Huu ndo ukweli toka moyoni mwangu!!!!

Nakubaliana na wewe mkuu ila sasa katika mazingira hayo ya kutoa mimba huyo unborn anaweza kujitetea mwenyewe? Kama hawezi kujitetea mwenyewe basi anabaki katika himaya ya huyo alimbeba....Kinachoendelea sasa nadhani mbebaji ndiye anajua!

Sawa mzee, lakini huoni kwamba ni jukumu la waliomtengeneza kuzilinda haki zake huyo kiumbe?
 
Well, mimi sijawahi kushiriki kutoa mimba kwa namna yoyote ile. Na nitaendelea hivi hivi mpaka siku nitakapovuta pumzi yangu ya mwisho hapa duniani kwani naamini hata binadamu ambaye hajazaliwa (ambaye yuko tumboni) naye anastahili kupewa haki zake za kuishi kama walivyopewa hao waliomtengeneza.

Hongera sana Mkuu,

Hata hivyo katika mazingira kama haya...naamini wengi tutajitangaza kuwa tuko upande wako....Sijui nani anaweza kumwaga ushahidi wa kuonesha vininginevyo!!
 
Hongera sana Mkuu,

Hata hivyo katika mazingira kama haya...naamini wengi tutajitangaza kuwa tuko upande wako....Sijui nani anaweza kumwaga ushahidi wa kuonesha vininginevyo!!

Lakini kwa nini mtu ajitangaze kuwa yuko upande wangu kama kwenye moyo wa moyo wake anaamini kabisa kuwa alichokifanya ni sawa? Akidanganya na kusema kwamba yuko kwenye upande wangu (pro-life) ilihali alishawahi kushiriki kuondoa uhai wa kiumbe ambacho hakijazaliwa atakuwa hatudanganyi sisi. Atakuwa anaidanganya nafsi yake mwenyewe na nadhani dhamiri itakuwa inamsuta na ataishi na huo msuto hadi siku yake ya mwisho. Uhai wa mtu ni kitu kingine kabisa mzee.
 
Hizi ni issues ngumu sana na ni bora kuziacha hivyo hivyo.

Kwa ajili ya mjadala tunaweza kuendea tu my brother!
 
Lizzy,
Hayo ni masuala mazuri sana na mazito. Hivi tunadhani kwamba wanaotoa hawajui hayo? Kama wanayajua kwa nini wanatoa?

Kuna tofauti na mfano wa daktari anayevuta sigara huku akijua kuwa inasababisha kansa? Je, kwa nini anavuta??
Mzee DC wengi wao sidhani kama hua wanawafikiria hao viumbe.Wengi hua wanawaza tu jinsi ya kubaki kama walivyokua kabla ya kupata mimba...na laiti wangekua wanawaza na hata kuvionea huruma wengine wasingekua wanarudia rudia huo mchezo.

I mean....mtu anatoa mimba mara tatu nne unaweza sema kuna hata mara moja anahamisha mawazo kwake na kukifikiria kiumbe ambacho kiko kwenye himaya yake?!Kuna watu ni kwamba hawajali lolote ili mradi wao mambo yao yaende,..as simple as that!!!
 
Siwezi kuwasemea watu wa namna hiyo, kwa upande wowote..ama wa kuwalaumu au kuwaunga mkono. Hata hivyo binadamu ni social being na anathiriwa sana mambo ya kisholojia na saikolojia....Hatuwezi kuongelea haya matatizo katika mstari mmoja tu.

Hata hivyo binafsi najua position yangu katika haya masuala!
 
Hongera sana Mkuu,

Hata hivyo katika mazingira kama haya...naamini wengi tutajitangaza kuwa tuko upande wako....Sijui nani anaweza kumwaga ushahidi wa kuonesha vininginevyo!!
Mzee DC ngoja mimi nimwage ushahidi.... miaka mitatu iliyopita kuna rafiki yangu alitoa mimba na ilinibidi nimsindikize hosp!!!On her late 20s...anakaa kwake na kazi ya kumwezesha alikua nayo ila kisingizo chake kilikua kwamba aliyempa ni mtu hatari sana (i got to know the guy a little..very agressive and violent) kwahiyo kitendo cha kuwa na mtoto nae kingekua sawa na kifungo.

