Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
Tumeshagundua mbinu zenu masalia na kwa hakika hamtafanikiwa kumchafua dr slaa by the way the means you are using are useless

Ilaumu tume iliyoundwa na chama kufichua ufisadi wa Dr.slaa na sio tuntemeke.Dr.slaa yeye mwenyewe kichwa chini
 
Hoja za magafu hazijajibiwa amefukuzwa kazi,na hizi hoja hazitajibiwa wataishia kumtukana mleta uzi.
 
haya mkuu nimeacha...
aliyeniweka hadharani ni nani/nawe ukaamini?
nadhani nimewakana hao watu wenu,walihangaika kuichafua tuntemeke ionekane ni kundi lakini kamwe hawawezi.Hii ni zaidi ya huo mkanda walioundaa.
Endelea kuaita name calling hiyo,nadhani report abuse ipo kwaajili ya watu kama nyie
 
nilivyoona id tu nikaona thread haina mashiko

unahangaika na jina,uliposoma na content ukaishiwa pozi,yaani unasafisha kaniki ilihali rangi yake tunaijua?.Pole sana mm ndiye tuntemeke na jenga chadema kwa kufichua ufisadi na ubadhilifu
 
Ooooh hii issue ya card lazima imdondoshe, sema sas na hii! Hahahahahah labda muende tena kwa waganga ili mle kiapo kingine!

Hakika Dr slaa ni kiboko yako!
Yote yako,Mm yangu ni hayo.Mambo vipi kijana
 
Labda kama unajenga chadema kwa kukutumia tunguri na hirizi!

unahangaika na jina,uliposoma na content ukaishiwa pozi,yaani unasafisha kaniki ilihali rangi yake tunaijua?.Pole sana mm ndiye tuntemeke na jenga chadema kwa kufichua ufisadi na ubadhilifu
 
Akina TUNTEMEKE(maana mko wengi),

Nilishauri mara kadhaa kuwa nyie mnamuharibia sana Prezoo. Badala ya kudhani mnamharibia Dkt. Slaa, mnadhidi kujidhihirisha kuwa mnatumika na hata posts zenu hazina credibility tena:

1. Uchochezi na Uchonganishi
Mlianza na kuwachonganisha Dkt Slaa na Mbowe; naona sasa mmekuja kuwachonganisha Rite na Mdee vs Dkt Slaa na Mh Mch Natse na Mh Pareso vs Slaa na akina Mnyeye (Jubilate - wewe umemuita Jublet). Mbinu yenu hii ni ya kishetani na haitafanikiwa.

2. Ugawaji Wa Viwanja

Kwa kuwa umeandika ukiwa na ushahidi kuwa Dkt Slaa alipewa kiwanja cha wazi; unaweza ukaweka haya bayana?
- Ni kiwanja namba ngapi(au kama hakina namba); kiko upande gani na kinapakana na nani?
- Utaratibu wa ugawaji wa viwanja ukoje? Nafasi ya Diwani, Halmashauri, n.k. ikoje ili tujua ni nani haswa aliyehusika kugawa kiwanja hicho cha wazi kwa Dkt Slaa
- Je, kiwanja kiligawiwa kwa Dkt Slaa na Mh. Rite au kiligawiwa kwa Josephine au kiligawiwa kwa Mfanyabiashara FARIJALA?

3. Mradi wa Maji - KAVIWASU
Watu wa Karatu wakikusikia unavyosema mabaya kuhusu Mbunge aliyejitoa na kuwapigania hata wakapata maji ukilinganisha na yule mbunge wao aliyepita ambaye alipoulizwa kuhusu uhaba wa maji aliwauliza "mnataka nikojoe mkojo niugeuze maji" watakuombea mabaya.
- Unaufahamu kiundani mradi huu wa Kaviwasu kweli au unaamua kupotosha mambo?
- Pamoja na mradi kufadhiliwa na Wajerumani, unafahamu kuwa hela za mradi huu zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja KDC (Karatu District Council) na DED wa wakati ule alikuwa anahujumu na kukwepa kuidhinisha hela za mradi mpaka kwa shinikizo?
- Unajua kuwa baada ya mradi kuwa imara, vijana wa CCM waliamua kukatakata mabomba ili maji yasitoke? Wakidhani wanamhujumu Dkt Slaa kumbe wanajihujumu wenyewe?

4. Dkt. Slaa na Ubadhirifu
Umesema kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji. Una uhakika na uliyoyasema?
- Unajua kuwa Sera ya Maji na maekezo ya Wizara yanahitaji uwepo wa Bodi za maji ambapo na KAVIWASU pia ilikuwa chini ya Bodi na si Dkt Slaa?
- Unataka kuuaminisha Umma kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji? Akiwa kama nani? Kwa nafasi gani?
- Unaweza ukaweka hapa hati za malipo na stakabadhi ambazo Dkt Slaa na Mnyenye walishirikiana kufanya ubadhirifu?

5. Dkt Slaa na Mkaguzi

Umeseka kuwa Dkt Slaa alikaguliwa/kuhojiwa na kutuhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa Auditor. Hivi uhusiano wa Ofisi ya CAG na mtu binafsi kwa ngazi ya Dkt Slaa hadi akamkagua au hata kama ni Internal Auditor wa KDS, uhusiano huo unakuwaje? Ufafanue.

6. Dkt. Slaa na Maisha Binafsi
Mara kwa mara, umekuwa ukiweka habari za maisha ya Dkt Slaa na wanawake mbali mbali. Nikuulize swali;
- Umeolewa dada yangu?
- Huwa unamuonea wivu Dkt Slaa au unawaonea wivu hao wanawake wanaohusishwa naye?
- Nawe unataka utajwetajwe kwenye maisha ya Dkt Slaa kuwa utakuwa 'Mbunge wa Viti Maalum kupitia Mkoa wa Mbeya na pia utakuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya"?

Mods, tunaomba huyu TUNTEMEKE asile ban, hata akifanya makosa gani. Tutaenda naye hivi hivi. Tafadhali sana.

Nakala -[MENTION] Pareso[/MENTION],[MENTION] Mdee[/MENTION], [MENTION]W.P. Slaa[/MENTION], Mungi, Mwita Maranya,[MENTION] Paw[/MENTION], [MENTION]Invinsible[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa unazidi kujidhalilisha na matendo yako mtu kama wewe hata siku moja uwezi kuongoza taifa letu.
 
WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

UFISADI WAKE UMEJIKITA KWENYE MAENEO MAKUU MAWILI
1.KUFISADI KIWANJACHA WAHANGA WA MAFURIKO MWABWE PANDE(OPEN SPACE) HAPA JOESPHINE MSHUMBUSI NDIYEDREVA.
2.UFISADI WA MRADI WA MAJI KARATU(KAVIWASU)
Naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).Kwenye hili sakata,Dr.slaa akishirikiana na mchumba wakeJosephine Mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe Janet Rite,Dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet Rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam.

Janet Rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
Janet Rite ambaye nirafiki wa karibu sana na Josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa Dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa Dr.slaa.
1.Dr.slaa naJosephine walimuahidi janet Rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 Josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet Rite kuwa Mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
2.Kutokana na biashara wanayofanya,Janet Rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.Million 80 akina josephine mshumbusi na janet Rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la Kebbys Hotel mwenge.
NOTE:Jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet Rite na Josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
(Halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

Mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet Rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.Dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

Pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya Bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na Janet Rite wakamzomee halima mdee.

NOTE:Halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

Hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

Moja ya siasa chafu za kumchafua Halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(HALIMA MDEE AMFUNGA KIJANA WA WATU BILA KOSA)Kutokana na Dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,Kamati kuu yachama iliyokaa Ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika Dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

Wana Jf,Hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

UFISADI WA DR.SLAA KWENYE MRADI WA MAJI(KAVIWASU) KARATU.

Wana Jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
Dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.Alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini Ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

Serikali ya Ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(Dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(KAVIWASU).Lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,Hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
Mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.Huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

Baada ya Dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu Jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
Kwakuwa mungu hafichi uchafu,Siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
Mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.Chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
2.Josephat Minde(katibu)
3.Elias Kisurula
4.Shida salum
5.n.k
Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
NYONGEZA:Kutokana na tabia ya Dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la Makamu mwenyekiti wa chadema taifa said Arf kule sumbawanga na kupelekea said Arfi kutupa kadi.
Hata pale karatu Dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.Kuna kundi lake linalohusisha Jublet Mnyenye(diwani-chadema),Cecilia paleso (mbunge viti maalumu) Uongozi wa BAVICHA wote na Katibu wa wilaya chadema.
Wakati kuna kundi ambalo Dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni Maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa Moshi darabe.
Dr.slaa amemuahidi Cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,Hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.Kwanini Dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

Dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.Dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,Cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa Dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

MY TAKE:Dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.Unaua chama na kujiimarisha wewe.Halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO

TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
"KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "

Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha

Mleta mada ni mgonjwa wa akili na Malaya wa akili .Kwa nini asipewe ban for one year ?
 
mmmhh, kwa kuwa jf, inasemekana wamejaa CDM, mimi nakataa ila nahisi kuna REMOTE sehemu fulani, kazi yake , kukejeli, kutukana, kukashifu jambo lolote linaloletwa mezani kuhusu CDM ,na hao wanaoonekana Miungu, kazi yao ni kutojibu hoja, kutomuelewesha mtoa hoja, bali kumsimanga kumpa majina yote mabaya, hapa hakika ndo tunajenga chama chetu na kukitofautisha na kile chama ambacho kila kukicha tunakikosoa, tunakipa tuhuma za kweli/ uongo likn kipo tofauti ,kila kinapopata tuhuma makada wao na wananchi kwa ujumla wao, hushinikiza kupata majibu sahihi toka kwa muhusika. lkn CDM naona REMOTE inatumika kutishia, kukejeli na kutukana ili tu . mlengwa alindwe tujiulize, kama kweli yy ni mtu wa haki UPADRE ULIMSHINDAJE? kazi ya padre inatofauti na urais? AU NAKO akishindwa tutachagua mwingine. ushauri AMEISHAJENGA CHAMA VYA KUTOSHA aendelee kujenga chama URAIS wapewe waleeeeee.
 
Hivi nyinyi ni lini mtaacha kuvaa pempaz(nepi)?Dr Slaa achafuki kitoto hivyo.Kajipangeni upya
 
Akina TUNTEMEKE(maana mko wengi),

Nilishauri mara kadhaa kuwa nyie mnamuharibia sana Prezoo. Badala ya kudhani mnamharibia Dkt. Slaa, mnadhidi kujidhihirisha kuwa mnatumika na hata posts zenu hazina credibility tena:

1. Uchochezi na Uchonganishi
Mlianza na kuwachonganisha Dkt Slaa na Mbowe; naona sasa mmekuja kuwachonganisha Rite na Mdee vs Dkt Slaa na Mh Mch Natse na Mh Pareso vs Slaa na akina Mnyeye (Jubilate - wewe umemuita Jublet). Mbinu yenu hii ni ya kishetani na haitafanikiwa.

2. Ugawaji Wa Viwanja

Kwa kuwa umeandika ukiwa na ushahidi kuwa Dkt Slaa alipewa kiwanja cha wazi; unaweza ukaweka haya bayana?
- Ni kiwanja namba ngapi(au kama hakina namba); kiko upande gani na kinapakana na nani?
- Utaratibu wa ugawaji wa viwanja ukoje? Nafasi ya Diwani, Halmashauri, n.k. ikoje ili tujua ni nani haswa aliyehusika kugawa kiwanja hicho cha wazi kwa Dkt Slaa
- Je, kiwanja kiligawiwa kwa Dkt Slaa na Mh. Rite au kiligawiwa kwa Josephine au kiligawiwa kwa Mfanyabiashara FARIJALA?

3. Mradi wa Maji - KAVIWASU
Watu wa Karatu wakikusikia unavyosema mabaya kuhusu Mbunge aliyejitoa na kuwapigania hata wakapata maji ukilinganisha na yule mbunge wao aliyepita ambaye alipoulizwa kuhusu uhaba wa maji aliwauliza "mnataka nikojoe mkojo niugeuze maji" watakuombea mabaya.
- Unaufahamu kiundani mradi huu wa Kaviwasu kweli au unaamua kupotosha mambo?
- Pamoja na mradi kufadhiliwa na Wajerumani, unafahamu kuwa hela za mradi huu zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja KDC (Karatu District Council) na DED wa wakati ule alikuwa anahujumu na kukwepa kuidhinisha hela za mradi mpaka kwa shinikizo?
- Unajua kuwa baada ya mradi kuwa imara, vijana wa CCM waliamua kukatakata mabomba ili maji yasitoke? Wakidhani wanamhujumu Dkt Slaa kumbe wanajihujumu wenyewe?

4. Dkt. Slaa na Ubadhirifu
Umesema kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji. Una uhakika na uliyoyasema?
- Unajua kuwa Sera ya Maji na maekezo ya Wizara yanahitaji uwepo wa Bodi za maji ambapo na KAVIWASU pia ilikuwa chini ya Bodi na si Dkt Slaa?
- Unataka kuuaminisha Umma kuwa Dkt Slaa alikuwa anasimamia mradi huu wa maji? Akiwa kama nani? Kwa nafasi gani?
- Unaweza ukaweka hapa hati za malipo na stakabadhi ambazo Dkt Slaa na Mnyenye walishirikiana kufanya ubadhirifu?

5. Dkt Slaa na Mkaguzi

Umeseka kuwa Dkt Slaa alikaguliwa/kuhojiwa na kutuhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa Auditor. Hivi uhusiano wa Ofisi ya CAG na mtu binafsi kwa ngazi ya Dkt Slaa hadi akamkagua au hata kama ni Internal Auditor wa KDS, uhusiano huo unakuwaje? Ufafanue.

6. Dkt. Slaa na Maisha Binafsi
Mara kwa mara, umekuwa ukiweka habari za maisha ya Dkt Slaa na wanawake mbali mbali. Nikuulize swali;
- Umeolewa dada yangu?
- Huwa unamuonea wivu Dkt Slaa au unawaonea wivu hao wanawake wanaohusishwa naye?
- Nawe unataka utajwetajwe kwenye maisha ya Dkt Slaa kuwa utakuwa 'Mbunge wa Viti Maalum kupitia Mkoa wa Mbeya na pia utakuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya"?

Mods, tunaomba huyu TUNTEMEKE asile ban, hata akifanya makosa gani. Tutaenda naye hivi hivi. Tafadhali sana.

Nakala - Pareso, Mdee, W.P. Slaa, Mungi, Mwita Maranya, Paw, Invinsible

kaulize tume ya masindenadhani itakwambia yote,Pia muulize slaa alivyokuwa mdogo kuhusu hili sakata kama pilitoni.Wewe unakuja na ayako,Ungewahi kuyasema kabla tume haijatoa majibu
 
Kumbe ni wapuuzii wale wale kwa kazi ile ile, pumbavu kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom