Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,312
- 103,892
Inashinda vizuri tu free and fare, kazi kubwa Magufuli kaifanya Mbeya na Tanzania kwa ujumla
Alichofanya Magufuli ni wajibu wake kwani ni kodi za wananchi na analipwa mshahara wake, hata akitoka yeye bado maendeleo yataendelea kufanywa. Ila kuna choice za watu, na kwa wana Mbeya ccm sio choice yao. Watu wa Mbeya hawadanganyiki kwani wanajua maendeleo ni haki yao regdless sura ya kiongozi kwani kodi yao ndio inaongea. Uchaguzi uwe huru tu, kwa kura halali ccm itaishia kunawa.