Nilimbembeleza kwa siku mbili afikirie tena...hata ikibidi asimwambie jamaa ye ajipatie mtoto wake tu na kuendelea na maisha.Ila mwisho wa siku akaamua kutoa ndo maamuzi muafaka kwake...naweza kusema kwamba she was hurting even before she did it na kwasababu ni rafiki yangu nikaamua kua pembeni yake japo nilikua siungi mkono anachofanya.Alipotoka pale alilia wiki nzima na kusema hatokaa arudie tena...binafsi nisingeweza kumtenga... ukizingatia kwamba alijutia sana maamuzi yake baadae ..nikaamini kwamba kama angeweza kurudisha siku nyuma asingefanya vile.

Naamini amesamehewa na natumiani nae kajisamehe bila kusahau kwamba hatokaa arudie tena!Ikitokea akafanya tena sitotaka hata aniambie...achilia mbali kuwa ngao yake na kumfuta machozi kwa mara nyingine!!
 
Lizzy,
Siwezi kuwasemea watu wa namna hiyo, kwa upande wowote..ama wa kuwalaumu au kuwaunga mkono. Hata hivyo binadamu ni social being na anathiriwa sana mambo ya kisholojia na saikolojia....Hatuwezi kuongelea haya matatizo katika mstari mmoja tu.

Hata hivyo binafsi najua position yangu katika haya masuala!

Naomba nijue position yako....
 
Naomba nijue position yako....

Nikikwambia kwamba sijalii na jana tulienda na nyumba ndogo hutamweza IGP mwema??

Naona tuendelee tu na mjadala...Kama kusindikiza au kushauri watu tumeshafanya sana!!
 
Nikikwambia kwamba sijalii na jana tulienda na nyumba ndogo hutamweza IGP mwema??

Naona tuendelee tu na mjadala...Kama kusindikiza au kushauri watu tumeshafanya sana!!

Hahhhahaha....sitomwambia hata NN...

Naomba kujua tafadhali...
 
Hahhhahaha....sitomwambia hata NN...

Naomba kujua tafadhali...

Lizzy,

Laiti mioyo ya watu ingekuwa transparent au kila dhambi tunayotenda tungekuwa tunapigwa chapa mwili (branded mark) kuna watu wengekosa pa kujificha. Lakini tunaendelea kutesa mitaani kwa sababu siri zetu nyingi tumezibeba wenyewe!

Naona ibaki hivyo hivyo tu!

By the way..Huwezi kujua tofauti ya kuwepo kwa Lizzy au kutokuwepo duniani kwa sababu tayari yupo!
 
Mmmh haya ngoja niache kwa leo!!

Actually nadhani hata kama huwezi kuona tofauti directly ila bado unaweza kuhisi nini kisingekuwepo/kingekuwepo bila mtu fulani...tofauti tu ni kwamba sio rahisi sana kukosa usichokijua!!!
 
Ningeweza kushindana na wewe lakini kwa kuwa sasa nakufahamu siwezi kufanya hivyo, ila Mbilinyi jiheshimu.
 
Mimi nina rafiki yangu alishatoa mimba na nilijaribu kumshauri asifanye hivyo bila mafanikio. Ila what I want to say ni kuwa; ni wanawake wachache saaana wanatoa mimba kwa kupenda. That friend of mine was totally confused. Alikuwa na jamaa yake ambaye alikuwa na kazi na alikuwa anaonekana yuko serious. Lakini alipo conceive ni kijana ndiye alikuwa mstari wa mbele kumwambia atoe na ndiye aliyelipia gharama. Binti kwao wakali afanyeje. Kwa kuwa alikuwa college alinambia kama kijana angekuwa tayari japo kujitambulisha kwao hasingetoa ile mimba. In short mimba ilitolewa na uhusiano ulikwisha kwani binti alimchukia sana yule kijana na mpaka leo huyu binti hicho kitendo kinamuumiza japo ameolewa na ana watoto wake.

Nina mfano mwingine wa familia iliyomtoa mimba binti kwa kuwa alikuwa secondary ili aweze endelea na masomo yake; imagine zambi imebebwa na whole family.

Nachotaka kusema likija swala la utoaji mimba watu wanawaona wanawake ndiyo chanzo cha tatizo; but am telling you it is because of men. Hawa wadada wanaotoa mimba hicho kitendo kinawaumiza sana and they live with that pain maisha yao yote.

Nakubali kuna wasichana mcharuko kutoa mimba ni kama kunywa maji. Ila kuna wengine nina imani hata wakisoma hii thread wanaangua kilio; they have killed their babies si kuwa wanapenda bali they were forced to.
Cha kufanya ni kutoa elimu zaidi ya jinsi ya kuzuia upataji mimba.
 
Pdidy
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • add.png
    Add as Contact
JF Senior Expert Member
[h=2]This message has been deleted by Pdidy. [/h]

Too late, unazima majivu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom