Huu ni ushauri wangu wa manufaa kwa wana-Mbeya. Hatari ni kubwa sana

Inashinda vizuri tu free and fare, kazi kubwa Magufuli kaifanya Mbeya na Tanzania kwa ujumla

Alichofanya Magufuli ni wajibu wake kwani ni kodi za wananchi na analipwa mshahara wake, hata akitoka yeye bado maendeleo yataendelea kufanywa. Ila kuna choice za watu, na kwa wana Mbeya ccm sio choice yao. Watu wa Mbeya hawadanganyiki kwani wanajua maendeleo ni haki yao regdless sura ya kiongozi kwani kodi yao ndio inaongea. Uchaguzi uwe huru tu, kwa kura halali ccm itaishia kunawa.
 
Yaani wananchi wamuombe Radhi Rais! Wana Mbeya sisi ni wajivuni kama unavyosema. Na 2020 hatuchagui Rais wala mbunge wa Ccm.

Mpaka waje waombe Radhi
 
Hujui ulisemalo na ni sababu huwezi pinga kwa hoja unakimbilia kuandika upuuzi.

Mtoa post hana akili mbn miradi ya maendeleo inasonga mbele kama kawa,ishu ya uwanja wa songwe toka mkapa haijamalizika sawa tu na mwanza,,ishu kubwa Mbeya ni bypass na Mbeya tunduma road tu nazo ni ishu ya vipaombele tu
 
Arusha iko wapi?
Kilimanjaro iko wapi?
Iringa iko wapi?
Mwanza iko wapi?

Mbeya biashara yake ilishaisha siku nyingi kinachosubiriwa ni 2020 jogoo la Dodoma liwike tuingie site.
Nenda huko Dom si Mbeya. Chumvi? Uibadilishe? Who are you
 
Maendeleo kwa Mkoa wa Mbeya ni haki yake sio fadhila, sababu kodi wanalipa kama watanzania wa mikoa mingine.

Rais ndio inabidi aombe msamaha kwa kutofuata katiba aliyoiapa kuwa atailinda na kuifuata bila ubaguzi.
Una akili sana , Magufuli asijigeuze Mungu wa tanzania.
 
Mbona Dodoma wamechagua CCM tangu uhuru ila ni maskini wa kutupwa. Nenda Kongwa, Kondoa, Bahi , Chamwino, Mpunguzi, mpwayungu ndio utajua nini maana ya umaskini. Yaani ukikaa Hotelini unakula ombaomba wanakuzonga utadhani wanakudai....
 
Tatizo la Mbeya sio kuchagua upinzani, hata Arusha na Dar walichagua upinzani lakin serikali haina tatizo nao. Mm kwetu Mbeya lakin naishi Arusha. Arusha kuna miradi mikubwa ya barabara kila kona ya mkoa. Jijin Arusha ndo usiseme. Kuna miradi ya maji karibu kila wilaya, Arusha mjini Kuna mradi wa maji wa billion 400, acha huo alioomba sugu wa billion 70, ukija Arusha ndo utaelewa ninachokiongea na utashangaa sana.

Tatizo la Mbeya ni ile njama ya vigogo wa ccm, ambao walikuwa na nafasi ya kukitetea chama, walikula njama na kushirikiana na upinzani kukiangusha chama. Hata mzee mkapa alivoamua kwenda kuwashawishi wabadili maamuzi, alijikuta yuko peke yake. Hawakutokea hata kwenye kikao. Siku ya kufunga kampen mkapa alifungia Mbeya, alijikuta yuko peke yake.

Akina Mwandosya wamekuwa against JPM na hata kufikia kiwango cha kuhudhuria vikao vya mikakati vya chadema, jimbon kwake alihudhuria mikutano kadhaa ya kampen ya upinzani. Amekuwa akishawishi sana wana ccm wa mkoan Mbeya kumpinga magufuli wazi wazi. Hata yeye mwenyewe amekuwa akipost vijembe dhidi ya magufuli. So wanasiasa wote waandamiz wa mkoa wa Mbeya wamekuwa against JPM since ateuliwe kugombea.

Watu kama akina mwakyembe waliukosa uwaziri mkuu kutokana na hali halisi ya siasa za mkoa wa Mbeya. Hata kuukosa uwaziri wa sheria ni sababu hizo hizo. Lakin. Urafiki wao ulimuokoa mwakyembe.

Anachokifanya Magufuli ni kutengeneza wanasiasa wake mkoani Mbeya ambao watauendesha mkoa wa Mbeya. Akina Tulia, Zambi na wengine.

Mimi kwa maon yangu ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwa sugu kuhamia ccm na Kuchukua jukumu la kuendesha siasa za Mbeya.

Hivi Sasa wasomi wengi kutoka mkoa wa Mbeya wanamsihi sugu either ahamie CCM au aache siasa kwa lengo la kuuokoa mkoa usiendelee kutengwa. Ni juu yake sugu kuniunga CCM au kuachana na siasa za Mbeya ili kuunusuru mkoa.

