Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Hii kazi unayoifanya, walisha ifanya wenzio ( Ritz, Rejao, FF, Nyaning'abu, Mwita25) wakachemka hadi Nape boss wako akaja mwenyewe nae pia akashindwa!! Sasa wewe kiroboto kwenye kunguni sidhani kama utaweza! Ila jitahidi!!

Chunga sana maneno yako, hunijui sikujui, siku nyingine usiniite kunguni utaumia.
.
"WASIOTAWALA NI CHAKULA CHA WATAWALA".
 
MUNGU wa mbinguni akutoe uhai wako wewe mto mada usiku wa leo, maana unafurahia watanzania wanavyoteseka. Na akutupe jehanamu, shetani we.
 
Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.

wawapi wewe?mbona huna uchungu na nchi yako?ww utakuwa gamba.
 
mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga na upumbavu wa watanzania ndio maana wanahaha pale chadema inapotoa bure elimu ya urai.chadema keep it up.
 
MUNGU wa mbinguni akutoe uhai wako wewe mto mada usiku wa leo, maana unafurahia watanzania wanavyoteseka. Na akutupe jehanamu, shetani we.

Maneno yako yanawakilisha hasa kile akili yako ilivyo, yaani naiona kabisa akili yako, imekaa ki yuza nemu yako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Takataka
 
Slaa akamatwe kwa kusema kilicho moyoni mwake!! basi na hawa wanaovurunda nao wakamatwe kwa maslahi na matakwa ya umma
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

mhhh...akili kweli ni nywele na kila mtu ana zake, ila wengine mna vipara
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Kelele za Zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia Tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.

Mafisadi wadogo mnaanza kuogopa mapema.............. Siku mkisikia CCM imepigwa nchi si ndiyo mtahama nchi kabisa na kuwa wakimbizi!! Tumeona design za watu kama ninyi kutoka Ethopia na DRC!!! Watu wanapiga siasa kuimarisha chama na kuwaamsha wananchi kutoka usingizini ninyi mnakuja na propaganda za uhaini!! MSHINDWE NA MLEGEE!!
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo
soma na 'Rai ya Jenerali' kwenye gazeti la raia mwema (iko kwenye thread moja humuhumu jf) afu ukimaliza (kama una akili timamu,...samahani lakini..)uniambie nani anetakiwa kukamatwa kati ya hao uliwataja na hilo genge la wahu..ni linaloitwa sirikali na hao walozawadiwa ukuu/ukamanda wa policmm na mkuu wa hilo genge
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Kati ya mataahira na vilaza duniani wewe ni top 2!,huna akili but matope.Rudi darasani ukaelimike.Magamba type we! Hufai ktk jamii ya binadamu bali virus
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Watanzania wote wanajua kazi wanayofanya CDM, wewe kwa sababu ya umasikini wa wa akili yako au kununuliwa na CCM ndo huoni.
 
Utakamataje mtu anayesema kwel badala ya kukamata mafisadi wa ccm? Aliyeleta hii thread ni ndina na shetani mkubwa na hana akili
 
Mleta mada miongoni mwa wezi wa rasilimali na kodi za wavuja jasho wa Tanzania,ana ogopa tukichukua nchi tuta poteza wote jela.tuwaambietu kua waanze kurejesha vote walivo iba.wanakuja oja zaki jinga.
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

CCM inajua utawala wa sheria ipi? acha umasikini wa ukilazimisha akili yako isijue ukweli, watawala wanawanyanyasa watu eti tu kwa sababu wapo upinzani ndo utawala wa sheria huo? Viongozi wanaiba mchana kweupe hawapeleki mahakamani ndo sheria za CCM hizo ee? Kuwafundisha watanzania wajue ukweli na wasimamie kutafuata haki ndo uchochezi hee? mnataka tuendelee kuwa mabwege ili nyie mnunue magorofa sio? haipo tena hiyo, tena nyamaza kabisa. Tutaingia barabarani hadi kieleweke.
 
Sikujua kwamba kuwaambia watu ukweli ni uchochezi. Anyway uchochezi mwingine unafaa kwa maendeleo. Ni sawa na kuambiwa kua mke wako analiwa nje. Ndio ni uchochezi lakini usipoambiwa pia sio vizuri....
 
hata wewe unatakiwa kukamatwa kwa kuchochea uhaini kwa kuilazimisha polisi kuwakamata chadema.
 
Back
Top Bottom