Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Kwa nini usiwashauri hao polisi kuwakamata:
1. wezi wa nyara za serikali?
2. Waliouza twiga na wanyama wengine Uarabuni?
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Hadi kuhimiza mafisadi wakamatwa ni uhaini na uchochezi?.Ama kweli sisiem mmechoka
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
[COLOR=#00000
 
Napendekeza ChaDeMa kifutwe maana hakina la maana lolote kwa wananchi zaidi ya maandamano ambayo yanahatarisha usalama wa nchi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

kwa waliosoma majambaz ya kod za umma si ndio?
 
Kwanza uanzie kusafisha nyumbani kwako kabla hujaenda kusafisha kwa jirani yako. Unadhirifu wa kutokulipa kodi kwa Slaa wa Chadema? ubadhirifu wa Mbowe kuwauzia FUSO mtumba kwa millioni 350? ubadhirifu wa Mbowe kukataa kulipa fedha za NSSF? ubadhirifu wa chadema kutumia fedha za walipa kodi kumlipa hawara, na hausigeli wa hawara perdiem za zaidi ya laki mbili kwa siku? ubadhirifu wa chadema kulipa walinzi wa kanisa?

Ubadhirifu wa Slaa kupangisha hoteli ya kifahari kwa mtoto wa nje ya ndoa asisumbuke? ubadhirifu wa kuhongwa misaada ya jimboni na barrick gold baada ya kupiga kelele na alipohongwa hiyo misaada akakaa kimya kwa barrick, zitto.

Fikiri!

Hao ni bado wapinzani tu, wakipewa nchi?

Kumbe kweli hatuna serikali....mtu halipi kodi wananchi wanajua lakini hachukuliwi hatua na serikali...mtu anakataa kulipa fedha shirika la umma pia hachukuliwi hatua halafu utakataa kuwa hamna serikali...duh kweli hili ni shamba la bibi...we need a govt as soon as possible.
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Toa hizo ndoto zako hapa, Wewe unafikiri una serikali hapa...

Tuna mamluki wa kutetea maslahi ya wazungu na waarabu na wachina na si viongozi
 
Suala sio Slaa na Mbowe ama JK na wabunge suala ni kuwa kwetu sisi WATZ tunaokamuliwa na kodi yetu kutumika kuwalinda walio na madaraka tunataka kuona nguvu ya sheria. Kwahiyo--- kwangu itakuwa vyema hawa wote wakamatwe halafu kila mmoja atoke kwa nguvu ya hoja za ushahidi wake. Ikiwa Slaa ana la kushutumiwa sawa apelekwe, lkn iwe baada ya kuwapeleka pia JK na serikali yake iliyo madarakani,, baada ya hapo kila mtu atatoka kwa usafi wake. Tunachoota, tunachotaka, tunachoomba ni kuwa na utawala wa sheria ambao hakuna aliye juu ya sheria wala aliye chini ya sheria. Mhalifu kwake gerezani sio utalii wa nchi hadi nchi na majumba kwa kusingizia wanakopa. Amka wewe usinziaye, maaana nuru yako imekuangazia.
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Unaujua utawala wa sheria wewe Bongolala? Linalozungumziwa lenyewe ni kuwa sheria haikufuatwa kwani wahusika wa shambulio hawakukamatwa alafu wewe unaropoka eti utawala wa sheria kwa anayedai sheria zifuatwe. Napata kichefuchefu kama bado kuna mtu mwenye fikra kama zako nyakati hizi!!!
 
mtoa mada na wanaokuunga mkono hivi mnavichwa au viwilwili ndo vinawaza, wote nadhani makalio yenu ndiyo mmefanya ni vichwa vya kuwazia au ukute mmelewa au ndo yale makafara ya .wamagamba yanaongea mnatia kichefuchefu toeni ulusinde wenu hapa. nyie ngojeni kitambo kidogo mtaijua tz ni mali ya watz wote sio ya baba zenu tena
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo
Ishi inakuweje uchochezi? Haki ya mtu kueleza dukuduku zake na kero zake ni uchochezi? Haya we endelea kutokuamua kujivua gamba siku utavuliwa utakuwa huwezi kuogeshwa....
 
Nafikiri kiongozi mzuri ni yule mpenda amani kwa maana ya kuweka misingi ya amani ikiwa ni pamoja kuelimisha jamii anayoiongoza itambue na ishiriki katika kujenga na kutunza amani,mimi binafsi sipingani na tofauti wanazoziona viongozi wa chadema kwa namna nchi inavyoongozwa.

Kwamba ni kwa namna ambayo haitoi pengine nafasi ya kugawa kile kilichopo kwa usawa na viongozi serikalini kotokuwajibika vyema na kwa maslahi wananchi katika nafaasi na dhamana tulizowapa,ninachopingana nao ni namna wanavyotoa hamasa kwa wananchi kudai kile wanachofikiri kwamba ni haki.

Ni vizuri wakawaelimisha wananchi wakaelewa ya kuwa kama ni kudai pengine ardhi ambayo tayari serikali kupitia baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu tuliowpa dhamana ya kusimamia ama kutuongozo ilishaingia mikataba ambayo haina tija kwetu, tutafuata sheria kudai haki ktk hilo lakini siyo kwenda kuvamia na kutaka kuingia ktk maeneo hayo kwa nguvu kwa maana ya kumtoa mmiliki wa eneo husika kama ilivyotokea huko arumeru juzi juzi baada ya uchaaguzi mdogo uliofanyika huko kumalizika, hii Itasabisha vita na vurugu ambazo msingi wake ni hamasa zinaazotolewa viongozi wa kisiasa.

Nawashauri viongozi wakati wanapohutubia wananchi watambue ya kuwa wananchi wanawaamini kwa maneno na hotuba zao hivyo wasitumie nafasi hizo vibaya kwa kusababisha vurugu na uvunjifu wa amani
 
Mbona aliyembea na silaha za kivita hajakamatwa, hata yule aliyekuwa na bastola hadharani naye hajakamatwa... huu si uchochezi na uvunjifu wa amani?
 
kelele za zitto bungeni iliripotiwa anashinikizwa na nchi flani ya nje. Jee, na hawa? Nna uhakika kuna ka mkono fulani kakutoka nje, lakini nnwahakikishia tanzania ni zaidi ya wanavyoiona ngoja wataumbuliwa baada ya muda si mrefu. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Walitulizana lakini naona sasa wameshajisahau na wanaanza tena siasa zao chafu za uvunjifu wa amani. Safari hii ndio itakuwa mwisho wao daima.

duuh kweli nimeamini yule mchangiaji aliyesema kuwa mwana ccm lazima ufikiri kwa kutumia masaburi hahahaha... Sishangai wanachama wa ccm walioko hapa "where we dare to talk openly" ni wachache mno na waliopo hawa dare kabisaa....
Mtaacha kunyanganywaje nchi bana wakati wawakilishi wenu bungeni wanalala na kupiga makofi ...mawaziri wenu wezi... Rais wenu haipendi nchi yake yeye kila siku msafiri... Waziri wenu mkuu nyoka wa kibisa...
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

:target:Unajua hata maana ya uhaini wewe? na hao mafisadi wa magamba wao wanaofisadi nchi hawahatarishi usalama wa nchi? Viongozi wanaotetea haki na usawa wa nchi hii unawaita wahaini!? You must be stupid!
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
….ndiyohiyo

Si hilo jeshi la polisi lilisema kuwa halifanyi kazi kwa kushinikizwa.....sasa wewe mbona unawashinikiza sasa? je unalolisema hapa kuwa polisi kamateni (amri hii), kuna tofauti na alivyosema a holder of Doctor of Philosophy Slaa kuwa polisi kamateni waaharifu na wakata mapanga watumishi wa raia? Je ni nani mchochezi kati ya yule anayekemea unyama na yule anayehimiza unyama kwa kutaka wale wanaopinga unyama wazibwe midomo(wewe)?
 
Kwanza uanzie kusafisha nyumbani kwako kabla hujaenda kusafisha kwa jirani yako. Unadhirifu wa kutokulipa kodi kwa Slaa wa Chadema? ubadhirifu wa Mbowe kuwauzia FUSO mtumba kwa millioni 350? ubadhirifu wa Mbowe kukataa kulipa fedha za NSSF? ubadhirifu wa chadema kutumia fedha za walipa kodi kumlipa hawara, na hausigeli wa hawara perdiem za zaidi ya laki mbili kwa siku? ubadhirifu wa chadema kulipa walinzi wa kanisa?

Ubadhirifu wa Slaa kupangisha hoteli ya kifahari kwa mtoto wa nje ya ndoa asisumbuke? ubadhirifu wa kuhongwa misaada ya jimboni na barrick gold baada ya kupiga kelele na alipohongwa hiyo misaada akakaa kimya kwa barrick, zitto.

Fikiri!

Hao ni bado wapinzani tu, wakipewa nchi?
Hivi ukielimika kidogo utaacha kufikiria kwa kutumia MASABURI? ukijibu nitakuelimisha!!
 
Kama hizo sheria hazifuatwi tufanyeje?Tunaingia barabarani tu!
 
Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie barabarani kutaka mafisadi wachukuliwe hatua. Huu wote ni uchochezi kinyume na utawala wa sheria.
[COLOR=#00000[/QUOTE]

Hivi wewe ki.Chaa unajua hata kifungu kimoja cha sheria kweli?Unajuaa maana ya uhaini?Acha u.jing.a hv wew unafikir polisi ni wa ccm?Toeni hoja za msing na siyo pumba kama zako!,tumia akili kufikiria na siyo mat¤a.ko.Ccm hamna jipya ni kufa kifo cha samaki,subirini m4c iwakaange tuwale.Nyani mkubwa we!
 
Back
Top Bottom