwaga point nimekupa zako....
Ni kweli
Dhamira zetu zikiwa hai ni rahisi kusema samahani nimekukosea na mwingine kusema asante nimekusamehe. Nitampata wapi binadamu asiye na makosa... Hakuna. Jibu ni kuwasiliana na kubebana wote kwa upendo.
 
Nimekusoma mkuu. Ila kuna sehemu umeniudhi wewe lakini nimekusamehe kabla hujaomba samahani
 
Nakubaliana na wewe kabisa bila kusameheana familia haziwezi kuendelea kabisa.
Jawabu la Upole hushusha hasira kwa aliye kasirika.
Kuheshimiana na kusikilizana kunatia amani na furaha ndani ya nyumba.
Kwangu huu ujumbe wako ni wa mhimu sana na unaifanya siku yangu nzima ya jtatu kuwa safi na murua kabisa.
Kwanza niwasalimu nyoote mlio macho muda huu,pia nyinyi mliolala khabarini za asubuh! asante.

HEBU 2LIPITIE HILI -:MATATIZO KATIKA
UHUSIANO.
Hakuna papara wala hasira,matatizo katika uhusiano/mahusiano ni jambo la kawaida ambalo kiukweli unatakiwa kujiandaa kukabiliana na changamoto hizo.
Kubali tatizo,kisha tulia na panga jinsi ya kulimaliza kwa njia bora zitakazouacha uhusiano/mahusiano yako ktk khali nzuri.Kwanini ubadilishe wapenzi kila kukicha?Unatafuta nini?Upe ubongo wako nafasi ya kufikiri.
Maamuzi ya hasira au kukomoa mwisho wake huwa ni machozi,epuka machozi ambayo hayana 7bu.Siku zote,ukikubali kosa na kulipokea ni mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye kutafuta njia za utatuzi.
 
Nakubaliana na wewe kabisa bila kusameheana familia haziwezi kuendelea kabisa.
Jawabu la Upole hushusha hasira kwa aliye kasirika.
Kuheshimiana na kusikilizana kunatia amani na furaha ndani ya nyumba.
Kwangu huu ujumbe wako ni wa mhimu sana na unaifanya siku yangu nzima ya jtatu kuwa safi na murua kabisa.
Asante mallaga cku zote kuteleza ni sehemu ya maisha na ukiona babu&bibi wamezeeshana wamepitia mengi mazuri/mabaya.Tusameheane panapobidi.
 
Jamani wazima leo mungu yu pamoja nasi amina.
 
Kokudo bado unatafuta marafiki?
Afrodenzi marafiki ni sehemu ya maisha ntafurah kama wataongezeka mara dufu.ok ndio bdo natafuta marafiki na itapendeza kama ww utakua mmoja wao.
 
Hahaha lol haya bwana
Nimekuuliza sababu
kuna thread yako nilisomaga
Wakati niko likizo nilicheka sana..
hivi watu wangapi walichangia ile thread?lol
 
Duuh ile ilivunja rekodi kwenye theard yangu.nawashukuruni wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom