Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
Nachotaka kusema likija swala la utoaji mimba watu wanawaona wanawake ndiyo chanzo cha tatizo; but am telling you it is because of men. Hawa wadada wanaotoa mimba hicho kitendo kinawaumiza sana and they live with that pain maisha yao yote.
Kwa vile mimba haitungwi na mtu mmoja, I place the blame squarely on both or all who take part in destroying it. Kama mdada akiamua mwenyewe kwenda kutoa kwa sababu zake mwenyewe basi na lawama abebe yeye. Kama anashawishiwa na huyo mwenzake na yeye anakubali halafu huyo mwenzake analipia, mbele yangu wote wanabeba lawama. Kama familia inatoa shinikizo na mdada anakubali kwangu wote wanabeba lawama. Katika hili pia siwa excuse waganga wanaozitoa. Matter of fact, ni wauaji tu na wenyewe.
Nakubali kuna wasichana mcharuko kutoa mimba ni kama kunywa maji. Ila kuna wengine nina imani hata wakisoma hii thread wanaangua kilio; they have killed their babies si kuwa wanapenda bali they were forced to.
This is a very, very weak and lousy argument! Mdada anayeenda mwenyewe kutolewa mimba yake huyo ni kaamua kufanya hivyo. Unless uniambie alifungwa kamba na akaburutwa kupelekwa huko wanakozitolea hizo mimba.
Mama mwenye mimba, ukiachilia mbali ajali zinazoweza kusababisha miscarriage, ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kabisa wa kukibakiza na kukitunza hicho kiumbe tumboni mwake.
Kuna wasichana mimi nawajua ambao walikataa katu katu mashinikizo ya familia zao ya kutoa mimba na wakazibeba hadi wakazaa. Na walipozaa wazazi wa hao wadada mbona walisutwa na dhamiri zao!! Kila walipokuwa wanawaona wajukuu zao wakicheka na kutabasamu na jinsi walivyokuwa wazuri, najua kabisa dhamiri zao ziliwasumbua. Kwamba walikuwa wanataka hao viumbe waangamizwe kabisa na katu wasije na wao kuonja raha na karaha za dunia hii.
Sasa leo unakuja unakaona kajukuu kako, mashavu hayo yametuna, halafu na kenyewe kanatabasmu kila kamwonapo mtu yeyote yule. Wewe mzazi uliyekuwa unataka kukaangamiza hako katoto, kama una moyo lazima itakusumbua. Lakini kama una jiwe wala haitakusumbua.