Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
Hata kama litasimama jiwe nitalipigia kura kuliko mgombea wa ccm!am very rigid on this!chafua unavotaka bt ujue unatwanga maji kwny kinu
 
Kwa kweli majungu hayatatufikisha mahali popote,yaan vijana mnaonekana watanashati kumbe mmejaa unafki ndani ya chama kwa sababu hii thread imekaa kinafki nafki tu.
 
Dr. Slaa tunaimani nae sana hata mumchafue vipi. Wana jf ngoja niwaambieni kitu, maadui wa CHADEMA wapo kila kona na wanatumia ID tofauti tofauti. Haipendezi moja kwa moja kuwataja masalia M-7 kuwa ndio wanaomchafua Dr. Slaa. Kwa kufanya hivyo tunawasahau maadui wengine kutoka CCM, mafisadi na mamluki wanaotumwa na chama tawala kuichafua CHADEMA kwa kutumia mwanya wa masalia M-7. "The best weapon to defeat your enemy is to know him very well" kwa sasa CHADEMA ina maadui wengi sana, na maadui wabaya kabisa ni watawala wa serikali ya CCM. Na kwakuwa tunajiaminisha kuwa masalia M-7 wana ajenda zao za kuigawa CHADEMA na kwa kuwa watawala wana ajenda zao za kuisambaratisha CHADEMA, yatupasa tuwe makini sana na mafisadi wa CCM ambao inaonekana wanatumia ID ya masalia kwa lengo lile lile la kutugawa. Bado hatujamgundua adui yetu hasa ingawa tunajua maadui wetu ni wengi sana wakiwemo mafisadi na mamluki kutoka CCM. Kwa hiyo tuwe makini na mitego hii ya mafisadi.
 
Zitto kwa hali ilivyo sasa ungezuia vijana wako wasiendelee kutukana, jipeni muda mjipange au tafuteni platform nyingine tofauti na JF. Ben aliwamwagia mavi usoni nanyi bila hekima mnayasambaza mwili mzima

lini Zitto amekuambia ana vijana wake na uwa anawatuma Jf?musiamishe mjadala kwa Zitto,SLAA jibu tuhuma.
 
Akina TUNTEMEKE(maana mko wengi),

Nilishauri mara kadhaa kuwa nyie mnamuharibia sana Prezoo. Badala ya kudhani mnamharibia Dkt. Slaa, mnadhidi kujidhihirisha kuwa mnatumika na hata posts zenu hazina credibility tena:

1. Uchochezi na Uchonganishi
Mlianza na kuwachonganisha Dkt Slaa na Mbowe; naona sasa mmekuja kuwachonganisha Rite na Mdee vs Dkt Slaa na Mh Mch Natse na Mh Pareso vs Slaa na akina Mnyeye (Jubilate - wewe umemuita Jublet). Mbinu yenu hii ni ya kishetani na haitafanikiwa.

2. Ugawaji Wa Viwanja

Kwa kuwa umeandika ukiwa na ushahidi kuwa Dkt Slaa alipewa kiwanja cha wazi; unaweza ukaweka haya bayana?
- Ni kiwanja namba ngapi(au kama hakina namba); kiko upande gani na kinapakana na nani?
- Utaratibu wa ugawaji wa viwanja ukoje? Nafasi ya Diwani, Halmashauri, n.k. ikoje ili tujua ni nani haswa aliyehusika kugawa kiwanja hicho cha wazi kwa Dkt Slaa
- Je, kiwanja kiligawiwa kwa Dkt Slaa na Mh. Rite au kiligawiwa kwa Josephine au kiligawiwa kwa Mfanyabiashara FARIJALA?

3. Mradi wa Maji - KAVIWASU
Watu wa Karatu wakikusikia unavyosema mabaya kuhusu Mbunge aliyejitoa na kuwapigania hata wakapata maji ukilinganisha na yule mbunge wao aliyepita ambaye alipoulizwa kuhusu uhaba wa maji aliwauliza "mnataka nikojoe mkojo niugeuze maji" watakuombea mabaya.
- Unaufahamu kiundani mradi huu wa Kaviwasu kweli au unaamua kupotosha mambo?
- Pamoja na mradi kufadhiliwa na Wajerumani, unafahamu kuwa hela za mradi huu zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja KDC (Karatu District Council) na DED wa wakati ule alikuwa anahujumu na kukwepa kuidhinisha hela za mradi mpaka kwa shinikizo?
- Unajua kuwa baada ya mradi kuwa imara, vijana wa CCM waliamua kukatakata mabomba ili maji yasitoke? Wakidhani wanamhujumu Dkt Slaa kumbe wanajihujumu wenyewe?

