Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Kadakabikile, wewe ndie mchochezi na asiyependa haki za watanzania..
Jibu maswali haya:-
*.*. Unaipenda Tanzania yenye Amani? Ndio au La?
Kama ndio;
....a). unaupenda uvamizi ulitokea Kabuhorera, Kirumba, Mwanza hatimaye wabunge wakiwamo watu fulani fulani wakajeruhiwa?
..b). Unaupenda unyanyasaji wa Askari polisi dhidi ya wapinzani na raia watanzania?
...c). Unavutia kwako kwa kuwa wewe ni mwana CCM kutimiza methali 'kila mwamb
.
.
Napenda nijibu maswali yako ambayo nadiriki kusema kuwa ni mazuri kama ifuatavyo.
Kwanza kabisa napenda sana kitu kiitwacho amani, ndiyo maana nawachukia sana Chadema kwa kuwa wamekuwa wakihatarisha amani ya nchi yetu.
Pili, hao wabunge waliokatwa mapanga ni kutokana na chuki ambazo haziishi ndani ya Chadema, ona Chadema wasivyo na adabu wanadiliki kukatana mapanga wao kwa wao, je, endapo wakikabidhiwa nchi, itakuwaje?.
Tatu sifurahii kukatwa mapanga kwa hao wabunge, lakini ninachowaomba hao wabunge, waachane na Chama chenye chuki maana wakiendelea kuwemo humo wanaweza kuuawa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Anahaha bwana mdogo alafu hata hizi siasa za maji ya chooni bado hajazimudu vema,
safari hii tunakalisha mpaka tembo.
Subiri utaona.