Huo ndo ukweli, Akina Mwandosya wameuua mkoa.
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
 
Hujui ulisemalo na ni sababu huwezi pinga kwa hoja unakimbilia kuandika upuuzi.
Hoja gani unataka nakueleza miradi ya maendeleo inasonga wewe unaongea upupu,road ya kutoka Mbeya kwenda makete inajengwa,Kyela, Tunduma Isongole,Mbeya jiji roads over 12bln under tscp inajengwa bado hospitali za wilaya,juzi tu kazindua jengo lenye ct scan,mri na digita hospital ya rufaa ya kanda ya Mbeya na miradi mingine mingi
Nimekwambia shortcomings za Mbeya kwa sasa ni bypass na Zambia road kuwa dual carriage Basi ambazo awamu ijayo haitamalizika before kujengwa.Nchi ni kubwa kila sehemu miundombinu inatakiwa
 
Tatizo la Mbeya sio kuchagua upinzani, hata Arusha na Dar walichagua upinzani lakin serikali haina tatizo nao. Mm kwetu Mbeya lakin naishi Arusha. Arusha kuna miradi mikubwa ya barabara kila kona ya mkoa. Jijin Arusha ndo usiseme. Kuna miradi ya maji karibu kila wilaya, Arusha mjini Kuna mradi wa maji wa billion 400, acha huo alioomba sugu wa billion 70, ukija Arusha ndo utaelewa ninachokiongea na utashangaa sana.

Tatizo la Mbeya ni ile njama ya vigogo wa ccm, ambao walikuwa na nafasi ya kukitetea chama, walikula njama na kushirikiana na upinzani kukiangusha chama. Hata mzee mkapa alivoamua kwenda kuwashawishi wabadili maamuzi, alijikuta yuko peke yake. Hawakutokea hata kwenye kikao. Siku ya kufunga kampen mkapa alifungia Mbeya, alijikuta yuko peke yake.

Akina Mwandosya wamekuwa against JPM na hata kufikia kiwango cha kuhudhuria vikao vya mikakati vya chadema, jimbon kwake alihudhuria mikutano kadhaa ya kampen ya upinzani. Amekuwa akishawishi sana wana ccm wa mkoan Mbeya kumpinga magufuli wazi wazi. Hata yeye mwenyewe amekuwa akipost vijembe dhidi ya magufuli. So wanasiasa wote waandamiz wa mkoa wa Mbeya wamekuwa against JPM since ateuliwe kugombea.

Watu kama akina mwakyembe waliukosa uwaziri mkuu kutokana na hali halisi ya siasa za mkoa wa Mbeya. Hata kuukosa uwaziri wa sheria ni sababu hizo hizo. Lakin. Urafiki wao ulimuokoa mwakyembe.

Anachokifanya Magufuli ni kutengeneza wanasiasa wake mkoani Mbeya ambao watauendesha mkoa wa Mbeya. Akina Tulia, Zambi na wengine.

Mimi kwa maon yangu ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwa sugu kuhamia ccm na Kuchukua jukumu la kuendesha siasa za Mbeya.

Hivi Sasa wasomi wengi kutoka mkoa wa Mbeya wanamsihi sugu either ahamie CCM au aache siasa kwa lengo la kuuokoa mkoa usiendelee kutengwa. Ni juu yake sugu kuniunga CCM au kuachana na siasa za Mbeya ili kuunusuru mkoa.

Huo ndo ukweli, Akina Mwandosya wameuua mkoa.
Kipi ambacho magu au ccm ilikiahidi kwamba watakifanya ili mkoa usitengwe? Miradi mingi mikubwa ya kulifungua jiji na mkoa inaendelea despite hizo siasa,kila mkoa unapelekewa miradi kulingana na uhitaji na strategic importance yake,Mbeya hakuna tatizo kubwa saaana la maji kama mikoa ya kanda ya ziwa miradi itafanyika kama bajeti ya kawaida na kwa miundombinu nimesema ndani ya jiji kuna miradi ya tscp inafanyika,barabara za kuunganisha na Njombe/makete zinajengwa,za kuunganisha na malawi kupitia Kyela na ileje zinajengwa,chunya makongolos kaweka jiwe la msingi.
Narudia barabara zinazopigiwa kelele ni bypass na Tanzam Hadi tunduma tu
Ukisema Mbeya inafungwa Katavi kugoma rukwa Ruvuma njombe tabora wasemaji?
 
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.

Umetumwa? Wewe ndo utuombe msamaha kwa kutuletea mawazo yako ya kizwazwa kama haya.

Maneno mengi kumbe hujui hata ipi ni haki na kipi kinahitaji hisani.
 
katiba yetu inakataza ubaguzi Mkuu. pia katiba yetu inasema wananchi ndo msingi Wa mamlaka yote hapa nchini. pia wanachama Wa vyama vyote ni watanzania pia. rais ni nembo ya taifa zima. anapaswa kuwahudumia watu wote kwa usawa bila kujali hali zao za kabila,itikadi, dini Waka eneo watokalo. tabia ya viongozi kutotembelea mikoa hasa ya kusini ni kawaida sana. mfano mkoa Wa ruvuma na Njombe wabunge wote ni Wa ccm lakini rais kakanyaga juzi tangu achaguliwe.
 
Maendeleo ya eneo lolote lile kimsingi husababishwa na juhudi za wananchi wa mahali hapo, serikali hujazia tu.
Siasa zenye chuki za kibaguzi huyumbisha fikra za watu kwa muda mfupi tu.
Wananchi ni wale wale, wawe CCM au vyama vingine, maendeleo yanakuwepo kwa kuwa hayana chama.
 
Tuna miaka mingapi tangu tupate uhuru chama tawala kile kile. Bora Magu alitambua CCM sio jina la kupigania tena akaja na hoja ya mabadiliko na maaendeleo tunayaona. Sasa kama wadhan CCM
Ndio itakuletea maendeleo na sio kazi ya kila mTanzania utabakia gizani
 
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
Natangaza kukudharau moja kwa moja kwa kipindi chako chote kilichosalia hapa duniani .
 
Back
Top Bottom