4. Dkt. Slaa na Ubadhirifu
Umesema kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji. Una uhakika na uliyoyasema?
- Unajua kuwa Sera ya Maji na maekezo ya Wizara yanahitaji uwepo wa Bodi za maji ambapo na KAVIWASU pia ilikuwa chini ya Bodi na si Dkt Slaa?
- Unataka kuuaminisha Umma kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji? Akiwa kama nani? Kwa nafasi gani?
- Unaweza ukaweka hapa hati za malipo na stakabadhi ambazo Dkt Slaa na Mnyenye walishirikiana kufanya ubadhirifu?

5. Dkt Slaa na Mkaguzi

Umeseka kuwa Dkt Slaa alikaguliwa/kuhojiwa na kutuhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa Auditor. Hivi uhusiano wa Ofisi ya CAG na mtu binafsi kwa ngazi ya Dkt Slaa hadi akamkagua au hata kama ni Internal Auditor wa KDS, uhusiano huo unakuwaje? Ufafanue.

6. Dkt. Slaa na Maisha Binafsi
Mara kwa mara, umekuwa ukiweka habari za maisha ya Dkt Slaa na wanawake mbali mbali. Nikuulize swali;
- Umeolewa dada yangu?
- Huwa unamuonea wivu Dkt Slaa au unawaonea wivu hao wanawake wanaohusishwa naye?
- Nawe unataka utajwetajwe kwenye maisha ya Dkt Slaa kuwa utakuwa 'Mbunge wa Viti Maalum kupitia Mkoa wa Mbeya na pia utakuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya"?

Mods, tunaomba huyu TUNTEMEKE asile ban, hata akifanya makosa gani. Tutaenda naye hivi hivi. Tafadhali sana.

Nakala -[MENTION] Pareso[/MENTION],[MENTION] Mdee[/MENTION], [MENTION]W.P. Slaa[/MENTION], Mungi, Mwita Maranya,[MENTION] Paw[/MENTION], [MENTION]Invinsible[/MENTION]
kwa kuwa wewe ndio una original documents,jibu haya maswali kwa kuweka details hapa.ambie babu au josephine akusaidie
 
Last edited by a moderator:
Hoja yako ina logic lakini haina evidence hivyo haina mashiko.
Nakushauri kutafuta vitu hivi then uje tena.
1) Karatasi ya umiliki wa kiwanja,kimekatwa lini,kina jina la nani na ofisi gani.
2) Njoo na uapload proposal ya mradi huo,pia njoo na ripoti ya mradi huo ikiwa na implementation procedures,action plan,monitoring and evaluation
3) Ripoti ya CAG kufuatia ukaguzi huo wa mradi.
4) Pia njoo na ripoti ya uchunguzi ya akina masinde.
Ukija na vitu hivyo tutajihakikishia pasipo shaka madai yako,vinginevyo tutakupa majina mabaya kitu ambacho si kizuri.
 
TUNTEMEKE,

Kama wewe ni mwanaume, Slaa alikuchukulia mke? Sijaona thread ambayo umeanzisha haijamlenga Slaa/wachagga. Inatufanya wengine tushindwe kukuamini. Tunakuona kama upo hapa for a mission. Badilika mkuuuuuu

asiandike kile anachokiona kwasababu ni Dr.slaa.Mbona hunautetezi makini
 
Ben alituwekea evidences hadi za namba ya Zitto na Kafulila, we ushahidi uko wapi? Tunaitaji ushahidi wa maandishi, namba ya simu au picha, km vile ya kiwanja ambape diwani Kawe na Josephine wanalonga. Hata Mwanahalisi lilifungiwa kwa sababu lilitoa ushahidi wa SMS na namba ya Rama.

Lakini pia mleta mada mdwanzi kweli. Mradi ulikuwa na 40 million km hela iliyopotea halafu unasema Dr. Slaa na diwani waligawana 400 milion! Kweli?
 
Hoja yako ina logic lakini haina evidence hivyo haina mashiko.
Nakushauri kutafuta vitu hivi then uje tena.
1) Karatasi ya umiliki wa kiwanja,kimekatwa lini,kina jina la nani na ofisi gani.
2) Njoo na uapload proposal ya mradi huo,pia njoo na ripoti ya mradi huo ikiwa na implementation procedures,action plan,monitoring and evaluation
3) Ripoti ya CAG kufuatia ukaguzi huo wa mradi.
4) Pia njoo na ripoti ya uchunguzi ya akina masinde.
Ukija na vitu hivyo tutajihakikishia pasipo shaka madai yako,vinginevyo tutakupa majina mabaya kitu ambacho si kizuri.

pole pole naona tuntemeke kawaumbua
 
hayo maswali uliyouliza yanapaswa kujibiwa na slaa kama mtuhumiwa.tuntemeke ameibua ufisadi sio kazi yake tena kueleza hayo unayotaka...slaa aje hapa aseme kwann yeye ni fisadi, akishindwa ndio ataumbuliwa zaidi

Dada unyakhae,

Tatizo la dada TUNTEMEKE amedanganywa na Dogo akidhani kuwa kapewa skendo ya kuiposti humu JF, kumbe ni full kujichanganya. Hivi Dogo alikuwepo pale kikao cha Ubungo Plaza au alikuwepo mzee wa Mkakati wa Madiwani Arusha ndiyo akamuuma sikio dada TUNTEMEKE?

Sasa unataka Dkt Slaa aje ajibu maswali gani wakati aliyetakiwa kuthibitisha kauli yake ni dada TUNTEMEKE na siye Dkt Slaa? "One who alleges, should prove beyond reasonable doubt that the offense was commissioned by the accused". Lakini kwa kuwa nawe ni kilaza, hili hauwezi ukalijua.

Cc[MENTION] AshaDii[/MENTION],[MENTION] Nyani Ngabu[/MENTION], Nguruvi3, Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Ben alituwekea evidences hadi za namba ya Zitto na Kafulila, we ushahidi uko wapi? Tunaitaji ushahidi wa maandishi, namba ya simu au picha, km vile ya kiwanja ambape diwani Kawe na Josephine wanalonga. Hata Mwanahalisi lilifungiwa kwa sababu lilitoa ushahidi wa SMS na namba ya Rama.

Lakini pia mleta mada mdwanzi kweli. Mradi ulikuwa na 40 million km hela iliyopotea halafu unasema Dr. Slaa na diwani waligawana 400 milion! Kweli?

Ben saa8 alikaamuda mrefu kwneye excel akitengeneza namba za zitto na meseji.Nao nisuhahidi?pole sana tume iliyoundwa hapo ni ushahidi tosha
 
Dada unyakhae,

Tatizo la dada TUNTEMEKE amedanganywa na Dogo akidhani kuwa kapewa skendo ya kuiposti humu JF, kumbe ni full kujichanganya. Hivi Dogo alikuwepo pale kikao cha Ubungo Plaza au alikuwepo mzee wa Mkakati wa Madiwani Arusha ndiyo akamuuma sikio dada TUNTEMEKE?

Sasa unataka Dkt Slaa aje ajibu maswali gani wakati aliyetakiwa kuthibitisha kauli yake ni dada TUNTEMEKE na siye Dkt Slaa? "One who alleges, should prove beyond reasonable doubt that the offense was commissioned by the accused". Lakini kwa kuwa nawe ni kilaza, hili hauwezi ukalijua.

Cc AshaDii, Nyani Ngabu, Nguruvi3, Yericko Nyerere

Mbona unatengeneza mawazo yako?tumeimeundwa na imetoa ripoti na ungozi umevunjwa kama tuntemeke anavyosema wewe unataka nini
 
CDK(CHADEMA KASKAZINI) Ndio munaoharibu chama,hawa PM 7 Wamechoka kubuluzwa,Mpambano uendelee CDK VS PM 7.
 
Wakati unawanyooshea wenzako kidole kimoja,vidole vingine vitatu vinakunyookea/vinakuelekea wewe.slaa tunaomba majibu hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom