Huu ni ushauri wangu wa manufaa kwa wana-Mbeya. Hatari ni kubwa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,756
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
 
Kwa hiyo hapa unahalalisha kwamba maendeleo yanachama au mimi ndio sikuelewi. Unasema waache siasa za upinzani ili rais kinyongo kiishe! Kwa hiyo rais ndio analeta maendeleo kwa utashi wake na usipomchagua anakuwa na kinyongo? Huku ni kujipendekeza kwa ajabu, ndio maana Tulia anajipitisha pitisha ili apewe ubunge kupitia vyombo vya dola?
 
Huelewi siasa za tanzania au bado umri wako mdogo. Raisi alipoamua kujenga airport chato nani alimzuia? Unadhani akiamua kutofanya kitu sehemu flani wahusika wataacha kulipa kodi huko au watamzuia? Take time to think.shauri yako.mtwara suala la korosho hawalipi kodi?

kuhusu kodi wanayolipa unasemaje?
 
Maendeleo kwa Mkoa wa Mbeya ni haki yake sio fadhila, sababu kodi wanalipa kama watanzania wa mikoa mingine.

Rais ndio inabidi aombe msamaha kwa kutofuata katiba aliyoiapa kuwa atailinda na kuifuata bila ubaguzi.
Rais mwenyewe anao wimbo wake wa maendeleo hayana chama halafu huyu kenge wa jangwani analeta ushauri wa hovyo kabisa humu.
 
Jipe moyo au jitutumue huku upo chini ya kitanda.

Sisi tushasema unyonge hatutaki. Kama wanasema maendeleo hayana chama kwa nini wanatubagua ivyo. Mbeya tuna haki ya kupata maendeleo kwa sabaabu kodi tunalipa. Huo ukunguni unaoandika wapelekee wanyonge wenzako.
 
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
Aisee! na we ndiyo umeandika uzi. Uzi umekamilika kwa hisia zaidi.
Kumbuka huyo unaemsemea kwamba aombwe msamaha, ndiye mwenye msemo wake usemao "MAENDELEO HAYANA CHAMA".
 
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
Hivi Waziri akitokea mkoani kwangu inanisaidia nini mimi? Kati ya ukanda na uwezo wa mtu Kutimiza majukumu aliyoteuliwa kuyafanya ni kipi kipaumbele chetu?
 
Nahisi kama si mgombea mtarajiwa ndani ya Mbeya kupitia CCM, basi atakuwa anajipendekeza kwa mkubwa wake wa chama ili kulamba shavu.
Sisi tushasema unyonge hatutaki. Kama wanasema maendeleo hayana chama kwa nini wanatubagua ivyo. Mbeya tuna haki ya kupata maendeleo kwa sabaabu kodi tunalipa. Huo ukunguni unaoandika wapelekee wanyonge wenzako.
 
Imemchukua Rais Magufuli miaka zaidi ya Mitatu na nusu Kukubali kukanyaga Mbeya.Kumbukumbu ya mwaka 2015 ni ngumu yeye kumtoka.

Nawafaham watani zangu hawa Wanyakyusa. Ni wajeuri,wajivuni na wenye maamuzi ya Umoja sana.Ni watu wasioyumba na wasio wanafiki.

Kikwete anawakumbuka vizuri alipotaka wapelekea uswahili likatokea jambo baya sana ktik historia yetu la kupiga mawe msafara wa Rais.na ni hawa waliomwambia Urais tutakupa mwaka 2005/ 2010 ila Mbunge wako ondoka naye.na kweli hawakumpa.

Siasa za mbeya huwa zinahitaji utulivu wake sababu kubwa ni kuwa kuna aina ya watu wanaojiamini na wanaojivuna sana.hawa wamekuwa wakimchagua sugu kama adhabu kwa ccm.nakumbuka 2015 magufuli mwenyewe alisalimu amri.ikabidi atumie akili ya ziada kuwatuliza.

Walishachoka na CCM na maovu waliyohisi,ona wanatendewa.madhara yake wameyaona...jinsi ambavyo walitengwa kwa kipindi kirefu sana.na kudumaza shughuli za kiserikali za maendeleo kwa jiji.

Sasa warud nyuma.huwezi shindana na serikali.wamwombe msamaha raisi aondoke kinyongo afanye nao kazi.jiji liendelee kwa miradi lukuki ya maendeleo.

Wakiendelea kushupaza shingo zitavunjika.mpaka mwaka 2025 watakuwa na wakati mgumu. Kuanza upya si ujinga.waache kwa muda siasa za upinzani.wafanye wanayopaswa kufanya. Maana hata wanaweza wasipate waziri kwenye Serikali ikiwa wataendelea hivi.au ndo watapewa mawaziri wizara kama za mwakyembe.

Wanyakyusa,wasafwa,wandali,wakinga n.k Mkoa Kwanza Siasa baadaye.
Hatuna haja ya kumpigia mtu magoti wakat kila kitu kinapatikana mbeya, .
Acha watutenge tu lakn iko siku watakuja kuwajua wana mbeya ...
Iko siku mbeya tutakuja kudai Uhuru Wa taifa huru..

Sisi hatutafutiwi chakula na raisi sisi tunalisha mikoa ya Tanzania
 
Back
Top Bottom